Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

EINSTEIN112,

sasa tunasubiri Iran "ijitutumue" kuanzisha vita na USA! Iran umepata mwanya wa kumpiga USA, itumie nafasi hii kumpiga maana ulikuwa unatamani such an opportunity to offer itself!
Lakini pia kumbuka hata Iran imeshaifanyia matukio mengi marekani ambayo yangeipa sababu ya kuanzisha vita na Iran lakini wakanywea kwa sababu walipima madhara gani yanaweza kutokea.
Kwa hiyo hata Iran ni razima ipime kwanza ni madhara gani itakayo yapata iwapo itaishambulia moja kwa moja marekani ndipo wafanye maamuzi sahihi.
Lamsingi ni kuomba vita kati ya mataifa hayo visitokee maana hata sisi tusio husika tutakiona cha Moto.
 
Lakini pia kumbuka hata Iran imeshaifanyia matukio mengi marekani ambayo yangeipa sababu ya kuanzisha vita na Iran lakini wakanywea kwa sababu walipima madhara gani yanaweza kutokea.
Kwa hiyo hata Iran ni razima ipime kwanza ni madhara gani itakayo yapata iwapo itaishambulia moja kwa moja marekani ndipo wafanye maamuzi sahihi.
Lamsingi ni kuomba vita kati ya mataifa hayo visitokee maana hata sisi tusio husika tutakiona cha Moto.
Iran hana lolote ni kujitutumua tu1
 
HIYO NDIO AMERICA BWANA IMESEMA WAZI SISI NDO TUMEMUUA UMEKASIRIKA INGIA MZIGONI UONE....IRAN MAKELELE TU HANA UBAVU WA VITA NA AMERICA UKWELI UKO HIVYO

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo hayahitaji hasira. Kuanzisha vita uvamiwe ndani ya mipaka yako au sababu nyenginezo nzito kama hiyo. Hata kwa Amerika ilitokea, wanajeshi wake pamoja na boti/meli yao ya kijeshi walitekwa na Iran. Swali la kujiuliza mbona Amerika hakutangaza vita na Iran?

Fikiri kwa mapana.
 
Hehehe Mkuu
Kuwa Upande wa Saddam Miaka Tajwa Hapo Ya 90s Sio Ishu Wala nn

Ishu Nikwamba Hata Afrika Mashariki Ilikua naufahamu Wakwamba Jamaa Nisuala Lamuda 2 kama ilivyotokea kwa LIBYA Unategemea Nn Inapotokea Unagombna Na Rafiki Yako Ambae Alikua Anakupa Pesa Yakula Alikua Anakupa Madili Yakupata Pesa Alokua Anakutambulisha Kwawatu Ili Upate Pesa Na Ikiwezekana Hata Mke Ulonae Jamaa Alikufanzia Mipango Yeye !?..
IRAQ Alokua Anauziwa Silaha Karibu Asilimua 90s% Kutoka Kwahao Hao Watu Walomgeuka Ulitegemea Yakwamba Atashinda Hio Vita Ulikua Unakosea Sana Mkuu
Nyie wote mnaodhani Iran anauwezo huo nawaonea huruma Sana. Nilikuwa upande wa Saddam Hussein ile miaka ya 90s, kwa mikwala aliyokuwa akipiga Saddam Hussein nilijuwa Marekani kwishney. Maskini alipigwa kama mbwa koko roho ilituuma sana. Lkn ulikuwa ni ushabiki tu usio na uhalisia. In a long run nikajagundua kwamba marekani yupo far away kwenye Hii game ya vita technologicaly ame advance Sana. Iran ana disadvantage kubwa Sana maana amezungukwa na American military base hapo Saudia, Kuwait na nyambizi kibao baharini kwa hiyo bora wapige mkwara WA maneno tuuu halafu wakaushe.
Nakama Ulikua Unawaza Kama IRAN Anauwezo Wakumpiga US Pia Unakosea Sana Ila Kama Itatokea Vita Ikapiganwa Baina Ya IRAN na US Amini Yakwamba Itakua Vitakubwa Kuwahi Kupiganwa Na US Toka Baada Ya Vita Ya Dunia Maana Ujue Kabsa Hio Vita Itapiganwa Mashariki Yakati Nzima Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Mpaka Nje Yamipaka Yake Mpaka Ndani Yamipaka Ya IRAN Nakama IRAN Atapigana Na US Hata Kama Vita Itadumu Kwa Masaa 24 Tu Nakumalizika Iwe IRAN Kapigwa Na Hatamaniki Basi Ujue US Atahamisha Majeshi Yake Yote Mashariki Yakati Maana Mashariki Yakati Ndio Itakua Haidhibitiki Tena


Mwisho Kabisa Hakuna Vita Itapiganwa Ndani Ya IRAN Sababu Hata IRAN Hawez Ishambulua IRAN Ndani Yamipaka Yake Jambo Ambalo Litakua Ni Direct Provocation Kwa US Dhidi Ya IRAN...

