Watamtoa hapo ww subirHuyo ni bwege ataiporomosha US siku sio nyingi.
Watamtoa hapo ww subirHuyo ni bwege ataiporomosha US siku sio nyingi.
Huyu hana hoja utamdhulumu bure na hapa bongo wako wengi wenye akili kama hiyo kuona usa ndo mungu wao na humwaambii kitu kuhusu hilo taifatuweke laki mbili mbili mkuu, Moderator atushikie kusha akishinda china nazichukua na akishinda USA unazichukua
China anaenda kusanda mda ni mwalimu.. USA is ahead of this game..
Ndo itauzwaje hiyo iphone bila shaka 7m bei ya ist
USA siikubali ila huo ndiyo ukwelii..Acha kuota ndoto za mchana
Kasome uchumi kwanza..Huyo ni bwege ataiporomosha US siku sio nyingi.
Kila mmoja atakula alikopeleka mboga, ila ole wetu wategemea cha jirani kazi ipo.
Xi Jinping mmeyatimba, maji mtaita mma
USA siikubali ila huo ndiyo ukwelii..
Ukweli uko kwenye namba sio post za Trump. Angalia kinachotokea kwenye U.S stocks market
Kasome uchumi kwanza..
And Sikiliza vita hii ilianza lini na ni nani anayefaidika kufanya biashara na Marekani..
China amefaidika mno kwenye hili na atakaye pata hasara ni mchina mwenyewe tu..
Hahaaa! You’re such a dumb POS!Tulia dawa isambae mwilini
Ulikuwa unamshangilia Trump, haya sasa kimeumana
Mchina yuko poa tu hata arudi tena kwenye stone age.....
We knew he is buffoon....
Forex ni ngumu sana wakati wa utawala wa huyu chizi trumpWanasumbua fundamental analysis zetu hawa (forex market)
🤢🍋🟩🥺
Amesema kweli nmeona Aljezira.Hana ubavu wa kusema hivyo, hana ubavu wa kupingana na Trump.
The stock market is not the economy.Kwa hiyo masoko ya hisa ya Marekani yako katika hali gani?
Kwa mtu yeyote anayeujua uchumi wa China ni kwamba tofauti na mataifa mengine hakuna uhusiano mkubwa kati ya masoko ya hisa ya China na uchumi wa China
Masoko ya hisa ya China yanaweza yasifanye vizuri lakini uchumi wa China uko vizuri tofauti na Marekani
By the way stocks zimefall kwa kiasi kidogo na ni controllable
The stock market is not the economy.
Haahaaaa...😀Hahaaa! You’re such a dumb POS!
I call balls and strikes as I see them.
Just because I wanted him to win [based on principle…something you lack], that does mean I can’t criticize him if I see some fuckery coming from him.
No one is above criticism and no one is below praise.
Much to your chagrin, mimi wala siathiriki na chochote kutokana na hizo tariffs zake.