Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,711
- 19,296
Watu hawaamini,wanaona china ni super power
Acha tuone
Watu hawaamini,wanaona china ni super power
Acha tuone
Eeh iweje tenaChina abonyeze kitufe cha 110%, tuone itakuwaje
This is very unnecessary.
Sidhani kama Trump anajua anachokifanya.
Na kwa mtu anayedai alisoma Wharton School of Business, naona hana uelewa mzuri wa mambo ya uchumi!
Leta hiyo laki mbili familia ilale njaa..tuweke laki mbili mbili mkuu, Moderator atushikie kusha akishinda china nazichukua na akishinda USA unazichukua
Leta hiyo laki mbili, familia ilale njaatuweke laki mbili mbili mkuu, Moderator atushikie kusha akishinda china nazichukua na akishinda USA unazichukua
Akikupa naomba 10 tu mkuu😂Leta hiyo laki mbili, familia ilale njaaView attachment 3303288
Ni mavi auThe stock market is not the economy.