Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

Marekani, anapiga kelele tu. Kama ana 'viazi' vyote viwili, kwanini asiliamshe direct kwa Mrusi?
 
Kumbe vikwazo vinamuumiza barabara enheee... Chezea mabeberu wewe. Hii vita ikienda miezi 6 Russia atasalimu amri maana gharama kubwa anazotumia kwenye vita plus vikwazo kila kona hawezi kuvumilia.

Ogopa sana kitu kinachoitwa vikwazo. Sie tunadhani vikwazo ni jambo jepesi tu ila aliyewekewa vikwazo ndo anajua hasara zake.
 
Ukiona hivyo ujue kipigo kimemwingia Barabara [emoji1][emoji1][emoji1]
Wangekimbia kwenye mapambano ya kuiteka Kiev?

Russia ni nchi ya Africa iliyochangamka tu hana maajabu.

USSR iliyokuwa imara kabisa na tishio kwa dunia lakini ilisambaratishwa na Marekani itakuwa Russia hii kibogoyo?

Marekani hawezi kuingia vita ya moja kwa moja kama hana maslahi nayo ya moja kwa moja. Russia ni miezi mitatu sasa anapambana na Ukraine sasa anaweza anaweza kuhimili mziki wa Marekani hata kwa wiki moja tu? Ni kujidanganya kukubwa kabisa.
 
Kwasababu KREMLIN sio USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli ni shabiki maandazi. Hivi nguvu iliyokuwa nayo USSR unailinganisha na hii ya Russia?

Kama Marekani aliweza kuiangisha USSR unadhani anashindwa kuisambaratisha hii Russia dhaifu isiyo na dira yoyote inachokitafuta?

Marekani anaangalia maslahi yake ya moja kwa moja kama yanazuiliwa hapo ndo utamjua Mmarekani ni mtu wa aina gani.

Kama Urusi ana nguvu hiyo aende akaisambaratishe USA igawanyike kama yeye USSR alivyosambaratishwa. Acha kumlingalisha kaka wa dunia na vitu vya ajabu.
 
Sawa anapambana na Ukraine, utakuwa bwege Kama huju walio nyuma ya Ukraine Mpaka useme "Russia ni miezi mitatu sasa anapambana na Ukraine sasa anaweza anaweza kuhimili mziki wa Marekani hata kwa wiki moja tu? Ni kujidanganya kukubwa kabisa"
 
Soma vizuri ulichoandika Kisha uandike Tena vizuri
 
🤣🤣🤣🤣 Marekani kavuliwa pichu kwenye hii vita. Ana ubabe wa kwenye makalatasi, sasahivi ameishia kubweka tu kama mbwa koko
 
Tukiwaaambie hamna akili mnakuja mmefuraaa..hahaha..hv ww sokwee mtu..mpaka leo unajua russia anapigana na ukraine?? Ww ni ngederee wa kibiti tuu..huelew kitu..ebu kanye ukalalee huko..ukiamka kesho kakojoe..huku haukuwez
 
Unavyoandika kwa hisia utadhani ni raia wa USA anaeijua nchi yake, kumbe ni kakijana tu jobless kakitanzania kalikojichokea na maisha huko Namtumbo. Kameungaunga kakapata TECNO basi ujuaji mwingi
 
Zele siku hizi simsikii kwa media nahisi anakesha analewa tu Mara ya mwisho nilimuona macho mekundu Kama alikuwa analia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]Shiiii.... usimcheke sana zuzu Zelensky kwani umesahau kuwa tz pia tunaye zuzu Zelensky wetu yupo anatengeneza muvi na kutembeza bakuli kwa mabeberu wa NATO
 
Kama anaweza anangojea nn!!?
Kama maslahi yake hayatishiwi anaeka vikwazo vya nini!!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona alieweka vikwazo ndie analalamika njaa inataka kumuua?[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…