Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

Imekula kwao hao washenzi
 
Hii Dunia ngumu sana hii.
Mambo ya Ulinzi ya USA ambayo hata Trump hayafahamu,ila wewe unafahamu kua hata Trump hayafahamu.
No, the U.S. president does not know everything about national security and the military's arsenal.

While the president has the legal right to ask for almost any secret, practical limits, human memory, and strict rules mean they do not carry every single detail in their head.

Limits on Knowledge and Access Vast amount of data:

The military and spy agencies handle millions of secret facts, reports, and weapon inventories every day. No single person can read or remember all of it.

Sources and methods:
Intelligence agencies sometimes hold back the exact names of human spies or sensitive listening posts unless the president specifically asks for them.

No automatic tracking of every weapon:
The president knows the total numbers and general types of major weapons like nuclear missiles or ships, but not the daily location or status of every single small piece of military gear.

Legal and Constitutional Boundaries Nuclear rules:
By law, the rules for handling and changing the secrecy levels of nuclear weapon data are strictly managed by acts of Congress, setting them apart from regular military secrets.

Other branches of government:
The president cannot legally spy on or demand secret internal files from the judicial branch (courts) or congressional leaders during their private work.
 
Ila wewe mzayuni wa jf unayajua wakati Turampet hayajui
Wazayuni wa jf munatapa tapas kama mumekatwa vichwa
 
Dah! nilijua nimejibiwa na mtu mwenye uelewa kumbe ni kiazi kingine.wewe ndio ulitakiwa u some vizuri mchango wangu na ujifunze.
Umekimbilia kujibu ujinga Hadi aibu naona Mimi.
Kama hujui kitu wewe ungekaa kimya TU kuliko kujiaibisha Bure hapa.
Umekurupuka nikaona bonge la mtaalam Kuna kitu ntajifunza kumbe mataputaputu TU.

Hivi unajua makombora ya Ulinzi hua yanadungua decoys,au kwa lugha rahisi hua yanadanganywa?
Huoni kombora moja la kuzuia kombora la bei kubwa likidangaywa kunakua na hasara mbili?
Hasara ya kwanza ni kombora lenyewe la kudungua kupiga decoy hiyo ni hasara ya gharama,
Hasara ya pili lengo la kudanganywa ni kujua limetokea wapi na hivyo kwenda kuharibu sehemu lilipotokea.
Kwa hiyo hata makombora ya ADS hua yanapiga target za uongo.
Makombora ya kushambulia yanapotea kwa kupiga decoy na makombora ya Ulinzi nayo yanapiga decoy.
Umeelewa wewe mkurupukaji?
 
Ila wewe mzayuni wa jf unayajua wakati Turampet hayajui
Wazayuni wa jf munatapa tapas kama mumekatwa vichwa
Hahahaha tatizo wao waliaminishana humu vitu vingi. Kuna mmoja humu aliwahi kudai hizi silaha ni asilimia moja tu ya vifaa walivyonavyo US sasa hawaamini kusikia eti US nayo inaishiwaga silaha wanaanza kudai Trump hajui silaha zote zilizopo kitu ambacho sio uhalisia
 
Wacha ku copy wewe USA huwa siku zote hakubali kujionyesha dhaifu ukiona kisha fikia kusema dhaifu ujuwe yuko chini sana kuliko level ya dhaifu

We endelea ku copy na ku paste.
 
Inashangaza kuna baadhi ya Thaad ziliharibiwa kule Jordan na mashambulizi ya Iran.

Kumbe hii mifumo haina uthabiti wa asilimia 100?...hapo kwenye kuzalishwa interceptor nyingi ndio wakati wa makampuni ya silaha kupata faida nono (military industrial complex itawatesa mno)..


T14 Armata
 
Hata kwenye vita ya Ukrain tuliambiwa USA ameishiwa missiles hivyo hatampa tena Ukrain makombora lkn tumeshangaa akiyatumia huko iran

Kama Trump kaishiwa missiles jiulize Putin ana hali gani?

