Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Iran ana njia nyingi sana ambazo anatumia kuuza mafuta yake, Anauza kwa Turkey, China, India na nchi nyingi sana, baadhi ya nchi za Ulaya zinanunua mafuta ya Iran kwa masharti, so Tramp hakufanikiwa ile 0% ya kutokuuza mafuta alioitaka
Labda utuambie Iran anafikishaje mafuta yake sokoni.
Anaji besiege mwenyewe njaa ikimnukia msiseme kuwa hicho (njaa) sio kichapo cha USA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soon Iran itapambana na natural calamity it could be a strong earthquake or Locusts swam,
Marekani itawapa msaada wa chakula na uokoaji upon request.

Watu wamehamia kwenye biological warfare na nature calamities bila wengine kutambua. Inapigwa Snow magari yote yanafukiwa na snow baridi ya hatari Kama waliyokumbana nayo wajerumani kule Russia kwenye WW2 askari wanashindwa hata kushika dudu zao ili wakojoe ni full kutetemeka miezi minne hamjaomba misada tu hapo!
 
Ww kwa uchambuzi wako umejuaje kuwa wanaarisha? Unaish israel? Embu talk ukiwa na vivd evidence.. ial sio uwe team iran kwa ushabiki tu. Bianfsi siko timu yoyote..maana ushabiki unakuweka mbali na fact.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ni watu. Iran wanaishi wairan. Utakuwa kichaa kurusha mabomu kwenye nchi isiyo na watu. Ukiwa unaua wairan nchi itabaki tupu. Nchi ni watu. Naona maji yamefika shingoni na hauna cha kujitetea.
Iran tayari kaguswa kwahiyo moja wa General kwenye serikali ya Iran kapungua. Iran anatakiwa asipanic ajifanye hajui atulie kama Kiduku maana akisema akomae atawaumiza raia wake. Ukumbuke Israel na mwingereza nao wapo kwenye hii vita na unaweza kushangaa Saudia Arabia na Russia wakamsapoti Marekani. Kibaya zaidi Iran yupo pekee yake. Waarabu hawana umoja. Kila mtu anapigana kivyake
IRAN Kaguswa Na Marekani Wapi [emoji23][emoji23][emoji23]US Hawez Kumgusa IRAN Ila Anaweza Kuwagusa Wairan...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USA ana mafuta
Sent from my GT-I9152 using JamiiForums mobile app
 
Brother mbona processor yako iko Low kuelewa small issues 😊😊😊
 
C

Chimunguru,

Hapo siyo kweli, jiografia ilipuuzwa na majenerali wa Napolean Bonaparte kisha kurudiwa tena na Wajerumani WW2. Somo la geography na kumbukumbu za Idara ya Hali ya Hewa inaweza kuwa muamuzi wa nani mshindi ktk vita :

Why did both Napoleon and Hitler fail to defeat Russia ...

28 Sep 2002 · Was the German (Axis) and Napoleons armies doomed from the day they set they're foot in Russian soil? Or did they both make critical mistakes that caused they're own downfall READ MORE : Why did both Napoleon and Hitler fail to defeat Russia?
 
Kama kungekuwa na mafuta ya magendo bei ya mfuta ingeporoka, kanuni hii inanishawishi kuwa si china wa india anayenunua mafuta ya magendo.

Kupanda kwa bei ya mafuta kwa 50% nchini Iran kulisababisha maandamano Teheran, a vivid indicator that the regime is struggling.
Regime change outcry is beeping louder.
 
hao wairan ni wajinga sana, hicho kidude kilichomshambulia General kilikuwa angani pamoja na hiyo ndege sasa walishindwaje kumanage situation ya kakitu kuwa angani jirani na ndege iliyobeba mtu sensitive namna hiyo?
Mkuu sifa kuu ya Soleiman ni General asiyekaa ofisini japo KU na hadhi kubwa yeye hobby yake kubwa ni kwenye war line.yeye ofisi yake ni kule kwenye uwanja wa Vita na ni mtu aliyekoswa koswa mara nyingi Sana kote Syria na Iraq na kwake ni fahari kuanguka ktk harakati za Vita na sio ofisini hao ndio walioifanya Iran ikawa Iran
 
To mourn a soldier who used to cause families to waill in grief is absurd. They are drinking using the same cup.
 
Acha ujinga ndugu vita sio kitu rahisi kama unavyo fikiria.
Hata jeshi dhaifu kama la kwetu haliwezi kupingwa kwa siku moja.
 
Magendo kivipi mkuu, Magendo kwa Us but kwa nchi huru hawezi kuwapangia nn wafanye
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda utuambie Iran anafikishaje mafuta yake sokoni.
Anaji besiege mwenyewe njaa ikimnukia msiseme kuwa hicho (njaa) sio kichapo cha USA.
Kama hawauzi mafuta wanaiendeshaje nchi yao? au inaendeshwa kwa kodi za tra ya jiwe?
 
US alishasema "All Options Are On The Table" na too Bad War Monger Himself Michael Bolton hayupo mbona mambo yangenoga............Ila Binafsi natamani Saaaaana Saaaana IRAN aanzishe Vita na US tumalize Ubishi.
Jamaa unapenda vita kwa ajili ya kumaliza ubishi? You are not serious bro. Vita ni kitu kibaya sana, kisikie kwa jirani yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Iran Soleimani death: Huge protests in Iran after General killed in US strike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…