Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Miafrika ni mipumbavu inalalamika kuibiwa miaka yote. Ni mzazi mpumbavu ambaye analalamika kuibiwa halafu analala mlango wazi. Anaenda kuwaomba waliomuibia au anawaleta wamfanyie kazi nyumbani kwake. Wewe ni akina Chief Mangungo wa Msovero. Unadhani una akili then unadhihilisha huna.Tatizo lako hujielewi na utabaki hujielewi, ungejielewa usinge watukuza wazungu ambao wanakuibia Mali zako afu unaenda kwao kama vile mkimbizi 😄
Miafrika sijui lini mtajielewa.