Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

Trump alishindwa kusoma mchezo mapema unaanzishaje vita na rafiki wa maadui zako?
Urusi
China
Kolea ya Kiduku
Hawa wote ni maadui wa Marekani lakini pia Irani ni rafiki Yao kipenzi Kwa hiyo Irani hata kama ataishiwa siraha atapewa tu
 
Kuna watu wanasema merekani imeshinda vita kisa imeua mkuu wa nchi na viongozi wengine
Ila chakushangaza sasa bado anapigana vita
Kuna wachafuzi uchwara kweli kweli hapa ndani
 
Na kinachokufanya uamini US atashinda ni ulokole
US alikimbia Vietnam, Somalia na Afghanistan na sasa kwa Iran yamefika shingoni
Somalia na Afghan "kakimbia" lakini US ana military bases zake nchi zote 2 hizo plus Somaliland kupitia Israel..
 
Vyanzo vingine vinadai pia, huenda hio ni Mbinu/Janja Chama Cha Republican ya Trump kuomba pesa bungeni ya kuendelea kufadhili vita pia njia nyingine ya matajiri wa trump na washirika kuendelea kufanya "war business" uku wengine wakiathirika wao wakipigwa pesa kupitia vita
 
Kifupi ni kwamba USA walimchukulia poa sana IRAN, walifikirini Mbwa koko kwamba utaenda nyumbani kwake na jiwe au fimbo umtishie akimbie ujichukulie mali...Thubutu yakee...😁 Ngoma imekuwa nzito, tofauti na matarajio yake

Kingine Trump alijua hata akipata ugumu mahala basi nchi za Ulaya zitakuwa upande wake kumsupport, nazo zimemgomea wazi wazi maaskini
 
Trump alishindwa kusoma mchezo mapema unaanzishaje vita na rafiki wa maadui zako?
Urusi
China
Kolea ya Kiduku
Hawa wote ni maadui wa Marekani lakini pia Irani ni rafiki Yao kipenzi Kwa hiyo Irani hata kama ataishiwa siraha atapewa tu
Bonge la point,na hapa ndio penye Mzizi wa fitina.

-Wewe huwezi kua unamsaidia Ukraine kwa silaha na fedha ili ampige Urusi,halafu Urusi akapata nafasi kama hiyo akaacha kukunyoosha.
-huwezi kua unatishia kumvamia Korea kaskazini halafu akapata na fasi ya kukudhoofisha akakuacha.
-huwezi kua unampatia silaha Kali adui yake na jirani yake Taiwan ili akupige,unampandishia Kila aina ya ushuru,halafu akapata nafasi kama hiyo akakuacha.
-wamwona jinsi ulivyomfanyia Venezuela,wapate nafasi kama hiyo waache kukunyoosha.
Ndio maana tunasema hivi,hii vita Marekani atapata taabu sana.
 
Kuna watu wanaswma merekani imeshinda vita kisa imeua mkuu wa nchi na viongozi wengine
Ila chakushangaza sasa bado anapigana vita
Kuna wachafuzi uchwara kweli kweli hapa ndani
Bwana Utam,hiyo ndio staili ya asili ya ushindi wa Marekani.
  • walienda Afghanistan kupigana na utawala wa watalaban ili kuwaondoa,wakapigana kwa miaka 20,wamarekani wakaondoka watalaban wakabaki madarakani.
  • wameenda Iran kupigana na utawala wa akina Ayatollah,wakaua Ayatollah aliekua kiongozi,akakalia kiti mtoto wa ayatola alikufa.
Utawala wa kiayatola umebaki,wamarekani wa jioni wanakuambia Marekani ameshinda.
Huo ndio aina ya ushindi wa Marekani kwa mujibu wa Wamarekani wa JF.
 
Hata mimi nilikuwa nafikiria hivyo kuwa usa wana watu smart mpka trump alivyokuja kunifungua akili .. amka mkuu usa ni taiifs la hivyo sana kwenye kufanya maamuzi.. na sasa ndo wamezinguanana na mchina kwenye critical mineral ndo inaongeza ugumu
 
Ameshinda huku ameshikilia Humuzi .. kitu ambacho wazayuni kinawatesa sana .. maana kupitoa humuzi ndo ataanza kuujenga uchum wake vizuri
 
Wabei ya jioni 😁😁😁
 
Amiri jeshi mkuu asijue chochote utakuwa una Akili kweli wewe !?
 
Hii Dunia ngumu sana hii.
Mambo ya Ulinzi ya USA ambayo hata Trump hayafahamu,ila wewe unafahamu kua hata Trump hayafahamu.
Bwana weee πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† jamaa yupo kimbiji na anajua kwamba Kuna mambo ya ulinzi ya USA ambayo hata trump ha
yafahamu lakini yeye kaweza kufahamu kwamba Kuna hayo mambo ambayo trump hayafahamu, hii Kali
 
Hiv bado mnafikiri hii vita Iran atatoboa? Kinachowafanya wanakaza NI imani Tu ya kidini ambayo wanayo,....na ndo inayoimaliza Iran,
Iman ya kidini inatoa msaada upi ili mtu asilipuliwe na bomu !? 🀣🀣🀣
So Imani ya kidini inaweza kuzuia bomu lisilipuke !?
Hii platform inauhaba wa watu wenye Akili timamu
 
Mbona hamas ni sunni na anasaidiwa na Iran? Hata Lebanon sio shia majority ila inapambaniwa na Iran tokea 1982.

Kingine hizi mada mbona zinahusu vita haya ya dini umeyatoa wapi? Jibu hoja mezani kama zimekuzidi uelewa nenda MMU.
Hivyo vikundi vya kigaidi ndivyo anafadhili bila kujali itikadi zao kwa sababu wasuni wanapigana sana dini yao itenganishwe na ugaidi kitu ambacho washia wao hawakitaki.
 
Hivyo vikundi vya kigaidi ndivyo anafadhili bila kujali itikadi zao kwa sababu wasuni wanapigana sana dini yao itenganishwe na ugaidi kitu ambacho washia wao hawakitaki.
Hakuna nchi inafadhili ugaidi kuliko Marekani hata hao Al qaeda ni kupitia ufadhili wa operation cyclone.

Upande wa wasunni vikundi vya kigaidi ni vingi sana kuanzia Boko haram mpaka Al shabaab na havijawahi fadhiliwa na Iran. Ukifuatilia vyote hivyo vimetokana na msimamo mkali wa "wahab" ambao pia ulifadhiliwa na US ili kupambana na Urusi na haina chochote cha kuhusiana na Iran.
 
Hivyo vikundi vya kigaidi ndivyo anafadhili bila kujali itikadi zao kwa sababu wasuni wanapigana sana dini yao itenganishwe na ugaidi kitu ambacho washia wao hawakitaki.
Hata unacho kiongelea hukijui kama kuku kakatwa kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…