Huo ni msimamo wako kama mtu aliyetelekeza utamaduni wake na kuthamini wa mwarabu. Waafrika bure kabisa.Wacha ku copy wewe USA huwa siku zote hakubali kujionyesha dhaifu ukiona kisha fikia kusema dhaifu ujuwe yuko chini sana kuliko level ya dhaifu
We endelea ku copy na ku paste.
Hata wewe si mwafrica au wewe mwenzetu umekuwa Mmarekani umejichubua au vidonge vya mchana vimekufanya uwe na ngozi ya nguruweHuo ni msimamo wako kama mtu aliyetelekeza utamaduni wake na kuthamini wa mwarabu. Waafrika bure kabisa.
Asante,.Anaweza kuomba ila sidhani kama watampa maana tokea mwanzo waligoma kumsaidia Hormuz wala kushambulia Iran.
Ikumbukwe Trump kila mara hutoa kejeli kwa majeshi ya wanachama NATO kuwa si lolote si chochote sasa kivpi huyo mtu mumpe silaha?? Ametishia hadi kuipora Greenland, hawawezi msaidia kabisa.
Ndio maana ameamua anunue tu kutoka soko la ndani sema ndio hizo order mpaka zije kukamilika ni miezi ya kutosha. Ndio maana kwa sasa wanatumia interceptors chache hasa kwa yale makombora ya Iran yanayolenga maeneo yenye madhara makubwa. Hii ndio strategy ya muda mfupi
Hii taarifa ni ya Center for Strategic and International Studies ambayo imejaa wastaafu wa CIA na Jeshi la USA so wana taarifa za ndani sana kuliko kawaida.Kijiwe Cha kahawa iki kinaongozwa na ustadhi Tongwe apa Kila military data ya jeshi la USA utapewa na Hawa wachimba chumvi wa Jambiani ( Salute 🙉)
1. Kuongezeka kwa uharibifu kwenye kambi zao, na kupelekea vifo au majeruhi wengi zaidi maana bila air defence za kutosha makombora yanashuka tu bila upinzani.Na je kwa makadirio ya hiyo 35% ya silaha zilizobaki kwa US ,na idadi ya makombora yaliyobaki IRAN .,Hali ikibaki kama ilivyokua sasa madhara kiasi gani US atapata??
Kuna mambo mengi sana ya kiulinzi ya taifa la Marekani ambayo hata Trump mwenyewe hayafahamu sasa unashangaa mtu yuko Tandika kwa Mchambia Chupa anaongea utafikiri yeye ni The Joint Chief of Staff of the United States Armed Forces..!!!!!
United States has the contingency plans in place that it can employ even at the critical moment when adversaries think they can turn the tables on her but only for them to find themselves to be on the receiving end.
Good insight Mkuu,Hadi kufika hapa Hali ipo hivi sababu ni nini?Marekani hana nguvu ambazo awali tuliamini anazo,Iran wapo bora zaidi ya tulivyodhani,timing or tusubiri suprises?maana katika vita kujifanya unazidiwq ni Mbinu pia, tutegemee nini cha zaidi??1. Kuongezeka kwa uharibifu kwenye kambi zao, na kupelekea vifo au majeruhi wengi zaidi maana bila air defence za kutosha makombora yanashuka tu bila upinzani.
2. Gharama za vita kuongezeka. Kumbuka inabidi bajeti ya vita iongezeke, lakini uharibifu wa mali pia unaongeza hasara. Mfano radar za THAAD zipo kama 10 tu dunia nzima ila kwenye hii vita pekee wamepoteza tayari 4!! Kumbuka kutengeneza 1 tu ni karibu USD 1 Bllion (Tsh 2.6 Trillion) kwahiyo zote hizo ni hasara.
3. Kupoteza ushawishi wa kidiplomasia. Ikionekana USA inapigika au inaweza kuishiwa silaha basi inaondoa ile sifa yao ya "invincibility" na kuonekana "kama sisi tu". Na umeshaona Bahrain huko wanaandamana hawataki makambi ya US na hata Saudi, UAE wote wataishia kujisalimisha kwa Iran kwamba anaweza kuwalinda kuliko USA.
4. USA kupoteza maslahi yake maeneo mengine. Mfano imeondoa Air defenses Korea kusini na sasa wanahamisha za Taiwan je huoni China na North Korea zinaweza pata confidence ya kushambulia ikijua marekani ipo uchi kuliko wakati wowote.
5. Iran kujiimarisha zaidi. Kama Iran wanaona mbinu ya makombora imefanya kazi basi tutegemee hii vita kuwa ya kudumu na mpango wao wa nuclear ndio utaongeza kasi zaidi hivyo watakua hatari kuliko kabla ya vita
Mkuu fuatilia sana siasa za marekaniUlitaka wafanyeje na wamevamiwa? Wakubali tu kupigwa na nchi yao igeuzwe Syria au Libya?
Anyway kilichopo ni kwamba Iran ana makombora mengi kuliko interceptors za Marekani. Na wakati uzalishaji wa interceptors za patriots kama PC3 na PC2 Z huchukua miezi mingi mpaka mwaka hizi za Iran ndani ya wiki zinazalishwa maana inatumia material za bei nafuu.
Iran anahitaji kutoboa October tu na atakua ameshinda vita maana baada ya uchaguzi its obvious Netanyahu hatokuwa waziri mkuu na Trump atapoteza majority ya house of representatives.
