Marekani yalalamikiwa ajali iliyomuua Rais wa Iran!

Si wangenunua ma chopa ya Urusi hata kama siyo bora, lakini walau yangekuwa mapya?
 
Ha ha ha! Urusi ni mzalishaji mkubwa ndege na helicopter. Kwanini hawakutumia za Urusi? Hawa jamaa kwa malalamiko kama mke mwenza; uswahili hadi kwenye mambo serious.
USA, huwa wana msemo wao, wakikutaka lazima tu watakupata haijarishi ni lini, ni suala la muda tu!! Japo sina maana kuwa wao ndio wamehusika kwenye hili😂😂😂
 
Najibu kwa niaba yake, tumewekeza kwenye kilimo cha mahindi na maharage,tunapata sembe na dona aafi kwa matumizi ya familia zetu,hatununui kwa adui yetu,atatuuzia yenye sumu, a begger is no chooser.
Hamna adui nyie ndio maana mpaka vijiti vya kuchokonolea meno mnaletewa, vyoo kwa msaada wa US
 
Wanawachukia marekani ila wanatumia vitu vya wamarekani
Wanawachukia wamarekani?
Au wao ndio wanachukiwa na wamarekani?
Kati ya wawili hao ni nani alie mwekea vikwazo mwenzake?
Mimi naona Marekani ndio wanaoichukia Iran na ndio maana wameiwekea vikwazo.
 
USA, huwa wana msemo wao, wakikutaka lazima tu watakupata haijarishi ni lini, ni suala la muda tu!! Japo sina maana kuwa wao ndio wamehusika kwenye hili😂😂😂
Kwa hiyo USA walikua wanamtaka Rais wa Iran ?
Je kwa kumpata huko,hiyo itabadilisha Nini katika mahusiano mabaya yaliyokuwepo kati ya USA na iran?
Au Rais huyo aliekufa ndio chanzo Cha mgogoro uliokuwepo kati ya USA na Iran?
 
Wapi nimesema kuwa walikuwa wanamtaka? Ila cha ajabu iran wameiomba USA, iwasaidie kwenye uchunguzi wa ajari hiyo!!
 
Sasa kwa nini wamsafirishe Rais na helkopta mbovu!!

Za kuambiwa changanya na za kwako...
 
Aiseee hatari sana
 
Wewe umewekeza kwenye nini? maana Iran kawekeza kwenye Drone
Iran ni nchi, na kwa namna ambavyo wana mwelekeo walio nao wasiishie tu kwenye Drones na makombora waangalie na kwenye maeneo yote yawahusuyo.
Kuhusu mimi nimewekeza ninawekeza kwenye maisha yangu.
 
Helcopta ni Made in USA aina ya Bell.Made in 1979.. Spare kwa sababu ya Vikwazo vya USA walikuwa awawezi pata. Uhenda waliuziwa spear za Black market watu wakaweka Stuxnet like Virus , time imefika wakachomoa Betri
Cc Stuxnet
 
Hawa Maayatula wamefanya kuivamia Iran Nchi iliyokuwa ya Kidemokrasia na kusimika Utawala wao wa Dini ambao hufikia kuua Wasichana kwasababu ya kutembea bila Hijabu na kuwafunga Vijana kwasababu ya kunyoa Ndevu.☹️
 
Hapo unatulisha matango pori. Wala hujui historia, isipokuwa unawagwaya sana UK na USA. Aliyemsambaratisha Hitler ni Red Brigade ya USSR (Jeshi Jekundu la Umoja wa Kisoveiti) chini ya Rais wao Stanley.
 
Halafu anatokea mtu anasema USA anawaogopa waasi wa houth... Dunia hii....
 
Hapo unatulisha matango pori. Wala hujui historia, isipokuwa unawagwaya sana UK na USA. Aliyemsambaratisha Hitler ni Red Brigade ya USSR (Jeshi Jekundu la Umoja wa Kisoveiti) chini ya Rais wao Stanley.
Red army walitokea mashariki to Berlin.
Unajua kwanini Manazi walifika mpaka kuizingira Moscow, huku wakishikiria miji kama Kiev, Kurst, Rostov nk? unajua kilichompa wepesi Red army kufanya offensive na kuiokoa USSR the akafika Berlin.

Unajua liberation of west Europe kutoka mikono ya Hitler ilifanywa na nani? Unajua kwanini kulikuwa na west na east Germany.
Unafikiri WW2 aliyekuwa anapigana na Manazi huko North Africa, Sicily, Malta to Italy ni Nani?
Red army waliplay part huko east Europe na kuokoa ardhi yao kutoka mikono ya Hitler.
 
Helcopta ni Made in USA aina ya Bell.Made in 1979.. Spare kwa sababu ya Vikwazo vya USA walikuwa awawezi pata. Uhenda waliuziwa spear za Black market watu wakaweka Stuxnet like Virus , time imefika wakachomoa Betri
SPEAR???? SI WANGEKUJA HATA KUNUNUA KWA WAMASAI
 
Umepaniki kwa issue ndogo sana. Us ana visima vya mafuta ila hachimbi. Unajua why? Usa huanza kutumia vitu vya wengine kwanza akitunza vyake ndo maana ana visima vya mafuta gallons and gallons lakini ananunua kwa waarabu.
 
Hapo unatulisha matango pori. Wala hujui historia, isipokuwa unawagwaya sana UK na USA. Aliyemsambaratisha Hitler ni Red Brigade ya USSR (Jeshi Jekundu la Umoja wa Kisoveiti) chini ya Rais wao Stanley.
Ni Stalin siyo Stanley. Ila mengine yote uko sawa
 
Ninahisi tofauti na huu uhasama unaoendelea duniani kati ya magharibi na Mashariki ni kiini macho, kuna wakati wao hukutana wakakaa pamoja la sivyo hao china na urusi wasingeacha kuwasaidia kupata ndege au chopa bomba kwa matumizi ya Rais wao. Urusi na china ni Wanafiki. In Background ni wamoja na US.

Amkeni. Mnaibiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…