Marekani yabamizwa mapigo mawili matakatifu, onyo tu hilo

Unazeeka kama mwehu
 
Hiyo ni kazi ya HAARP project, hakuna cha pigo la Mungu wala nini!...
Ni kuelekea kwenye NEW WORLD ORDER
 
Kwa USA mtasubiri sana
 
Hizi Natural ni Disasters kama Climate Change zinachangiwa na Human activities.

Lak8ni kwa Mtu aliyelewa Dini atasema ni Allah.

Unaona jinsi allahu alivyo mkatili kwa kuwapiga isivyo haki watu wa Florida. Kwa sababu kama ni madhambi binadamu wote tumefanya mengi. sasa kwa nini huyu allahu anawapa kichapo watu wa jimbo moja huko marekani?
 
Huyo Allahu ndo nani?......hahahahah
 
Haya majanga yakiwakumba wengi wanakaa na kufikiri na kurudi kwa Muumba wao, kama ilivyowakumba September 11. Na hili mtasikia wanvyorudi, makundi kwa makundi.

Uislam kwa sasa utatokea Magharibi.
Wee waache tu, wanatakiwa kusilimu.
 
Punguza hasira, umechanganya mambo mpaka haueleweki. Kunywa maji, shusha pumzi, jamba kidogo, halafu andika moja moja. Uzi upo tu huu hauendi mahala kwengine.

Usiwe na kiherehere.

Jibu hoja, kule DRC watoto, wanawake na wazee wanavyoteseka hao siyo watu hivi kwamba allahu aendelee kunyamaza kimya kana kwamba wanaokufa kule ni kuku na si binadamu aliye waumba kwa mfanowe?
Ina maana waarabu ndo watu na nusu kuwazidi mamia wanaoendelea kufa kule sudan?
 
Punguza hasira, umechanganya mambo mpaka haueleweki. Kunywa maji, shusha pumzi, jamba kidogo, halafu andika moja moja. Uzi upo tu huu hauendi mahala kwengine.

Usiwe na kiherehere.
🤣🤣🤣 tatzo afya ya akili just comment ilikuwa aina aja ya kujibu vbaya ni kuelimishana tu kwa maneno ya hkima lakn kama ndy umeona kujibu ivo ss tunaishi nayo
 
Ndo huyo anaewapelekea mafuriko waamerika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…