Marekani yaongeza ushuru wa asilimia 104% kwa China

Hapo anaikomoa China au anawakomoa wamarekani kwa kodi? Let's wait and see.
 
Dunia imeishakuwa uwanja wa fuja. Baada ya Trump kuwapiga China na Tarriff ya 34% China wakajibu kwa 34%. Trump kawajibu kwa 104%!! Na zinaanza kazi kesho tarehe 9!! Kila mtu ajitafutie kashamba ka kulima mihogo, kufuga kuku, sungura, simbilisi nk. Nunua na baiskeli phoenix.

Seriously, haya yanamaanisha nini kwa dunia na sisi wa dunia ya tatu?
Mbona habari zinasema ni Tishio tu, weka chanzo cha kuaminika
 
Ni kweli USA wana purchasing power kubwa na ni moja ya nchi ambayo ni soko kubwa la bidhaa za CHINA 14.7% ya bidhaa zinazotengenezwa China huuzwa Marekani, zaidi ya ambayo ina mchango wa zaidi ya $524.9 billion.
Hivyo kitendo cha Trump ya kuiongezea China ushuru ni kitendo cha kujiamini kwa sababu, Mchina hana jeuri juu ya hilo na akileta jeuri atakuwa ame drop kiuchumi kwa kiwango kikubwa
Lakini pili Lengo la Trump ni sera ya kiuchumi ya Protectionism Policy ambayo anahitaji kuimarisha Viwanda vya Ndani ya Marekani
Japo atapambana na changamoto kama bidhaa kupanda bei ghafla na kusababisha raia kulalamikia kuongeza ugumu wa maisha.
Raia wa marekani muda c mrefu vyuma vitaanza kukaza,maana soko Lao la bidhaa litakosa ushindani wa bidhaa kutoka nje hivyo bei zitapaa sana,haitaleta unafuu wa maisha kwao, japo maisha yao ni mazuri lakini sio wote
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama mtu anaweza kukuonesha clip jinsi anavyoua magaidi
Hilo la kutamka tu kesho napandisha tariff ni kitu kidogo ..huyo ni mental retard
 
Huyo ni bwege ataiporomosha US siku sio nyingi.
Zamani kuna mfano mwalimu wangu aliwahi kunipa.

Kuna kipindi boda walianza fashion ya kuvaa makoti kinyumenyume, yaan ile sehemu ya mgogoni inakua kifuani. Sasa si mmoja akapata ajali akiwa kavaa hivo, walokuja kumuokoa kwenye kumpa huduma ya kwanza wakaanza kwanza kukirudisha kichwa kwa kukinyonga ili kiangalie mbele wasijue kwamba ile ilikua vaa tu ya koti la huyo dereva boda, wao walidhan ajali ilimfanya kichwa kigeuke.

Sasa hicho ndicho anachokifanya Trump kwa USA kwa sasa, anadhan anaiokoa lakini anatengeneza recession moja kubwa sana zaidi ya ile ya 2008.
 
Mchina ampige kwenye iPhone na Tesla. US watasanda.
Kula chuma hicho
IMG_20250408_214808.jpg
 
Ni kweli USA wana purchasing power kubwa na ni moja ya nchi ambayo ni soko kubwa la bidhaa za CHINA 14.7% ya bidhaa zinazotengenezwa China huuzwa Marekani, zaidi ya ambayo ina mchango wa zaidi ya $524.9 billion.
Hivyo kitendo cha Trump ya kuiongezea China ushuru ni kitendo cha kujiamini kwa sababu, Mchina hana jeuri juu ya hilo na akileta jeuri atakuwa ame drop kiuchumi kwa kiwango kikubwa
Lakini pili Lengo la Trump ni sera ya kiuchumi ya Protectionism Policy ambayo anahitaji kuimarisha Viwanda vya Ndani ya Marekani
Japo atapambana na changamoto kama bidhaa kupanda bei ghafla na kusababisha raia kulalamikia kuongeza ugumu wa maisha.
Raia wa marekani muda c mrefu vyuma vitaanza kukaza,maana soko Lao la bidhaa litakosa ushindani wa bidhaa kutoka nje hivyo bei zitapaa sana,haitaleta unafuu wa maisha kwao, japo maisha yao ni mazuri lakini sio wote
Angalia stock exchanges za marekani zote zinacrash.

Mchina ana cards nyingi za kucheza hapo, kumbuka kwa masoko ya nchi nyingine USA hamshiki china hata kivuli tu.

Wachina wanaweza kumudu kupoteza soko la USA lakini USA hawezi mudu athari zitakazotokana na yeye kupandisha tariifs kiasi hicho.

Japo hii habari ina ukakasi sababu ni tetesi, sijaona kama imeripotiwa CNBC CNN au BBC, lakini kama ni kweli, subiri na china ajibu kwa hio 104% halafu tutaona nani ataomba poo.
 
Wang Yi anapiga pasi nguo zake week inayo kuja anapandisha kiwanja.. kwenda kupigwa magoti
 
Back
Top Bottom