dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnatumia nguvu zote kupinga jambo dogo sana,
Ushoga ni jambo dogo sana??
Uwe na mtoto wako wa kiume awe anafanywa hilo kwako ni jambo dogo sana??!!😏
Wewe umenitia wasiwasi, you declare not to condone homosexuality in pretext.
Kupunguza population na sauti ya mwanaume thats allNisaidiwe kidogo! Nini agenda iliyo nyuma ya ushoga?
Marekani na nchi za Ulaya wanafaidika nini na ushoga kiasi kwamba watumie gharama kubwa kuusambaza, kuulinda, na kuuhudumia?
Nitashukuru nikipatiwa jawabu mujarabu.
Kuna mashoga wangapi mtaani kwenu?
Kuna shida ngapi zinazowakumba nyie wote as a whole mtaani kwenu?
Mwanangu akiwa shoga ni hiari yake and I might disown him. That's it. No more, no less. ILa kutumia nguvu zote as if hilo ndo jambo la msingi zaidi kwenye community yangu ni upumbavu.
Shida ni hii; Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha turuhusu ushoga, Zingekaa kimya tu ili ushoga huku kwetu utapakae naturally hapo ingalikuwa ni upumbavu kwa sisi kupambana with full force na ushoga ulioenea naturally.
Shida ni; kuna kitu gani wao watapata kwa sisi kuwa mashoga??--- hivi umewahi kujiuliza mtu mzima anayejitambua huwa analazimishwa kufanya jambo jema lenye faida kwake hata kwa kuwekewa masharti??!!-- uliona wapi??, mpumbavu na zwawa ni yule atakaye kubali kulazimishwa kufanya jambo hilo.
Nakubali tunayo matatizo mengi ya kijamii na matatizo hayo hao wanaotulazimisha ushoga wameyawekea masharti kwamba watatusaidia pindi tutakaporuhusu haki za Ushoga, yaani unatatua shida moja halafu unaongeza shida nyingine mbaya zaidi ni shida yenye "addiction" , ushoga ni addictive problem, sasa wewe utachagua addictive problem in favour of an unaddictive one??.
Ni mpumbavu atakaye chagua an addictive problem na kuua jamii yake for all.
Mkuu! Suala la ushoga unaliangalia kwa jicho gani? Ili jambo impact yake ni kubwa sana, ni kama njiti moja ya kiberiti inavyoweza kuunguza msitu mkubwa.I don't condone ushoga ila nguvu ambayo miafrika inatumia kupinga hili swala ni sawa na kuua nzi kwa nyundo.
Viongozi ya Afrika pamoja na udhalimu wao wote imejua ikipinga ushoga tu hadharani miafrika inasahau kila kitu na kuwaunga mkono. Hii ni kutafuta cheap popularity and miafrika fall for it.
Kuna mambo mengi sana ya msingi yanayogusa maisha ya kila mtu ila watu hawatumii nguvu kuyapazia sauti kama ambayo wanapazia sauti ushoga jambo linalogusa wachache mno. Kwa akili hizi Afrika bado sana.
Ukiulizwa mmelazimishwa vp muwe mashoga unalo jibu? Wewe binafsi umewahi lazimishwa? Nchi imelazimishwaje? Niambie mtu mmoja tu aliyelazimishwa alale na mtu asiyemtaka be it male or female.
US kwenyewe hawalazimishi wananchi wake wawe mashoga iweje wawalazimishe nyie? Mna nini special?
Mkuu! Suala la ushoga unaliangalia kwa jicho gani? Ili jambo impact yake ni kubwa sana, ni kama njiti moja ya kiberiti inavyoweza kuunguza msitu mkubwa.
Haukuwahi kumsikia yule muigizaji wa Marekani Michael ScoffieldKama Putin anapinga ushoga kwa nini 2018 hakufanya kama Qatar?
Nchi za Kiarabu ndio zinazofahamika kwa msimamo mkali dhidi ya Ushoga
Urusi ni nchi ya kizungu na ina tamaduni nyingi tu za kizungu kama vile kunywa pombe, wanawake kuvaa nusu uchi, kutoa mimba, kuzaa nje ya ndoa
Sema hivi sasa ndio inajifanya kuwa na misimamo ya nchi za kiarabu ili kuwavutia Waarabu na Waafrika kuwa ina utamaduni kama wa kwao, baada ya marafiki zake wa upande wa kizungu kumkataa kutokana na uvamizi wa Ukraine
Kombe la Dunia lililofanyika Urusi ushoga, pombr, ngono vilikuwa vikifanyika na hakukuwa na kizuizi chochote
Vita ya Ukraine ilipobamba moto, na Putin kutafuta justification na kuungwa mkono na mataifa ya kiarabu na Afrika, akajifanya nae anamsimo mkali dhidi ya ushoga ili kuwachota akili
Nchi za Kiarabu kama Egypt na Saudia, UAE, Morocco zina sheria kali kuhusu ushoga na ni marafiki dam dam na Marekani
kusambaza ushoga Afrika haijawahi kuwa agenda namba 1 ya Marekani hakuna maslahi kiuchumi itakayopata kutokana na hilo
Na Hata huo ushoga wenyewe haukubaliki na Marekani yote, chama cha Republican sio pro ushoga
Tanzania hatujaruhusu Ushoga na ni rafiki wa Marekani, vivyo hivyo Kenya, na nchi nyinginezo
Inawezekana najadiliana na mtu ambaye ama haishi duniani hivyo hata hapa Tz haupo, najadiana na an alien.
Ungekuwa well versed na mambo ya siasa za duniani kamwe usingeuliza swali hilo.