US Wanaweza Wakawaua Wairan Popote Walipo Hatahapo Nchini Kwako Nsipo Pajua Ila US Hawez Kushubutu Kurusha Hata Jiwe Ndani Ya Mipaka Ya IRAN

Haya Yote Sababu US Kaona Vikwazo Dhidi Ya IRAN Havina Natija Kwahio Sasa Anahangaika Tuu [emoji23][emoji16][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia tena omba vita isitokee kati ya hayo mataifa kwa sababu hata wewe usiye husika utathirika katika maisha yako ya kila siku.
Hujanielewa, nasema Iran hawezi "kumpiga" USA! Definitely ikija issue ya petroleum dunia nzima itathirika maana everybody in one way or another depends on petroleum for energy supply in a number of life amenities!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji2]
NIGUSE NINUKE,. USA Wameguswa na Wamenuka Iran kazi Wanayo Wakijichanganya watatandikwa mpaka Wapoteane.
Kama US Alichemka Kuipiga IRAN Alipotunguliwa Drone Yake Unahisi IRAN Kwa Sasa Atafanya Lolote

Pole Sana MKUU Hili Suala Halitakaa Lipite Hv Hv Ila Sio Kwaleo Kesho Wala Kesho Kutwa Napengne Hata Kwamwaka Huu.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujanielewa, nasema Iran hawezi "kumpiga" USA! Definitely ikija issue ya petroleum dunia nzima itathirika maana everybody in one way or another depends on petroleum for energy supply in a number of life amenities!
Yaa ndio hivyo tuendelee kuomba Iran wajifanye wajinga tu ili na hili lipite kama mengine yaliyo pita kwa sababu kama ni jeneral watapata mwingine tu.
Sio mtu mmoja asababishe dunia iwe jihanamu ndogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ss mossad inaogopa nn kutangaza kama wamehusika Ama Wanamuogopa MUAJEMI ?!...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo tabia ya Mossad Al abet, wanatwanga wanarudi, wanasubiri wewe utoe tamko, la kulaani, hata some times wasikujibu kwa maneno, Ujue maneno ni silaha kubwa sana?
But Mossad wana slogan yao! ''SILENCE IS GOLD''
Iran kutangaza kwamba ni USA bado wanatapatapa, hawajui ni shambulizi la nani!
 
Mwenye nadharia yoyote anielimishe.
Naogopa wasije wakatufanyia hivyo viongozi wetu maana kama wameweza kupenye IRAN/IRAQ watashindwaje kwenye vi nchi vyetu kuwamaliza wasiowapenda?
 
Mwenye nadharia yoyote anielimishe.
Naogopa wasije wakatufanyia hivyo viongozi wetu maana kama wameweza kupenye IRAN/IRAQ watashindwaje kwenye vi nchi vyetu kuwamaliza wasiowapenda?
Huku hua wanatuangalia tu tunavyowaita sijui mabeberu,wanatuona hatuna madhara wanatupotezea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahusika wa ile fiasco wameuliwa hiyo meseji kwa wengine
Ni aibu sana General "mkakamavu na anaeyegemewa" kufa kizembe namna hii,hii inaonyesha kuwa Iran intelligence yake bado ipo chini sana na pia hawana maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Sababu baada ya issue ya Ubalozini huyu General asingepaswa kuwepo Iraq ila kwa kuwa wameishi kwa mazoea na mawazo mfu ya kuwa Marekani hatafanya chochote eti kwa sababu ya Uchaguzi sasa ndio inakula kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa mnaota nyie Anti America
R.I.P Quasem Suleiman. Utakumbukwa kwa mchango wako wa kuimarisha nguvu za jeshi la Iran.
Unawazaje kumuua mtu aliyefanikisha kutokomeza kwa kiasi kikubwa ISIS(Daesh), Al Nusra, Al Qaeda!? Nadhani sasa, Iran watakuwa na sababu,nia, uwezo, nguvu ya kumshughulikia aliyesabaisha madhira haya. Tusubiri tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom