Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Uongo mtupu,mliambiwa mlete credible source ku-support hii kitu mkala kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ww kwa mfano ata kama wana F35 itaenda kushambulia vipi anga za Iran? Wakati new model drone ambayo eti wanasema haionekani ilichakazwa ata haijaingia kwenye anga la Iran?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saivi wanalipwepa hili tukio wanasema "OLE WAKE AGUSE ARDHI YA IRANI"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ww kwa mfano ata kama wana F35 itaenda kushambulia vipi anga za Iran? Wakati new model drone ambayo eti wanasema haionekani ilichakazwa ata haijaingia kwenye anga la Iran?

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati F35 ya Israel ilishaingia Iran na kupiga picha vituo vya Irani na kusababisha kamanda kufukuzwa kazi nakupa linki.

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312] soma hiyo iliripotiwa na vyombo vya Kiarabu vya Lebanon
 
Aaaaaa mkuu kwa hio unataka kusema hao Izrail Waliingia kwenye anga la Iran na kupiga picha bila ya rada za waajemi kuziona? Yaani Waliingia alaf wasishambulie maadui zao? Acheni utani banaaaa

This Iranian Commander Kept Secret That Israeli F-35 Stealth Fighters Had Violated Iran Airspace

Israel has praised the Lockheed Martin F-35 as a “game-changer”.

Islamic Republic of Iran Air Force (IRIAF)commander Brigadier General Farzad Ismaili, who had been in office since 2010, has been fired by Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei after he kept secret that Israeli Air Force (IAF) F-35 stealth fighters had violated Iran’s airspace, the Kuwaiti daily Al Jarida reported on Saturday.

The newspaper emphasized that it was the original media source that exposed the Israeli raids, which had taken place in March 2018. Al Jarida cited senior Iranian military who said that only following its March report did the intelligence services of the Revolutionary Guards and the Iranian intelligence ministry begin to investigate the case, under Khamenei’s direct orders.

According to the newspaper’s investigation, “the IAF F-35 “Adir” planes penetrated Iran’s airspace, circled high above Tehran, Karajrak, Isfahan, Shiraz and Bandar Abbas – and photographed Iran’s air defense system.”
 
Kuripotiwa kwa vyombo vya Kiarabu vya Lebanon haimaanishi kuwa ni kweli, hii dunia sasa kuna propaganda nyingi sana mkuu, huko Lebanon pia kuna vyama vinawachukia Iran as well as meddle east kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tramp anaanza kuharisha, muoga sana huyu babu [emoji23][emoji23]View attachment 1311179

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukitafakari hiyo tweet vizuri utaelewa Marekani wako kimaslahi Zaidi pia uelewe No one has achieved greatness by playing it safe
Hao wako Middle east kitambo hizo Vita wakizitaka wanaweza zicheza iwe kichawi au kutumia majini wako vizuri.
Wanatengeneza tatizo then wanalitatua ndo dunia ilivyo,
Mwaka wa uchaguzi huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuripotiwa kwa vyombo vya Kiarabu vya Lebanon haimaanishi kuwa ni kweli, hii dunia sasa kuna propaganda nyingi sana mkuu, huko Lebanon pia kuna vyama vinawachukia Iran as well as meddle east kwa ujumla

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo mkuu ukibishia hadi Al jazeera sa we sikuwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…