Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani.

Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika Kusini, ni mtu anayeendekeza siasa za ubaguzi wa rangi, na anayemchukia Rais Trump, na kwamba balozi huyo hawezi kukaribishwa Marekani. Rubio ameyaandika hayo kwenye mtandao wa X, akisema kuwa hawana cha kujadiliana na mtu kama huyo, na sada balozi huyo anachukuliwa kuwa ni persona non grata.

Habari kamili:

ALJAZEERA

US declares South Africa’s ambassador persona non grata​


US Secretary of State Marco Rubio has called envoy Ebrahim Rasool a “race-baiting politician” who hates the US and President Donald Trump.
“South Africa’s Ambassador to the United States is no longer welcome in our great country,” Rubio said in a post on social media platform X.
“We have nothing to discuss with him and so he is considered PERSONA NON GRATA,” Rubio said.
 
DOGE inawafikia mabalozi?😅😂😂😂
======
Yanayojiri baina ya nchi hizo mbili yanatugusa watanzania kwa namna moja au nyingine, cjiu hii itaishia wapi.

Nelson Mandela anasikitishwa sana😳
Huyo anatumia uswahiba wake na Trump kuiadhibu nchi yake ya kwanza!

Kwa sasa Ramaphosa anongea na Trump kisha Musk na siyo Rubio.
 
Trump administration inamambo mengi kama waimba Singeli,kila siku hekaheka
 
Raisi Musk kaamua hilo sio Marekani.

Elon amedhihirisha rasmi kuwa hakuna chochote kisichoweza nunulika duniani. Kama utani mwamba kanunua uraisi wa Marekani bila hata ya kuwa Mmarekani mwenye sifa za kuwa raisi.
 
Back
Top Bottom