Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waisrael wanaheshimu sana Jordan baba yeke aliwapa ardhi kubwa Israel.Ni mfalme Abdalla mtoto wa king Hussein.Alitayarishwa zamani awe kibaraka daima.Sasa anaanza kuwageuka baada ya ubinadadamu kumrudia.
Huyu ni muhimu sana kwao.Akisema basi ndio itakuwa basi.
Aliwaachia ardhi kizembe sana.Tatizo la mayahudi hawaishi kiu yao na hawana ahadi kabisa.Baada ya kumega ardhi yote hayo wanataka nyengine zaidi.Kuna kipande wamekodishwa walime kwenye bonde la mto Jordana.Wakiambiwa muda umeisha wanaleta maneno na vitisho kwa Jordan.Waisrael wanaheshimu sana Jordan baba yeke aliwapa ardhi kubwa Israel.
Pole sanaSasa ivi mtaleta thread ya kulalamika[emoji16][emoji16][emoji16]Netanyahu ni robot yule hana huo ubinadamu mnaoutaka mkilemewa
Hayo matumaini tu lkn yy malengo yake yanatimiaHawezi kufanya kibri miaka yote na akaondoka duniani bila kuonja kushindwa .
Malengo ilikuwa ni kumdanganya Mahmoud Abbas kuwa kuna siku atapewa serikali huku ardhi yote ingekuwa ndio mipaka ya serikali inaliwa pole pole.Upande wa pili ilikuwa ni kuwashughulisha Hamas na utawala wa kpande cha Gaza.Kila wakikaribia kupatana anawagombanisha.Sasa mipango yote hiyo imevurugika mara moja na anatishiwa kutoka kila upande kwa sauti moja.Acha mauaji.Hayo matumaini tu lkn yy malengo yake yanatimia
Huo ni Kwa mtazamo wakoMalengo ilikuwa ni kumdanganya Mahmoud Abbas kuwa kuna siku atapewa serikali huku ardhi yote ingekuwa ndio mipaka ya serikali inaliwa pole pole.Upande wa pili ilikuwa ni kuwashughulisha Hamas na utawala wa kpande cha Gaza.Kila wakikaribia kupatana anawagombanisha.Sasa mipango yote hiyo imevurugika mara moja na anatishiwa kutoka kila upande kwa sauti moja.Acha mauaji.
Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu.
======
'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released
Kwa upande wao nchi za kiarabu kwa sauti moja zimesema hakuna kuhama kwa wapalestina kutoka ardhi zao.Wamekumbusha kuwa tayari kuna maazimio ya kuundwa kwa taifa la wapalestina.Hilo taifa litaundwa na nani na wapi kama wapalestina watahamishwa kutoka ardhi zao.
Arab states say Palestinians must stay on their land as war escalates
Hayo yakitokea wapalestina waliowahi kutiii agizo la kuhama maeneo ya kaskazini ya Gaza ili kwenda kusini wameamua kurudi walikotoka wakitoa matamko kuwa ni bora kufa kuliko dhiki wanazozipata huko walikokwenda.Mashambulizi yamewafuata huko huko na wamejikuta wameishiwa na mahitaji yote.Kwa hali hiyo wameona warudi walikotoka ili kufukua visima vya maji japo yenye chumvi wanavyovikumbuka .
Upande wa jeshi la Israel kumeonekana kuwepo kwa msuguano mkubwa baina ya waziri mkuu,Benjamin Netanyahu na waziri wa ulinzi uliopelekea hapo jana kujitokeza kwa pamoja kukanusha habari hizo.Waziri wa ulinzi,Gallant amehimiza jeshi liingie Gaza kwa haraka kwani vijana wameanza kuchoka kusubiri na hamasa zao zimeanza kupomoroka.Waziri mkuu kwa mbinu zake za kivita anasema kuingia Gaza kutafungua lango jengine la mapigano upande wa kaskazini kutoka kwa Hizbulah.
Israel’s military push for Gaza invasion in apparent rift with Netanyahu
Pole sanaNawatakufa sana tu,mpaka hamas waishe hapo gaza.
Pole sana
Mambo ya movie na uhalisia ni tofauti sana.
Nadhubutu kusema JWTZ ingechukua siku 3 tu kuimaliza Hamas
Mtu Muhimu sana ni King wa Jordan kakataa Palestina wasiondoke pamoja na Misri, Saudia haya mataifa Marekani na Israel wanayaogopa sana.
wangetumia njia gani?
Safisha safisha kama ile ya kibiti