Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

Yuko sahihi lakini wajiondoe kuwekewa vikwazo vya uchumi ,kama hivyo hakuna mtu anapenda vita vya shaba ya risasi ila uchumi
 
Umepaniki kwa issue ndogo sana. Us ana visima vya mafuta ila hachimbi. Unajua why? Usa huanza kutumia vitu vya wengine kwanza akitunza vyake ndo maana ana visima vya mafuta gallons and gallons lakini ananunua kwa waarabu.
We sa akili zako kweli za kitoto we si umesema America hana shida na Waislam vipi ananua mafuta ya Waislam?

Kwa hio hata Iran anahaki ya kununua vitu vya America sa kosa liko wapi.
 
We sa akili zako kweli za kitoto we si umesema America hana shida na Waislam vipi ananua mafuta ya Waislam?

Kwa hio hata Iran anahaki ya kununua vitu vya America sa kosa liko wapi.
Mbona sijasema Iran kununua vitu vya America ni kosa? Lakini America si ni makafir? Kwani waamerika wanasemaje kuhusu waarab? Hatujataja Dini. Wewe umeleta uislamu. Kumbe hapa ni America na Arabs au Europeans. Wewe inaonekana hata akili huna.
 
Mimi sina akili ndio lakini wewe umenizidi.

Nyie makafiri tu mtabaki na ujinga wenu huo huo, eti kwanini mnapenda vitu vya makafiri na nyie wacheni kutuzia vitu vyenu. Tatizo lenu njaa zinawasumbua ndio mana mmejazana nchi za kiarabu 😄
 
Iran alitakiwa kila kitu aunde chake- unagombana na USA/Israel wakati Iphone , Hellcopter ni zao😁 Ilikuwa ni Swala la Muda tu. Iran alitakiwq ajifunze kwa kutokana na kuuziwa parts za kuendesha Vinu vya Nuklia ,vilivyopandikizwa Computer Virus (Stuxnet ) ambao walikaa ndani ya vinu vya Nuklia vikipeleka Data files Israel na Waisrael walipotosheka na kiasi cha Info walizopata wakaviamuru Hivi Virus Stuxnet Vilipuwe mitambo yote ya Nuklia. So Helcopter ya 1979 Iliyokuwa Imembeba Rais huenda Vipuri vilikuwa vinanunuliwa kwenye Black Market, Israel akapenyeza zake zilizowekwa Computer Bugs/Virus wakawa wanasubiri Siku na Saa wachomowe waya!
Mkuu nisaidie avatar yako.
 
Ila pia wana ujinga fulani, hizo akili za kutengeneza drones za kurusha toka Iran hadi Israel si wangezitumia kufanya mambo ya maana, ni kama vile Kiduku wa Korea Kaskazini alivyojikita kutengeneza na kulipua mabomu na makombora baharini huku raia wake wengi wanakufa njaa na wamejaa minyoo.
Mwaka jana Iran aliingiza zaidi ya $450milion kutokana na kuuza drone kwenye nchi mbali mbali, sasa unataka waache kutengeneza hizo pesa utakuja kuwapa ww?
Nchi yako isiyo tengeneza drone na kufanya mambo ya maana inatengeneza hercopiter zinazo julikana kwa jina gani?

Kwann usimshauri Marekani kwanza haache kutumia matrion ya fedha kutengeneza silaha badala yake ahudumie mahomeles yaliyo jazana kwenye miji yake?

Hiyo Iran unayo sema haifanyi mambo ya maana inatengeneza na kuuza za viwandani zenye thamani ya $50 bilion kila mwaka,nchi isiyo wekeza kwenye mambo ya maana ina ubavu huo?
 
Hivi jamen huwa wanasema mchina ako na teknolojia kubwa sana ya kumshinda US, si huwa tunaambiwa Urusi pia ni nguli wa teknolojia na pia N.Korea sasa si wangeagiza tu hivyo vipuri kwan wangempa mchina angeshindwa kuvipiga copies, aises itoshe tu sasa kusema US yupo mbele sana tena mbele ya muda hakuna wa kumshinda kwa sasa kwa hiyo ubishi umeshaamuliwa
Aisee ile helicopter ukiitizama ndani kwa juu ina cover ambalo ni kama seat cover ya kwa fundi maiko wa kwa mpalange.
Binafsi nimejisikia vibaya sana kugundua iran haina uwezo hata wa kuunda helcopter,hata hayo ma missile tunapangwa.

Ndio maana wazayuni huwa wanavimba sana wanajua adui hawezi maji marefu.
 
Mimi sina akili ndio lakini wewe umenizidi.

Nyie makafiri tu mtabaki na ujinga wenu huo huo, eti kwanini mnapenda vitu vya makafiri na nyie wacheni kutuzia vitu vyenu. Tatizo lenu njaa zinawasumbua ndio mana mmejazana nchi za kiarabu 😄
nimegundua dogo hujielewi na huna akili hata kidogo . hebu uliza akina nani wamejazana wapi ..... hakuna wakristo wanaoweza enda kaa nzchi za kiarabu. ila angalia waarabu hata wakimbizi wanavyotaka kwenda ishi ulaya na marekani..... dogo wewe utakuwa Division 5 ya kikwete. upo mtupu sana
 
We ndio hujielewi ukiona wafrica na warabu wamejazana ulaya na hujui sababu ndio matatzo ya akili zako, hao wazungu ndio walivamia nchi zao na kupora Mali zao, we kwa kuwa ulishia vidudu ndio unaona wazungu wanakufadhili 😄
 
Kama walivamia nchi zao na kupora mali zao maana yake walikuwa dhaifu. 😁Unaonea eeeeeh......
 
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi.

Javad anasema ajali hii ni matokeo ya vikwazo vya muda mrefu vya Marekani ambavyo vinawazuia kupata ndege/ helicopter na vipuri vyake na kwamba tukio la ajali hii litasajiliwa kama uhalifu mwingine wa Marekani dhidi ya raia wa Iran.

Kumbe huwa tanadanganywa sana humu tunapoambiwa Iran ni wakali wa teknolojia "tech" ilihali hata vipuri vya ndege na helicopter vimewashinda.
Inna Lillah
 
Utumie midege mitumba uje kulalamika USA?

Ahmad Nijad alipata ajali ya helikopta akanusurika afu uje kusingizia USA kisa ujinga wenu mnatafita kuficha uzembe? 😁😁
 
Kama walivamia nchi zao na kupora mali zao maana yake walikuwa dhaifu. 😁Unaonea eeeeeh......
Tatizo lako hujielewi na utabaki hujielewi, ungejielewa usinge watukuza wazungu ambao wanakuibia Mali zako afu unaenda kwao kama vile mkimbizi 😄

Miafrika sijui lini mtajielewa.
 
Binafsi nimejisikia vibaya sana kugundua iran haina uwezo hata wa kuunda helcopter,hata hayo ma missile tunapangwa.

Ndio maana wazayuni huwa wanavimba sana wanajua adui hawezi maji marefu.
Hao wazayuni wenyewe wanaweza kuzitengeneza hizo helicopter
 
Back
Top Bottom