Ikumbukwe kuwa Dunia nzima Iron dome na david sling, ndo air defense ambazo zimeonekana kutumika mara nyingi. Hizo S-300, 400, THAAD.n. K. zimetumika wapi hata kutungulia njiwa?. Kwa decision makers wakitaka kununua air diffence wata opt iron dome na david sling, kwani ndo wameziona mzigoni. Syria kuna mrusi na kun S-400, but Israel anakunywa chai kule kila siku.