Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Marekani yamuua Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran katika shambulio la roketi la uwanja wa ndege wa Baghdad

Ushauri wangu kwa TRUMP na Khamenei. they have provoked each other beyond the normal limits. They need to cool off.
Trump should be asked to leave ma la lago immediately, because he seems to like instructing strikes while golfing there.

Khamenei needs to humble himself and allow enough time for Soleiman's family to pass through this difficulty period. At this point Khamei needs to avoid talking to Putin, the Americans are no longer thinking properly.
 
D. D. D. D hapo nimeelezea kama kuchambua maoni yangu, pia hawatosema kama wanaharisha kwa sababu wanaogopa, sjui hii JF ww ni mgeni, fuatilia JF International news utaniona comments zangu nyingi na baadhi ya members ili uzoee mkuu, Tim us wa kibongo wananielewa sana
Dude.. walichoandika ni israel kiwa attention au standby kwa matukio yoyote. Ila sio kwamba wameogopa kama unavyodai

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran has promised to retaliate for the killing of a key military commander in a US airstrike.

One place is particularly vulnerable: the Strait of Hormuz, off Iran's southern coast: Iran could disrupt shipping through the Strait of Hormuz. Here's why that matters


HAKUNA MAMELI YALIOPITA STRAIT OF HORMUZ MPAKA SASA, INAONEKANA MELI ZINAHOFIA, NA F14 ZA IRAN ZIKO TAARI MIPAKANI, MUFUTA YAMEPANDA 4% MPAKA SASA

Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzake wanaendelea kupiga hela yeye Iran amekakamaa kudhibiti ak47 mikononi.

Kwa ujinga wake ataprovoke ulaya ione sababu ya kumchapa (straight of hammuz"spelling")
 
Haaa kwa watu kama ww ccm itatawala milele .
Ndio reality hiyo ungeniambia China au Russia ungekuwa na points lkn Iran. Mmarekani ni hatari zaidi ya uijuavyo. Wanaweza wakakupiga na earthquake ya 8.5 magnitude kamji kako kote kakalala chini ukaanza kuhangaika na raia wako ukamsahau huyo generali. Unakumbuka Iran mlikuwa mnalialia Israel anazuia mvua isije kwenu? Usidhani naipenda sana US lkn naongelea uhalisia
 
Stori za vijiweni zina raha yake. Wewe ni mtaalam conspiracy theory mkuu. Hiyo ni theory na itabaki kuwa theory. Uhalisia ni kuwa Gen Qasim kauawa na alikiri kumuua ni marekani. Sasa marekani anahusika au hahusiki, hiyo ni kazi ya intelligence agencies, mengine yote ni porojo tu kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana siyo conspiracy Theory mkuu, kwa sababu;
Mipango ya USA na Israel iko deep kiasi fulani, usipojua vizuri inaleta confusion, na lengo lao ni kum-confuse adui yao hawa wawili,

Kumbuka wakati Sadam alipoivamia Kuwait alipigwa na USA, ajabu sasa badala ya Sadam kujibu mapigo kwa USA,

Akaelekeza jicho la chuki kwa Israel kwa kuiporomoshea ma-Scud yaso idadi, tena kwa mtizamo wa juu juu wa kawaida ni km Israel haimo kabisaa, ktk huu ugomvi. una dhani ni kwa nini Sadam alifanya hivo? ni wajanja sana,

Wana Diplomasia wa serikali ya Sadam, walijua na wengineo wanalijua hili jambo kwa! uzuri zaidi! najua wamo humu wanaweza kutusaidia!

Yawezekan Israel ikachokoza maksudi kupitia USA, Pia usishangae sana utakapo gundua kwamba wale waliofanya USA ilipe kisasi, walipandikizwa na huyuhuyu Israel/USA, ili kutafuta sababu ya kuchokonoa Iran ya watu!

Hawa majamaa wanalianzishaga kwa kutumia kanuni tatu kama ifutavyo;
1.Synthesis

2.Antisynthesis,

3.Solutions.
 
Huyu alikuwa ndio mchora ramani wa Iran kwa shughuli zao zote nje ya Iran, kuanzia kushambuliwa kwa Visima vya Mafuta vya Saudi Arabia mpaka kuteka meli na bila kusahau kashikashi la Ubalozi wa Marekani. Tungoje tuone Iran atafanya nini,sasa hivi kichapo kwake kipo wazi wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Je marekani anafanya nini huko si arudi kwakë watu kufa unaita kichapo. Sijajua we ni mtu wa aina gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio reality hiyo ungeniambia China au Russia ungekuwa na points lkn Iran. Mmarekani ni hatari zaidi ya uijuavyo. Wanaweza wakakupiga na earthquake ya 8.5 magnitude kamji kako kote kakalala chini ukaanza kuhangaika na raia wako ukamsahau huyo generali. Unakumbuka Iran mlikuwa mnalialia Israel anazuia mvua isije kwenu? Usidhani naipenda sana US lkn naongelea uhalisia
soon Iran itapambana na natural calamity it could be a strong earthquake or Locusts swam,
Marekani itawapa msaada wa chakula na uokoaji upon request.
 
Ukimuona Marekani ujue Israel na Uingereza wapo. Mdanganye Iran aone cha mtema kuni. Iran atapigwa na atapewa msaada wa chakula, madawa pamoja na hifadhi ya wakimbizi. Russia na China wanawekewa vikwazo na Marekani na wanatulia kama hawaoni halafu leo ka nchi kadogo kenye mafuta kanataka kuanzisha vita. Siku zote Marekani kwenye nchi yenye mafuta huwa hataki mchezo. Mafuta yatachukuliwa na hakuna mtu wa kuchomoa betri.
Nadhani sasa, Iran watakuwa na sababu,nia, uwezo, nguvu ya kumshughulikia aliyesabaisha madhira haya. Tusubiri tuone.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3]Unahisi US Hatamani Hapendi Hataki Kufanya Hio Change ?!

Tatizo La IRAN ni US Aache Ujinga Afanye Mambo Yake Awaache Wairan Wafanze Mambo Yao Bhaaas....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kupanga kuifuta Israel hawezi kuachwa.
 
Back
Top Bottom