Marekani yaanza kutumia 'soft power' yake kuzuia moto wa kukataa ushoga kushika kasi Afrika

mnatumia nguvu zote kupinga jambo dogo sana,


Ushoga ni jambo dogo sana??

Uwe na mtoto wako wa kiume awe anafanywa hilo kwako ni jambo dogo sana??!!😏

Wewe umenitia wasiwasi, you declare not to condone homosexuality in pretext.
 
Ushoga ni jambo dogo sana??

Uwe na mtoto wako wa kiume awe anafanywa hilo kwako ni jambo dogo sana??!!😏

Wewe umenitia wasiwasi, you declare not to condone homosexuality in pretext.

Kuna mashoga wangapi mtaani kwenu?

Kuna shida ngapi zinazowakumba nyie wote as a whole mtaani kwenu?

Mwanangu akiwa shoga ni hiari yake and I might disown him. That's it. No more, no less. ILa kutumia nguvu zote as if hilo ndo jambo la msingi zaidi kwenye community yangu ni upumbavu.
 
Nisaidiwe kidogo! Nini agenda iliyo nyuma ya ushoga?
Marekani na nchi za Ulaya wanafaidika nini na ushoga kiasi kwamba watumie gharama kubwa kuusambaza, kuulinda, na kuuhudumia?

Nitashukuru nikipatiwa jawabu mujarabu.
Kupunguza population na sauti ya mwanaume thats all
 
Unataka kusema hakuna nchi hata moja in Afrika haisapoti ushoga?
 


Shida ni hii; Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha turuhusu ushoga, Zingekaa kimya tu ili ushoga huku kwetu utapakae naturally hapo ingalikuwa ni upumbavu kwa sisi kupambana with full force na ushoga ulioenea naturally.

Shida ni; kuna kitu gani wao watapata kwa sisi kuwa mashoga??--- hivi umewahi kujiuliza mtu mzima anayejitambua huwa analazimishwa kufanya jambo jema lenye faida kwake hata kwa kuwekewa masharti??!!-- uliona wapi??, mpumbavu na zwazwa ni yule atakaye kubali kulazimishwa kufanya jambo hilo lenye masharti eti kwa faida yake!!.

Nakubali tunayo matatizo mengi ya kijamii na matatizo hayo hao wanaotulazimisha ushoga wameyawekea masharti kwamba watatusaidia pindi tutakaporuhusu haki za Ushoga, yaani unatatua shida moja halafu unaongeza shida nyingine mbaya zaidi ni shida yenye "addiction" , ushoga ni addictive problem, sasa wewe utachagua addictive problem in favour of an unaddictive one??.

Ni mpumbavu atakaye chagua an addictive problem na kuua jamii yake for all.
 

Ukiulizwa mmelazimishwa vp muwe mashoga unalo jibu? Wewe binafsi umewahi lazimishwa? Nchi imelazimishwaje? Niambie mtu mmoja tu aliyelazimishwa alale na mtu asiyemtaka be it male or female.

US kwenyewe hawalazimishi wananchi wake wawe mashoga iweje wawalazimishe nyie? Mna nini special?
 
Mkuu! Suala la ushoga unaliangalia kwa jicho gani? Ili jambo impact yake ni kubwa sana, ni kama njiti moja ya kiberiti inavyoweza kuunguza msitu mkubwa.
 


Inawezekana najadiliana na mtu ambaye ama haishi duniani hivyo hata hapa Tz haupo, najadiana na an alien.

Ungekuwa well versed na mambo ya siasa za duniani kamwe usingeuliza swali hilo.

Hujua kwamba leo dunia imegawanyika katika makundi 2, wanaopinga ushoga na wanaotetea ushoga??!!, hujui wala huoni maandamano ya kutetea na kupinga ushoga yametamalaki duniani??, Pope kiongozi maarufu na mashuhuri wa wakatoliki anatetea ushoga kwa kusema; No crime for homosexuality, je hujasikia??.

Ndio maana nasema najadiliana na an alien.
 
