Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Vita ni ushirika mkuu wala sio sifa kufanya peke ako, mbona irani kapewa S-400 na baba yake Russia?
kwani ukikubali THAAD imeletwa kuisaidia IronDome iliyofeli kuzuia makombora ya hezbollah na Iran utapungukiwa nini...IronDome imefeli pakubwa tu
 
kwani ukikubali THAAD imeletwa kuisaidia IronDome iliyofeli kuzuia makombora ya hezbollah na Iran utapungukiwa nini...IronDome imefeli pakubwa tu
Ikumbukwe kuwa Dunia nzima Iron dome na david sling, ndo air defense ambazo zimeonekana kutumika mara nyingi. Hizo S-300, 400, THAAD.n. K. zimetumika wapi hata kutungulia njiwa?. Kwa decision makers wakitaka kununua air diffence wata opt iron dome na david sling, kwani ndo wameziona mzigoni. Syria kuna mrusi na kun S-400, but Israel anakunywa chai kule kila siku.
 
Back
Top Bottom