Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

huwezi kuvimbisha muscles na USA kama hauna technolojia yako mwenyewe, Iran anapaswa kujitafakari kwanza kabla ya kuvimbiana na hawa watu vinginevyo watamsambaratika maana muscles zake ni ndogo Sana na anahitaji miaka mingi sana kujipanga.

USA na UK wanahistoria ndefu sana za mapambano na uzoefu wa kimedani, fitina, propaganda, uvumilivu nk.

Kama waliweza kuisambaratisha Nazi na Germany ya Hitler yenye kila kitu kuanzia watu wenye akili,maarifa, nguvu, teknolojia nk, wakamsambaratisha Japan aliyekuwa Giant wa Pacific na kila kitu akaitengeneza mwenyewe bila kumtegemea mtu kuanzia ndege, aircraft carrier, long range missiles, submarines nk, lakini alikaa.
 
Waache ku sapprt ugaidi , waheshimu dini na Imani nyingine nyumbani kwao kama wao wanaoheshimiwa ugenini wataondolewa vikwazo
 
Kwa upande wangu sijashangaa. Kwa sababu sio mara ya kwanza.

Kipindi fulani cha nyuma, kiongozi mmoja wa jeshi nchini Iran aliwahi kudai kuwa Iran iliibiwa mawingu yake na Israel ndio maana mvua zilikuwa hazinyeshi.

Hata rais wa zamani wa Iran, Ahmadinejad, aliwahi kuituhumu West kwamba inaiba mvua ya Iran ili kusababisha ukame ndani ya Iran.
 
Mtu unatumia zana za adui Yako alafu unajiamini, matokeo yake ndio hayo Sasa.
 
Eeeee teknolojia ya kutengeneza Drone hadi anawauzia Warusi kwa ajili ya Ukraine na Hamas pia, kashindwa kuwekeza nguvu ya kutengeneza Helicopter
 
Mkuu kama wenzetu wame advance hadi kwenye vitu vya asili je Africa kweli wanaweza kusema hapana kwa mataifa yenye teknolojia ya hali ya juu?
Je baadhi ya mafuriko, vimbunga, joto nk hivi vyote ni vya asili au saa nyingine nako wana mkono?
 
Iran alitakiwa kila kitu aunde chake- unagombana na USA/Israel wakati Iphone , Hellcopter ni zao😁 Ilikuwa ni Swala la Muda tu. Iran alitakiwq ajifunze kwa kutokana na kuuziwa parts za kuendesha Vinu vya Nuklia ,vilivyopandikizwa Computer Virus (Stuxnet ) ambao walikaa ndani ya vinu vya Nuklia vikipeleka Data files Israel na Waisrael walipotosheka na kiasi cha Info walizopata wakaviamuru Hivi Virus Stuxnet Vilipuwe mitambo yote ya Nuklia. So Helcopter ya 1979 Iliyokuwa Imembeba Rais huenda Vipuri vilikuwa vinanunuliwa kwenye Black Market, Israel akapenyeza zake zilizowekwa Computer Bugs/Virus wakawa wanasubiri Siku na Saa wachomowe waya!
 
Nyie muwe mnatumia akili kuongelea point alicho kusudia hio Helicopter wao walinunua US kwa hio spare usizuie sababu unapo zuia spare ama unirudishie pesa yangu, kuliko kuniuzia ndege haina spare.


Walipo nunua hizo Helicopter America aliwambia hawezi kuwauzia spare.

Mbona US ananunua technology kutoka China au Japan kwanini asitengeneze.

Mbona Israel anatumia technology mpa za India kwanini asitengeneze.

Wavaa misalaba akili zenu ziko njia panda kama misalaba yenu πŸ˜„

Kwanini US ananua Gas ya Mrusi nawakati anayo haha kaimbeni kanisani zile kwaya zenu afu mjitekenye humo humo kanisani.
 
Si wafia dini wanasema iran haumizwi na vikwazo kumbe hata urusi anaumia na vikwazo anajikaza tu
 
Iran hakuwekeza huko katika aircraft tech.
Kipi usichokielewa wewe?
 
Wanafiki sana nyie. Hamuitaki marekani ila helicopter yake mnatumia. Lazima mdedi.
 
Ka
Kama waziri wa Iran ndo katoa sababu hizi dhaifu, Basi naona dalili ya kwamba kulikuwa na hila ya kummaliza huyu jamaa ndani ya serikali yao wenyewe

Kama walikuwa wanajua helicopter ni ya Us na ni mbovu ilikuwaje wakampandisha kiongozi mkubwa wa nchi
 
Helcopta ni Made in USA aina ya Bell.Made in 1979.. Spare kwa sababu ya Vikwazo vya USA walikuwa awawezi pata. Uhenda waliuziwa spear za Black market watu wakaweka Stuxnet like Virus , time imefika wakachomoa Betri
Mkuu uko deep sana. Ulipomtaja Stuxnet nimekuelewa vizuri
 
Umeandika kitu ya ajabu kabisa,eti kwa nini asitengeneze, yaani nimekuuziq bunduki,halafu kesho yake tukagombana,unarudi kwangu nikuuzie risasi za bunduki niliyokuuzia ili uzitumie kuniulia, je nikuuzie? Think man.
 
Wewe umewekeza kwenye nini? maana Iran kawekeza kwenye Drone
Najibu kwa niaba yake, tumewekeza kwenye kilimo cha mahindi na maharage,tunapata sembe na dona aafi kwa matumizi ya familia zetu,hatununui kwa adui yetu,atatuuzia yenye sumu, a begger is no chooser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…