huwezi kuvimbisha muscles na USA kama hauna technolojia yako mwenyewe, Iran anapaswa kujitafakari kwanza kabla ya kuvimbiana na hawa watu vinginevyo watamsambaratika maana muscles zake ni ndogo Sana na anahitaji miaka mingi sana kujipanga.
USA na UK wanahistoria ndefu sana za mapambano na uzoefu wa kimedani, fitina, propaganda, uvumilivu nk.
Kama waliweza kuisambaratisha Nazi na Germany ya Hitler yenye kila kitu kuanzia watu wenye akili,maarifa, nguvu, teknolojia nk, wakamsambaratisha Japan aliyekuwa Giant wa Pacific na kila kitu akaitengeneza mwenyewe bila kumtegemea mtu kuanzia ndege, aircraft carrier, long range missiles, submarines nk, lakini alikaa.