Mkuu! Suala la ushoga unaliangalia kwa jicho gani? Ili jambo impact yake ni kubwa sana, ni kama njiti moja ya kiberiti inavyoweza kuunguza msitu mkubwa.

Twende kwa numbers; Unajua South AfricA ilihalalisha ushoga back in 2006, Netherlands 2000, Spain 2005, Canada 2005 as well, unajua idadi ya watu wanaojitambulisha kama mashoga hizo nchi hawafiki hata robo ya population yao? Mbona hamzipingi hizo nchi kama mnavyoipinga US. Watu kila siku wanazamia South Africa.

Kadhalika Unajua US ushoga sio halali nchi nzima? Unajua idadi ya mashoga US ni ndogo sanaa pamoja na kwamba wao ni huru kujitangaza.

Unajua Taiwan, territory ya China ushoga ni halali? Unajua kuna mashoga wangapi huko?

Again, my point is, waafrika mnatumia nyundo kuua nzi. Viongozi wenu wameona namna ya kuwaiba akili na nyie fell for it. Hakuna mtu hata mmoja dunia nzima analazimishwa kuwa shoga au straight.

Ushoga unaanza na kupingwa at a family level. Nchi inaweza ruhusu ushoga na watu wasiwe mashoga kama Taiwan, nchi inaweza pinga ushoga kwa nguvu zote na watu wakakawa manapopolewa kama Zanzibar. Hakuna mtu anaykulazmisha uwe shoga acheni kuua nzi kwa nyundo. Zaidi mnautangaza tu.
 
Haukuwahi kumsikia yule muigizaji wa Marekani Michael Scoffield

Alikataa kwenda Urusi akisema ni nchi isiyozingatia haki za wapenzi wa jinsia moja

Je unakumbuka ilikuwa mwaka gani,Je kombe la dunia lilikuwa kabla au baada.
 

Hayo makundi mawili unayoyesema wameshamaliza shida ndogo ndogo ndo maana wanawaza mambo mengine. Wewe mmatumbi unayepewa msaada hadi wa kujenga choo fikiria what's more important in your community, cheza ngoma yako.

Pope kutangaza ni shida zake, mimi hainihusu kama ambavyo shida zao zingine hazinihusu. Mimi napambana na shida zangu.

Ushoga unaanza na kupingwa at a family level. Nchi inaweza ruhusu ushoga na watu wasiwe mashoga kama Taiwan, nchi inaweza pinga ushoga kwa nguvu zote na watu wakakawa manapopolewa kama Zanzibar. Hakuna mtu anayekulazmisha uwe shoga acheni kuua nzi kwa nyundo. Zaidi mnautangaza tu.

Nyie ndo mnaupa promo zaidi ushoga kuliko uhalisia. At this point the LGBTQ community hawafanyi promo zozote wamewaachia nyie muwafanyie promo for free na nyie mnazifanya kwa nguvu zote. Mnacheza ngoma yao kweli kweli.
 
Kuna wazungu wachache bado wana akiliView attachment 2550948

At the end of the day wao wenyewe sio wote wanaokubaliana na mambo hayo..
Huyu mama aliongea vizuri mno na maswali yake hayakujibika.
Sasa wamarekani (hasa hao) na Europe wameamua kusell their souls kwa devil[emoji49] na manufaa wanapata wao.
Ya nini kuingiza watu ambao (waafrika)wenyewe tu maisha yao yamewashinda?
Umuue kwa umaskini, elimu duni, ukimwi, malaria sijui Corona na magonjwa ya uti wa mgongo kufa under 50 kweli?
 
Katika haya mataifa ushoga unaruhusiwa na sio kinyume cha sheria zao
South Africa
Angola
Botswana
Lesotho
Msumbiji
DRC
Ivory Coast
Niger
Na makoloni mengine ya zamani mengi ya Ufaransa kama 20 hivi ushoga sio kinyume cha sheria kwa muda mrefu tu.
 

Sasa kama watu wanaongea vijana wanatongozwa na wababa hasa wenye positions kubwa serikalini na taasisi binafsi unategemea nini?
Wanaomba wafanywe au la kuwafanya na kuwaahidi kuwafanyia maisha vijana hawa wa mjini wasiotaka kazi watakataa?
Na hiki kitu hasa kwa watu wenye nafasi kubwa ni kama dini ya siri inafanyika miongoni mwao bila hata aibu.
Na wanajuana na ndo wanaharibu watoto wa kiume.
 


Ndugu inaonekana uelewa wako kwenye hii mada bado ni finyu.

Inaposemwa Ushoga unalazimishwa haina maana kwamba kuna watu wanapita mitaani na kulazimisha watu.

Nchi za magharibi zinataka kuufanya Ushoga uwe ni Culture kama culture zingine, huko kwao Ushoga ni Culture.

Wangependa na sisi tufuate hiyo culture yao, cha ajabu tofauti na cultures zingine tulizoiga kwa hiyari yetu kutoka kwao hii ya USHOGA wameiwekea msukumo na nguvu kubwa kupitia serikali zao (viongozi wao), wao wangependa tuuone Ushoga ni jambo la kawaida na sio Uhalifu, wao wangependa kusikia bwana Juma, Abdallah, John, David nk amebakwa na sio kusikia Jane, Asha nk amebakwa jambo ambalo sio zuri lakini halishitui sana kama jinsi mwanaume akibakwa, sasa kama nilivyosema pamoja na shida tulizo nazo isingekuwa vyema kuongezea shida nyingine yenye "addiction", unaweza kupunguza kama sio kuondoa kabisa shida zingine lakini huwezi kuondoa
shida yenye addiction isipokuwa tu ishuke adhabu ya Mungu kama ilivyokuwa kwa Sodoma na Gomora, sasa hatutaki hali hiyo itokee kwetu bali bora itokee hukohuko kwao.

Wao wanajua fika kwamba matokeo ya Ushoga uliokithiri ni maangamio na wasingependa waangamie peke yao na sisi watu weusi tubaki duniani kwani wanajua hadithi ya Sodoma na Gomora na wao itawakumba kwa kukithiri kwa Ushoga huko kwao.

Na hii ngoma ya kupinga Ushoga tutaicheza haswaa hadi na wao waache kucheza ngoma ya kutulazimisha kwa gharama huo ushenzi wao.

Hiyo ndiyo habari ilivyo.
 
#6. Ushawishi kupitia vyama vya siasa.
Hapa kwetu chama cha chadema ndiye mfadhiriwa mkuu wa kueneza ushoga kwa kuwa na vyama rafiki huko nje vyenye kushabikia mahusiano ya jinsia moja. Makamu mwenyekiti wa chama ni kiongozi mkubwa kwenye jumua ya watetea ushoga Africa, ulaya na Asia.
Tuwe macho sana na chadema.
 

Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No government au mtu yeyote anakulazamisha uwe au usiwe shoga.

Taiwan ushoga ni legal ila ni almost haupo, Zanzibar ushoga ni illegal ila Kila mtu anajua story zao.

The energy don't match the cause. Mnaua nzi kwa nyundo. Wekeni same energy kwenye mambo mengine ya msingi as well, at this rate mnaupromote zaidi ushoga than fighting it.
 


Why the energy you talk about is only meant to us and not to those motherfu--rs Europeans who never sleep to make sure we are succumbed to their incestuous filthy homosexuality??.

Hatutaacha kupiga kelele hadi pale wao watakapoacha campaign zao za kutulazimisha kwa blackmail ya kutotupa misaada hadi tumeruhusu Ushoga, Ushoga ni kiwango cha juu miongoni mwa ushetani, Historia katika vitabu vya dini inaonyesha kuna Qaumu imepata kuangamizwa YOTE kwasabu ya Ushoga, tutakuwa ni wajinga bali wapumbavu na mazuzu kutojifunza hiyo historia halafu tujekuhukumiwa kijinga.
 
Mataifa mengi ya magharibi yana support hivyo vitendo vya ushoga, sijajua kwa nini mleta mada umeamua kukomaa na wamarekani peke yao, ungetakiwa uguse na kule kwa wengine ambao nao wana balozi zao hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…