Anachoongea Marekani kujihusu yeye huwa kinyume chake. Ndio maana hukawahi ona paredi na masiraha kama kwa wenzake china na urusi
 
Kipindi anajitafuta US kama ulivyosema anaenda kuishiwa,hawezi kuomba msaada kwa washirika wake??kununua??
 
Kwan hayo makombora yanatokea mbinguni? Si yanatengenezwa na binadamu kama wewe ?
 
Kwan hayo makombora yanatokea mbinguni? Si yanatengenezwa na binadamu kama wewe ?
Eeh ndio ni sawa,hayatengenezwi mbinguni,lkn ukiona wannunua nyingine ujue zile za kwanza ama zimeisha ama zImepungua.
Kwa hiyo hoja ya kwamba amepungukiwa na silaha inabaki palepale.
Swali linakuja ni je vita ikichukua miaka miwili atakua amepata hasara kiasi Gani na ameachiev Nini?
 
Labda hukuwahi kuona wewe
 
Kueneza uongo nayo ni mbinu ya kivita!
Issue sio uongo, wanajeshi wa marekani wanakufa na kujeruhiwa sababu interceptors zimepungua unasemaje ji uongo? Hivi US kweli inaweza ruhusu tu kombora liharibu radar na mfumo wa ulinzi kama THAAD zake za gharama eti kisa kudanganya??

Wao US walidai Iran imeishiwa makombora ila cha ajabu mpaka leo bado wanarusha makombora sasa uongo hapo umesaidia nini?

Trump ni mropokaji ndio maana hawezi kudanganya au propaganda vizuri
 
Hapa hatuongelei missiles za kushambulia ila za kujilinda ambazo basically huwa ni chache kuliko za kushambulia.

Ushahidi ni marekani kuomba bajeti kubwa zaidi ya interceptor missiles katika historia yake ili kufidia hili gap actually zaidi ya USD 60 Billion imeshatolewa kwa ajili tu ya Patriot missiles ili zizalishwe na kampuni kma Raytheon na Lockheed Martin. Kama ingekua uongo hiyo bajeti ingeidhinishwa vipi congress bila uchunguzi?

Kwahiyo hizi taarifa ni kweli na uzuri Trump mropokaji atakuja kukiri tu siku moja.

 
Kwan hayo makombora yanatokea mbinguni? Si yanatengenezwa na binadamu kama wewe ?
Umesoma mada kweli? Nimekwambia Iran inatengeneza drones na long range missiles kwa muda mfupi zaidi kuliko kasi ya Marekani kutengeneza interceptor missiles.

Ndio maana US ilipunguza mashambulizi Iran ili wajikoki tena warudi upya.

Hiyo batch mpya ya interceptor missiles inakuja baada ya miezi kibao so ndio tunasema vita hii itaamuliwa na nani anazalisha missiles kwa bei ndogo na kwa haraka zaidi otherwise US atapoteza washirika wake wote maana watakosa guarantee ya ulinzi wa USA.
 
Kipindi anajitafuta US kama ulivyosema anaenda kuishiwa,hawezi kuomba msaada kwa washirika wake??kununua??
Anaweza kuomba ila sidhani kama watampa maana tokea mwanzo waligoma kumsaidia Hormuz wala kushambulia Iran.

Ikumbukwe Trump kila mara hutoa kejeli kwa majeshi ya wanachama NATO kuwa si lolote si chochote sasa kivpi huyo mtu mumpe silaha?? Ametishia hadi kuipora Greenland, hawawezi msaidia kabisa.

Ndio maana ameamua anunue tu kutoka soko la ndani sema ndio hizo order mpaka zije kukamilika ni miezi ya kutosha. Ndio maana kwa sasa wanatumia interceptors chache hasa kwa yale makombora ya Iran yanayolenga maeneo yenye madhara makubwa. Hii ndio strategy ya muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…