Wewe huwezi kuelewa kwa sababu uko upande wa hao magaidi.Hata unacho kiongelea hukijui kama kuku kakatwa kichwa
Wewe huwezi kuelewa kwa sababu uko upande wa hao magaidi.Hata unacho kiongelea hukijui kama kuku kakatwa kichwa
Marekani haiwezi kuanzisha ugaidi kisha itumie vikundi vya kiislamu ambavyo vinaamini fika kwamba Marekani ni makafiri wakubwa halafu eti na vyenyewe vikubali, huo ni uongo kabisa, vingekuwa vya kikristo sawa.Hakuna nchi inafadhili ugaidi kuliko Marekani hata hao Al qaeda ni kupitia ufadhili wa operation cyclone.
Upande wa wasunni vikundi vya kigaidi ni vingi sana kuanzia Boko haram mpaka Al shabaab na havijawahi fadhiliwa na Iran. Ukifuatilia vyote hivyo vimetokana na msimamo mkali wa "wahab" ambao pia ulifadhiliwa na US ili kupambana na Urusi na haina chochote cha kuhusiana na Iran.
Sasa unachobisha nini? Marekani ilianzisha operation cyclone ambayo ilihusisha kuanzisha na kuwapa silaha vikundi vya vijana (Mujahideen) huko Afghanistan na ndio vilizaa Taleban na Al qaeda.Marekani haiwezi kuanzisha ugaidi kisha itumie vikundi vya kiislamu ambavyo vinaamini fika kwamba Marekani ni makafiri wakubwa halafu eti na vyenyewe vikubali, huo ni uongo kabisa, vingekuwa vya kikristo sawa.
Hivyo vikundi vya kigaidi ni vya waislamu wenyewe na walivianzisha kwa lengo la kupigania jihadi ili kueneza uislamu kama walivyofanya zama hizo.
Hilo neno "ugaidi" limebuniwa na hao hao USA ukiwa haukubaliani na mambo yao. Hivi unajua hata Mandela alikua anatambulika CIA kama gaidi hatari?Wewe huwezi kuelewa kwa sababu uko upande wa hao magaidi.
Naona unaendelea kupigia mbuzi gitaa 😁😁😁Hilo neno "ugaidi" limebuniwa na hao hao USA ukiwa haukubaliani na mambo yao. Hivi unajua hata Mandela alikua anatambulika CIA kama gaidi hatari?
Ndio na wewe si ndio mwenyekiti wetu kwenye huo upande wetu wa magaidiWewe huwezi kuelewa kwa sababu uko upande wa hao magaidi.
Wazee wa ku ji AIAkili za trump na genge lake zimejulikana dunia nzima!
Refer maneno ya German chancellor...
German Chancellor Friedrich Merz stated that the United States is being "humiliated" by Iran's leadership due to a lack of a clear exit strategy and stalled negotiations in the ongoing Middle East conflict. [1, 2, 3, 4]
Key Statements by Chancellor Merz
- Lack of Strategy: Speaking to students in Marsberg on April 27, 2026, Merz criticized Washington for entering the conflict with Iran without an exit plan, comparing it to past quagmires in Iraq and Afghanistan. [1, 2]
- Skilful Iranian Tactics: He noted that Tehran was skillfully stalling talks and outwitting the U.S. at the negotiating table, letting American envoys travel for discussions that yield no results. [1, 2, 3]
- Economic Toll: Merz emphasized that the prolonged crisis and energy disruptions are exceeding Europe's pain threshold and costing Germany heavily in taxpayer money and economic strength. [1, 2]
Diplomatic Aftermath
- Tensions with Trump: The blunt remarks drew friction with the Trump administration, compounded by threats from Washington regarding U.S. troop levels in Europe. [1, 2]
- Subsequent Outreach: Weeks later, Merz reported having a "good phone call" with President Trump to ease transatlantic tensions while maintaining his stance on Europe needing its own peaceful resolution concepts. [1, 2]