Vita ni strategy na timing
Kwa mujibu wa ripoti ya New York Times ambayo ni media ya kuaminika USA inasema tathmini za CIA na NSA zinaonyesha Iran bado ina stock yake ya makombora kwa zaidi ya 70% ya kombora zake za kabla ya vita takribani makombora 3,000 hadi 4000 ya medium to long range. Sasa hayo ni mara 3 au 4 ya interceptor missiles za USA kwahyo kama ingetokea leo wapige target elfu 3 kwa wakati mmoja basi USA ingekua na uwezo wa kuzuia makombora 1,000 pekee na hayo 2,000 yangepiga kambi za USA bila upinzani wowote ule.atapata??Na itachukua muda gani Iran kumaliza Makombora yake???..
Marekani ana jeshi kubwa kuliko nchi yoyote ile duniani na of course ana silaha na vifaa kuliko Iran kwa mbali sana tatizo ni kwamba US na Israel huwa zinategemea zaidi kushambulia kwa kasi na kummaliza adui kabla hata hajapata muda wa kujiandaa (pre-emptive and decapitation strikes). Ndio maana vita ilipoanza walishambulia air defense, radars, ndege, na meli kwa spidi sana wakiamini sasa Iran hana nguvu tena.Good insight Mkuu,Hadi kufika hapa Hali ipo hivi sababu ni nini?Marekani hana nguvu ambazo awali tuliamini anazo,Iran wapo bora zaidi ya tulivyodhani,timing or tusubiri suprises?maana katika vita kujifanya unazidiwq ni Mbinu pia, tutegemee nini cha zaidi??
1. Mazungumzo maana USA imeanza kuheshimu Iran kwa sasa.tutegemee nini cha zaidi??
Hiyo taarifa mbona ni public na imeandaliwa center for Strategic and International studies (CSIS) ni taasisi imejaa majasusi wa NSA. Kwahiyo wala haihitaji kusimuliwa na mtu au AI iseme.Nmecheka sana. Huyo dogo kakaa kwa shemeji yake kasimuliwa na sheikh ubwabwa na kutengenezewa kwenye AI kaja kuanzisha uzi....
Pendelea zaidi kusikiliza kuliko kusikilizwaHuo ni msimamo wako kama mtu aliyetelekeza utamaduni wake na kuthamini wa mwarabu. Waafrika bure kabisa.
Yaani wasuni wategemee kulindwa na washia ambao wanajua ni makafiri, kwa nini unashusha sana hadhi ya hili jukwaa kwa kuandika tu porojo za masjid ubwabwa kila siku. Bure kabisa nyie islamist jihadists.1. Kuongezeka kwa uharibifu kwenye kambi zao, na kupelekea vifo au majeruhi wengi zaidi maana bila air defence za kutosha makombora yanashuka tu bila upinzani.
2. Gharama za vita kuongezeka. Kumbuka inabidi bajeti ya vita iongezeke, lakini uharibifu wa mali pia unaongeza hasara. Mfano radar za THAAD zipo kama 10 tu dunia nzima ila kwenye hii vita pekee wamepoteza tayari 4!! Kumbuka kutengeneza 1 tu ni karibu USD 1 Bllion (Tsh 2.6 Trillion) kwahiyo zote hizo ni hasara.
3. Kupoteza ushawishi wa kidiplomasia. Ikionekana USA inapigika au inaweza kuishiwa silaha basi inaondoa ile sifa yao ya "invincibility" na kuonekana "kama sisi tu". Na umeshaona Bahrain huko wanaandamana hawataki makambi ya US na hata Saudi, UAE wote wataishia kujisalimisha kwa Iran kwamba anaweza kuwalinda kuliko USA.
4. USA kupoteza maslahi yake maeneo mengine. Mfano imeondoa Air defenses Korea kusini na sasa wanahamisha za Taiwan je huoni China na North Korea zinaweza pata confidence ya kushambulia ikijua marekani ipo uchi kuliko wakati wowote.
5. Iran kujiimarisha zaidi. Kama Iran wanaona mbinu ya makombora imefanya kazi basi tutegemee hii vita kuwa ya kudumu na mpango wao wa nuclear ndio utaongeza kasi zaidi hivyo watakua hatari kuliko kabla ya vita
😂😂😂Hii Dunia ngumu sana hii.
Mambo ya Ulinzi ya USA ambayo hata Trump hayafahamu,ila wewe unafahamu kua hata Trump hayafahamu.
Huu ukweli ambao wengi hawapendi kuusikia. Bila ulinzi wa US, Israel haina uwezo wa kupambana yenyewe hapo middle east.US general warns Pentagon he doesn’t have military resources to protect Israel: report
Mbona hamas ni sunni na anasaidiwa na Iran? Hata Lebanon sio shia majority ila inapambaniwa na Iran tokea 1982.Yaani wasuni wategemee kulindwa na washia ambao wanajua ni makafiri, kwa nini unashusha sana hadhi ya hili jukwaa kwa kuandika tu porojo za masjid ubwabwa kila siku. Bure kabisa nyie islamist jihadists.
Hamna mbinu cnn washingtonpost hawa wote ni wapinzani wa republican wanachosema basi juwa wanamaanisha mfano Washington walitoa siri kibao kipindi hiki cha vita mpaka walitaka kushtakiwa na Serikali ya TrumpKueneza uongo nayo ni mbinu ya kivita!