jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Iran hatafaidika na kupanda kwa bei ya mafuta (vikwazo ni noma)
N.b USA is a top oil producer.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iran hatafaidika na kupanda kwa bei ya mafuta (vikwazo ni noma)
URGENT: Israel is on high alert after US eliminated IRGC commander Soleimani - reports Israel is on High Alert After US Eliminated IRGC Commander Soleimani - Reports Sputnik on Twitter
Izrail wanaanza kuharisha huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Dude.. walichoandika ni israel kiwa attention au standby kwa matukio yoyote. Ila sio kwamba wameogopa kama unavyodai
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapanic ila nakurekebisha sentence zako maana inaonekana unaongeza chumvi zisizo na umuhum wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzake wanaendelea kupiga hela yeye Iran amekakamaa kudhibiti ak47 mikononi.Iran has promised to retaliate for the killing of a key military commander in a US airstrike.
One place is particularly vulnerable: the Strait of Hormuz, off Iran's southern coast: Iran could disrupt shipping through the Strait of Hormuz. Here's why that matters
HAKUNA MAMELI YALIOPITA STRAIT OF HORMUZ MPAKA SASA, INAONEKANA MELI ZINAHOFIA, NA F14 ZA IRAN ZIKO TAARI MIPAKANI, MUFUTA YAMEPANDA 4% MPAKA SASA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzake wanaendelea kupiga hela yeye Iran amekakamaa kudhibiti ak47 mikononi.
Kwa ujinga wake ataprovoke ulaya ione sababu ya kumchapa (straight of hammuz"spelling")
Neno "HAWEZI" unalitumia vibaya.IRAN Kaguswa Na Marekani Wapi [emoji23][emoji23][emoji23]US Hawez Kumgusa IRAN Ila Anaweza Kuwagusa Wairan...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio reality hiyo ungeniambia China au Russia ungekuwa na points lkn Iran. Mmarekani ni hatari zaidi ya uijuavyo. Wanaweza wakakupiga na earthquake ya 8.5 magnitude kamji kako kote kakalala chini ukaanza kuhangaika na raia wako ukamsahau huyo generali. Unakumbuka Iran mlikuwa mnalialia Israel anazuia mvua isije kwenu? Usidhani naipenda sana US lkn naongelea uhalisiaHaaa kwa watu kama ww ccm itatawala milele .
Labda utuambie Iran anafikishaje mafuta yake sokoni.
Hapana siyo conspiracy Theory mkuu, kwa sababu;Stori za vijiweni zina raha yake. Wewe ni mtaalam conspiracy theory mkuu. Hiyo ni theory na itabaki kuwa theory. Uhalisia ni kuwa Gen Qasim kauawa na alikiri kumuua ni marekani. Sasa marekani anahusika au hahusiki, hiyo ni kazi ya intelligence agencies, mengine yote ni porojo tu kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Je marekani anafanya nini huko si arudi kwakë watu kufa unaita kichapo. Sijajua we ni mtu wa aina gani.Huyu alikuwa ndio mchora ramani wa Iran kwa shughuli zao zote nje ya Iran, kuanzia kushambuliwa kwa Visima vya Mafuta vya Saudi Arabia mpaka kuteka meli na bila kusahau kashikashi la Ubalozi wa Marekani. Tungoje tuone Iran atafanya nini,sasa hivi kichapo kwake kipo wazi wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
soon Iran itapambana na natural calamity it could be a strong earthquake or Locusts swam,Ndio reality hiyo ungeniambia China au Russia ungekuwa na points lkn Iran. Mmarekani ni hatari zaidi ya uijuavyo. Wanaweza wakakupiga na earthquake ya 8.5 magnitude kamji kako kote kakalala chini ukaanza kuhangaika na raia wako ukamsahau huyo generali. Unakumbuka Iran mlikuwa mnalialia Israel anazuia mvua isije kwenu? Usidhani naipenda sana US lkn naongelea uhalisia
Nadhani sasa, Iran watakuwa na sababu,nia, uwezo, nguvu ya kumshughulikia aliyesabaisha madhira haya. Tusubiri tuone.
Hawa Mashia ni Mazalendo kweli kweli ya Taifa lao
Mambo ya kupanga kuifuta Israel hawezi kuachwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]Unahisi US Hatamani Hapendi Hataki Kufanya Hio Change ?!
Tatizo La IRAN ni US Aache Ujinga Afanye Mambo Yake Awaache Wairan Wafanze Mambo Yao Bhaaas....
Sent using Jamii Forums mobile app
Iran anaruhusiwa KUSHAMBULIA USA Mahali popote kwa kutumia silaha yoyote sababu all red lines zimekua crossed with USA.
Sent using Jamii Forums mobile app