Sometimes nikiwa nasoma michango yetu kuhusu ugomvi wa mashariki ya kati, huaga nahisi hua tunachangia tukiwa tayari tuna either upande or maandishi yetu yanakua na milengo ya kiimani. Naombeni mfano mmoja tu wa taifa lolote kubwa lililowahi kwenda kupigana na taifa lingine likiwa pekee yake, just one. Fatilia vita vyote ambavyo USA kapigana either direct or indirect utagundua kuna mataifa zaidi ya 5 yanakua nyuma yake. Mnaikumbuka ile Gulfwar ya mwaka 1990 wakati Sadaam Hussein analazimishwa kuondoka Kuwait? Marekani alilwenda na mataifa ya Ulaya 29, Saudia ikiwa ime provide viwanja vya ndege na mafuta same as Egypt, well what about vita iliomuondoa Sadam Hussein hadi kupelekea kifo chake? All European community were involved except France only, same as Libya etc. Kinacho endelea Russia na Ukraine je? NATO wote wapo against Russia but same Russia anapewa support kubwa na Iran, North Korea na kidogo from China, Iran nae kwenye vita hi hi yote na Russia plus Yemen, cha ajabu nini kwa Israeli?