RTI
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 2,423
- 7,155
Lakini pia kumbuka hata Iran imeshaifanyia matukio mengi marekani ambayo yangeipa sababu ya kuanzisha vita na Iran lakini wakanywea kwa sababu walipima madhara gani yanaweza kutokea.EINSTEIN112,
sasa tunasubiri Iran "ijitutumue" kuanzisha vita na USA! Iran umepata mwanya wa kumpiga USA, itumie nafasi hii kumpiga maana ulikuwa unatamani such an opportunity to offer itself!
Kwa hiyo hata Iran ni razima ipime kwanza ni madhara gani itakayo yapata iwapo itaishambulia moja kwa moja marekani ndipo wafanye maamuzi sahihi.
Lamsingi ni kuomba vita kati ya mataifa hayo visitokee maana hata sisi tusio husika tutakiona cha Moto.