Hujua kwamba leo dunia imegawanyika katika makundi 2, wanaopinga ushoga na wanaotetea ushoga??!!, hujui wala huoni maandamano ya kutetea na kupinga ushoga yametamalaki duniani??, Pope kiongozi maarufu na mashuhuri wa wakatoliki anatetea ushoga kwa kusema; No crime for homosexuality, je hujasikia??.
Ndio maana nasema najadiliana na an alien.
Kuna wazungu wachache bado wana akiliView attachment 2550948
Shida ni hii; Kwanini nchi za magharibi zinalazimisha turuhusu ushoga, Zingekaa kimya tu ili ushoga huku kwetu utapakae naturally hapo ingalikuwa ni upumbavu kwa sisi kupambana with full force na ushoga ulioenea naturally.
Shida ni; kuna kitu gani wao watapata kwa sisi kuwa mashoga??--- hivi umewahi kujiuliza mtu mzima anayejitambua huwa analazimishwa kufanya jambo jema lenye faida kwake hata kwa kuwekewa masharti??!!-- uliona wapi??, mpumbavu na zwazwa ni yule atakaye kubali kulazimishwa kufanya jambo hilo lenye masharti eti kwa faida yake!!.
Nakubali tunayo matatizo mengi ya kijamii na matatizo hayo hao wanaotulazimisha ushoga wameyawekea masharti kwamba watatusaidia pindi tutakaporuhusu haki za Ushoga, yaani unatatua shida moja halafu unaongeza shida nyingine mbaya zaidi ni shida yenye "addiction" , ushoga ni addictive problem, sasa wewe utachagua addictive problem in favour of an unaddictive one??.
Ni mpumbavu atakaye chagua an addictive problem na kuua jamii yake for all.
Kina juma lokole sijui kumbuka , kuna wakina Hakika Ruben hawa ndio wanaharibu vizazi madogo wengi huko mashuleni wanawatazama na hapa Dogo bwege lazima watajaribu huu umbumbu
Utakuta kijana anajirekodi video tiktok anafunua kiuno anaonyesha nguo ya ndani huku anakatika mauno huu si ni ubwege kama sio upumbavu na Ushoga
[emoji119]
Hayo makundi mawili unayoyesema wameshamaliza shida ndogo ndogo ndo maana wanawaza mambo mengine. Wewe mmatumbi unayepewa msaada hadi wa choo fikiria what's more important in your community, cheza ngoma yako.
Pope kutangaza ni shida zake, mimi hainihusu kama ambavyo shida zao zingine hazinihusu. Mimi napambana na shida zangu.
Again, duniani kote hakuna mtu analazimishwa kuwa shoga au straight. South Africa, Spain, Canada, German, Belgium wameruhusu ushoga toka early 2000s unadhani kila mtu ni shoga huko? Unadhani wanalazimishwa kuwa mashoga? Matter of facr, mashoga kwenye hizo nchi hawafiki hata robo ya population yao na hawana muda.
Nyie ndo mnaupa promo zaidi ushoga kuliko uhalisia. At this point huhitaji LGBTQ community hawafanyi promo zozote wamewaachia nyie muwafanyie promo for free na nyie mnazifanya kwa nguvu zote. Mnacheza ngoma yao kweli kweli.
Ndugu inaonekana uelewa wako kwenye hii mada bado ni finyu.
Inaposemwa Ushoga unalazimishwa haina maana kwamba kuna watu wanapita mitaani na kulazimisha watu.
Nchi za magharibi zinataka kuufanya Ushoga uwe ni Culture kama culture zingine, huko kwao Ushoga ni Culture.
Wangependa na sisi tufuate hiyo culture yao, cha ajabu tofauti na cultures zingine tulizoiga kwa hiyari yetu kutoka kwao hii ya USHOGA wameiwekea msukumo na nguvu kubwa kupitia serikali zao (viongozi wao), wao wangependa tuuone Ushoga ni jambo la kawaida na sio Uhalifu, wao wangependa kusikia bwana Juma, Abdallah, John, David nk amebakwa na sio kusikia Jane, Asha nk amebakwa jambo ambalo sio zuri lakini halishitui sana kama jinsi mwanaume akibakwa, sasa kama nilivyosema pamoja na shida tulizo nazo isingekuwa vyema kuongezea shida nyingine yenye "addiction", unaweza kupunguza kama sio kuondoa kabisa shida zingine lakini huwezi kuondoa
shida yenye addiction isipokuwa tu ishuke adhabu ya Mungu kama ilivyokuwa kwa Sodoma na Gomora, sasa hatutaki hali hiyo itokee kwetu bali bora itokee hukohuko kwao.
Wao wanajua fika kwamba matokeo ya Ushoga uliokithiri ni maangamio na wasingependa waangamie peke yao na sisi watu weusi tubaki duniani kwani wanajua hadithi ya Sodoma na Gomora na wao itawakumba kwa kukithiri kwa Ushoga huko kwao.
Na hii ngoma ya kupinga Ushoga tutaicheza haswaa hadi na wao waache kucheza ngoma ya kutulazimisha kwa gharama huo ushenzi wao.
Hiyo ndiyo habari ilivyo.
Ushoga unaanza au kupingwa at a family-level. No government au mtu yeyote anakulazamisha uwe au usiwe shoga.
Taiwan ushoga ni legal ila ni almost haupo, Zanzibar ushoga ni illegal ila Kila mtu anajua story zao.
The energy don't match the cause. Mnaua nzi kwa nyundo. Wekeni same energy kwenye mambo mengine ya msingi as well, at this rate mnaupromote zaidi ushoga than fighting it.