Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

Mama/baba kila mwaka gulf of Mexico kuna hurricane tena zaidi ya moja so ni kawaida tu na washazoea usiunganishe matukio ya hali ya hewa na brainwashed mind thinking
 
Na lile tetemeko la Uturuki na ile Boxing Day Tsunami na ile Tsunami ya Japani na lile tetemeko la Iran na ille Typhoon iliyopiga Phillipines hayo yote ni maeneo wanayoishi Wazayuni?!
Mtu akiwa mfuasi wa allah akili zinamruka.
 
Kuna mfmda unaandika vitu ambavyo tunashindwa hata tusemaje, ila nilivoona juzi twitter waislam kwa waislam mnagombana kisa matawi ya dini nikajua
 
Hata kikiwa kipigo lkn kipigo kizuri maana wamekufa wakiwa ktk ibada. Wengine wanakufa wakiwa ktk zinaaa
 
Mungu ataipiga lini Tanzania kwa sababu Kuna madhalinu ya CCM aka Bibi
 
Vipi yale mafuriko kule dubai na Yemen ,,walipewa adhabu na nani??
 
Nimekejeli nini sasa? kwani hakijatokea kimbunga? Tena viwili, unazijuwa historia za sehemu vilipotokea na mazayuni?
Kwamba Kuna uhusiano?

Mbona Tz hakuna na wanau watu hovyo
 
Unahangaika sana we ajuza!

Vimbunga eneo la kusini mwa Marekani ni majanga ya kila mara/ mwaka.

Hakuna cha muumba wala nini. Ni masuala ya hali ya hewa tu.
Ajuza akishiba alkasusu na tende akili yake inaamia makalioni,anabakia na akili ya kuvukia lami tu
 
Unahangaika sana we ajuza!

Vimbunga eneo la kusini mwa Marekani ni majanga ya kila mara/ mwaka.

Hakuna cha muumba wala nini. Ni masuala ya hali ya hewa tu.
Ndio maana napenda bato kati ya ngabu na fox studios shida hamtokei vipi tulianzieah weekend ?

FaizaFoxy
 
habari kama hizi huzisikii BBC na ITV yetu
 
 
Lakini si wananchi walikuwa na taarifa kwamba kuna kimbunga hericane ,Kwa hiyo wakuhama wakahama vyakaokolewa vikaokolewa.
 
Historia ya maeneo hayo inasemaje ki hali ya hewa kwa miaka 30 iliyopita vimbunga na majanga kama hayo ni kawaida ama ndiyo mara ya kwanza?

Huyu bibi amekosa akili na maarifa. Hajui kuwa kuna maeneo kutokana na Plares za Dunia zilivyo, yapo prone kwa earthquakes na vimbunga. Nchi kama US, Iran, Japan, India, Mexico yapo kwenye maeneo ambako plates za Dunia hugawanyika au kuungana, na hivyo kusababisha maeneo hayo kuwa na matetemeko mengi makubwa na madogo ambayo yanasababishwa vimbunga vya mara kwa mara.
 
Mkiambiwa mna matatizo ya akili mnakataa.
Hizo ni natural calamities zinatokea all the time nchi mbali mbali duniani. Asia, africa, south america huwa yanawakuta sana.

Si kila kitu ni kujifanya advocate wa Mungu
 
Mkiambiwa mna matatizo ya akili mnakataa.
Hizo ni natural calamities zinatokea all the time nchi mbali mbali duniani. Asia, africa, south america huwa yanawakuta sana.

Si kila kitu ni kujifanya advocate wa Mungu
Huyu bibi anatakiwa kusaidiwa. Kuna sehemu kichwani hakupo sawa. Anaandika vitu vya ajabu, ambavyo hata mjinga wa wastani hawezi kuandika.
 
Kweli akili ya msikitini ni ya kipumbavu sana, mbona uturuki nchi ya kiislam tetemeko liliua maelfu ya watu kwahyo hao walikuwa wamemfanya nini mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…