Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Wadau hamjamboni nyote?

Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel

Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) itasimamiwa na kuendesha na wanajeshi wa Marekani wenyewe.

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
US troops to reportedly operate THAAD anti-ballistic missile system in Israel

The US will deploy the THAAD anti-ballistic missile system in Israel, according to reports by Channel 12 news and Army Radio that describe the move as part of preparations for the expected Israeli response to Iran’s recent missile attack.

Channel 12 news says the advanced missile defense system will be operated by American troops on Israeli soil.
Why not in Ukraine
 
Mda sahihi wa U.Sna vifaa vyao kuvuliwa nguo kwama tulivofanya kule Ukraine
 
Tuliwambia hio THAAD haina lolote jana siumeona drones na Missile za Hezbullah zinashuka kama mvua.

Hio drone walisema ya Mrusi kumbe ni Shaheed 136 Hezbullah anazo kama utitiri mpaa Pentagon jana wameogopa.
 
Si tuliambiwa Israel inajisimamia wenyewe mara oooh mzayuni ni mtu hatari tukiwaambia hawa walemavu wa kisiasa bila msaada wa mabeberu hawatoboi wiki mbili muwe mnaelewa

NEW:

[emoji1134][emoji631] The U.S. will deploy a THAAD air defense battery in Israel, after the failure during the attack from Iran

The THAAD (Terminal High Altitude Area Defense) air defense system is designed to intercept short, medium, and intermediate-range ballistic missiles during their terminal phase of flight at altitudes of 40 to 150 kilometers, with an operational range of 200 kilometers.

@MilitaryPOVView attachment 3123013

My take:Watapeleka tu na italipuliwa kama iran walivyolipua ile radar ya trilioni 3[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh nmeamini Iran alilenga na kulipia mifumo ya kiulinzi
 
Kama angekua nashida na raia angewekeza makombora hospital sokoni mashuleni huko lazima raia wangedhurika ila wao walitaka kambi na zilitwangwa haya ya kupiga raia kama mafanikio anayo adui mzayuni
 
Iran hakulenga makazi ya raia, yeye kapiga base za kijeshi
Watu ni wajinga sasa hivi ndio matokeo ya shambulio la Iran yanaonekana Iran alipiga vitu muhimu tu ili watu wake wafanye kazi zao bila shida
 
Sometimes nikiwa nasoma michango yetu kuhusu ugomvi wa mashariki ya kati, huaga nahisi hua tunachangia tukiwa tayari tuna either upande or maandishi yetu yanakua na milengo ya kiimani. Naombeni mfano mmoja tu wa taifa lolote kubwa lililowahi kwenda kupigana na taifa lingine likiwa pekee yake, just one. Fatilia vita vyote ambavyo USA kapigana either direct or indirect utagundua kuna mataifa zaidi ya 5 yanakua nyuma yake. Mnaikumbuka ile Gulfwar ya mwaka 1990 wakati Sadaam Hussein analazimishwa kuondoka Kuwait? Marekani alilwenda na mataifa ya Ulaya 29, Saudia ikiwa ime provide viwanja vya ndege na mafuta same as Egypt, well what about vita iliomuondoa Sadam Hussein hadi kupelekea kifo chake? All European community were involved except France only, same as Libya etc. Kinacho endelea Russia na Ukraine je? NATO wote wapo against Russia but same Russia anapewa support kubwa na Iran, North Korea na kidogo from China, Iran nae kwenye vita hi hi yote na Russia plus Yemen, cha ajabu nini kwa Israeli?
Saddam Hussein akufa 1990 alikuja kwenye miaka ya kati ya 2005 /2010
 
Saddam Hussein akufa 1990 alikuja kwenye miaka ya kati ya 2005 /2010
Nenda kasome tena nilicho andika mkuu! Kuna vita 2 pale, moja nimeandika "USA alikwenda na mataifa mengine 29...." baadae nikasema, " all European community except France. Hizo vita zote tumezishuhudia tukiwa watu wazima, sija google.
 
Back
Top Bottom