Marekani yamaliza 65% ya makombora kwenye vita ya Iran

Marekani haiwezi kuanzisha ugaidi kisha itumie vikundi vya kiislamu ambavyo vinaamini fika kwamba Marekani ni makafiri wakubwa halafu eti na vyenyewe vikubali, huo ni uongo kabisa, vingekuwa vya kikristo sawa.

Hivyo vikundi vya kigaidi ni vya waislamu wenyewe na walivianzisha kwa lengo la kupigania jihadi ili kueneza uislamu kama walivyofanya zama hizo.
 
Sasa unachobisha nini? Marekani ilianzisha operation cyclone ambayo ilihusisha kuanzisha na kuwapa silaha vikundi vya vijana (Mujahideen) huko Afghanistan na ndio vilizaa Taleban na Al qaeda.


Na hapo kuna picha wapo ikulu ya marekani kabisa, yaani hao mnaoita magaidi wameshafika hadi ikulu ya white house kama washirika!!
 
Wewe huwezi kuelewa kwa sababu uko upande wa hao magaidi.
Hilo neno "ugaidi" limebuniwa na hao hao USA ukiwa haukubaliani na mambo yao. Hivi unajua hata Mandela alikua anatambulika CIA kama gaidi hatari?
 
Kijana kutoka nambumbo umeshiba ugali na uyoga unachambua habari za sunia ya 10 huko...we chambua habari za jeshi la nyumbu
 
Wazee wa ku ji AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…