zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Amiri jeshi mkuu alafu kuna silaha hazijui? Inawezekanaje.ambayo hata Trump mwenyewe hayafahamu
Hii mbona ni taarifa kutoka marekani kwenyewe kupitia taasisi ya CSIS ambayo ni moja ya think tanks kubwa za marekani kwahiyo ripoti zake huwa ni credible.sasa unashangaa mtu yuko Tandika kwa Mchambia Chupa anaongea utafikiri yeye ni The Joint Chief of Staff of the United States Armed Forces..!!!!!
Labda nuclear ndio extreme plan ila hapo US hana exit strategy ya hii vita haiwezekani miezi 6 operation ishindwe kung'oa utawala wa kiislam na kuiba hizo nuclear materials. Alafu useme kuna contingency plan? US ipo overrated sana, imagine nchi gani tena hapo uarabuni itaamini ulinzi wa USA?United States has the contingency plans in place that it can employ even at the critical moment when adversaries think they can turn the tables on her but only for them to find themselves to be on the receiving end
Hii Dunia ngumu sana hii.Kuna mambo mengi sana ya kiulinzi ya taifa la Marekani ambayo hata Trump mwenyewe hayafahamu sasa unashangaa mtu yuko Tandika kwa Mchambia Chupa anaongea utafikiri yeye ni The Joint Chief of Staff of the United States Armed Forces..!!!!!
United States has the contingency plans in place that it can employ even at the critical moment when adversaries think they can turn the tables on her but only for them to find themselves to be on the receiving end.
Mkuu,pro USA wako disappointed sana,hawakutegemea kuona hichi kinachoikuta Marekani Sasa hivi.Amiri jeshi mkuu alafu kuna silaha hazijui? Inawezekanaje.
Hii mbona ni taarifa kutoka marekani kwenyewe kupitia taasisi ya CSIS ambayo ni moja ya think tanks kubwa za marekani kwahiyo ripoti zake huwa ni credible.
Labda nuclear ndio extreme plan ila hapo US hana exit strategy ya hii vita haiwezekani miezi 6 operation ishindwe kung'oa utawala wa kiislam na kuiba hizo nuclear materials. Alafu useme kuna contingency plan? US ipo overrated sana, imagine nchi gani tena hapo uarabuni itaamini ulinzi wa USA?
Nyie watoto wa 90 mnautoto mwingi.Mkuu,pro USA wako disappointed sana,hawakutegemea kuona hichi kinachoikuta Marekani Sasa hivi.
Nimeshindwa kukuelewa wewe ni Mzee,msomi, Genius au mjinga.Nyie watoto wa 90 mnautoto mwingi.
Na kinachokufanya uamini US atashinda ni ulokoleHiv bado mnafikiri hii vita Iran atatoboa? Kinachowafanya wanakaza NI imani Tu ya kidini ambayo wanayo,....na ndo inayoimaliza Iran,
Wala mie sio muislam, mbona jukwaa la intelligence nina mada kibao za biblia.Pumzika ustazi U.S.A sio Tanganyika.
Wewe swali shukuru Alah amekulinda unapumua.
Ulitaka wafanyeje na wamevamiwa? Wakubali tu kupigwa na nchi yao igeuzwe Syria au Libya?Hiv bado mnafikiri hii vita Iran atatoboa? Kinachowafanya wanakaza NI imani Tu ya kidini ambayo wanayo,....na ndo inayoimaliza Iran,
Umeambiwa makombora ya ulinzi loh !!Na kibaya zaidi katika hiyo 65%ya makombora yaliyotumika ukute asilimia kubwa haikuleta matokeo yaliyotegemewa.
Mfano kupiga michoro,
Kupiga midoli,kupiga maeneo ya kijeshi yasiyo na kitu,yaani vitu vilihamishwa.
Na hata kupiga maeneo sahihi lkn ugumu wa kuharibu ukawa kikwazo.n.k
Hali hii imeifanya CENTCOM, kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, kuanza kuchagua ni makombora yapi yatunguliwe na yapi yaachwe ikiwa hayana tishio kubwa kwa miundombinu au maisha ya watu.😂Tathmini mpya za wataalamu wa masuala ya ulinzi wa Center for Strategic and International studies (CSIS) zinaonyesha kuwa Marekani imetumia zaidi ya asilimia 65 ya makombora yake ya Patriot Interceptor missiles (PC2 na PC3) pamoja na sehemu kubwa ya makombora ya THAAD katika operesheni za hivi karibuni dhidi ya mashambulizi ya Iran.
Hali hii imeifanya CENTCOM, kwa mujibu wa ripoti mbalimbali, kuanza kuchagua ni makombora yapi yatunguliwe na yapi yaachwe ikiwa hayana tishio kubwa kwa miundombinu au maisha ya watu.
Ki-muktadha, vita ilipoanza mwezi Februari Marekani walikua na makombora ya Patriot missiles takribani 2,230 lakini mpaka sasa zimebaki takribani makombora 800 pekee sawa na 35% pekee.
View attachment 3641082
Athari yake ni kwamba vita vinaingia hatua mpya ambapo si kila kombora litatunguliwa kama ilivyokuwa mwanzo. Kadiri akiba ya makombora ya kujihami inavyopungua, ndivyo gharama na hatari ya mashambulizi yanayofanikiwa kuongezeka. Wapinzani wanaweza kuona hili kama fursa ya kuendelea kutumia mbinu ya "kuchosha" mfumo wa ulinzi kwa mashambulizi ya mfululizo. Ikumbukwe tathmini zinaonyesha Iran ana zaidi ya makombora ya long range kama kheibar shekan zaidi ya 3,000 ikimaanisha kama wakitumia yote kwa mkupuo marekani haitokuwa na uwezo wa kuyadungua zaidi ya robo.
View attachment 3641084
Changamoto nyingine ni uzalishaji. Makombora ya Patriot na THAAD si silaha zinazotengenezwa kwa wiki chache. Kila kombora lina teknolojia ya hali ya juu na linaweza kuchukua miezi mingi hadi zaidi ya mwaka kutengenezwa na kukabidhiwa, huku kuongeza uwezo wa viwanda kuchukua miaka kadhaa. Ndiyo maana Marekani tayari imeanza kuwekeza mabilioni ya dola kuongeza uzalishaji wa makombora hayo.
Kwa kifupi, hata kama Marekani bado ina uwezo mkubwa wa kijeshi, vita hivi vinaonyesha somo muhimu: katika vita vya kisasa, si suala la nani ana silaha nyingi tu, bali nani ana uwezo wa kuzizalisha upya kwa kasi kuliko zinavyotumika.
Cc Proved
Na wakati anakimbia Vietnam, Somalia na Afghanistani alikuwa Burundi?Pumzika ustazi U.S.A sio Tanganyika.
Wewe swali shukuru Alah amekulinda unapumua.