Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

Ukiandika mada yoyote kama hiyo yenye kuonyesha upuuzi wa nchi yetu ....malizia na
ccm ni mafiii ..laa siyo madayako itakuwa imekosa hisibati ya bakita.
 
... inaonesha Ukraine ni nchi muhimu sana kwa maisha ya binadamu duniani; hadi Tanzania tumeathirika na upungufu mkubwa ngano kutoka Ukraine. Dikteta siku zake zinahesabika; hawezi kuichezea dunia kwa kiwango hiki!
Ila Africa (Tz ikiwemo) yenye ardhi nzuri sana yenye rutuba kuwa tegemezi kwa ngano ya Ukraine ni aibu.

Bado tumelala.... Africa (including Tz) must wake up.
 
Aliangusha USSR KWA VITA AU TRICK KAMA HIZI CHA FITINA AMBAYO MRUSI KWA SASA KAKATAA UJINGA..... USA HATA KIDUKU ANAMTOSHA NI MWEMBWE TU CHEKI USA + NATO LAKINI WANAMSHINDWA RUSSIA
 
Kwan si tunaambiwa Russia anachezea kichapo kila kona? Juzi juzi tumeambiwa wanajeshi wake elfu ngapi sijui wameuawa. Sasa shida nn si wamalizie kumchapa chakula kisafirishwe?
 
Huyu chifu mafii wetu hizi habari hazioni ....kwanini tusinunue mafuta urusi ..
 
Mrusi amewashika pabaya hawa watu, bahati mbaya Mrusi kawekewa vikwazo haya mashirika ya kimataifa yameunga mkono kwa kukaa kimya badala ya kushinikiza mazungumzo ya pande mbili ya namna ya kumaliza vita ili utaratibu wa kawaida wa maisha yaendelee. Kwa upande wa Russia amejibu mashambulizi kama njia ya kuwafanya Marekani na washirika wake walegeze masharti anaonekana kama hana ubinadamu
 
Adui yako mwombee njaaa,ndo mana mwezi august au September Putin anataka kuongea na Afrika kama sikosei kumbe alishaliona hili la njaaa kitaambo.
Nahisi Africa ataivusha na janga hili.
Maswali ni meengi kama mchanga,hivi NATO hawakuliona hili mapema?
Sasa mkuu!Wewe ukisikia Putin ni kuu la majasusi,wewe unaelewa nini hapo?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua sisi huku uswekeni hatujitambui kabisa,kunamijinga kila siku inafurahi vikwazo alivyowekewa Mrusi wakidhani anayepata maumovu ni Mrusi.Sasa angali mitaani huku kwetu jinsi malalamiko ya bei za mbolea na bidhaa nyingine kupanda yanavyo sukumiwa kwa serikali ya Sa100!.Tangu mwanzo mimi niliwaambia kuwa,hao magharibi hawakupaswa kuweka vikwazo kwa Mrusi bali wangeingia uwanja wa vita kama kweli wanajiamini.
 
Siyo kila ngano ni Ngano!

Tuna mbegu za hovyo sana.
... nchi hii imejaa vituo vya utafiti wa kilimo (Tanzania Agriculture Research Institutes - TARI's) akina Uyole, Naliendele, Morogoro, sijui wapi huko vikiongozwa na SUA. Ni jukumu lao kuja na mbegu bora kwa mazingira ya Tanzania.
 
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]Shiiii.... usimcheke sana zuzu Zelensky kwani umesahau kuwa tz pia tunaye zuzu Zelensky wetu yupo anatengeneza muvi na kutembeza bakuli kwa mabeberu wa NATO
Usimtukane Raise wetu, mbona wewe umeshindwa kuwa rais kama una uwezo
 
[emoji2958][emoji2958][emoji2958][emoji2958]Shiiii.... usimcheke sana zuzu Zelensky kwani umesahau kuwa tz pia tunaye zuzu Zelensky wetu yupo anatengeneza muvi na kutembeza bakuli kwa mabeberu wa NATO
Usimtukane Raise wetu, mbona wewe umeshindwa kuwa rais kama una uwezo.
 
Watakula jeuri yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…