bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Pole sanaPole wewe shabiki wa magaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaPole wewe shabiki wa magaidi.
Raia wanyonge wa Palestine ndio wanalipia gharama kubwa za uhai wao kwenye huu mzozo.Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu.
======
'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released
Kwa upande wao nchi za kiarabu kwa sauti moja zimesema hakuna kuhama kwa wapalestina kutoka ardhi zao.Wamekumbusha kuwa tayari kuna maazimio ya kuundwa kwa taifa la wapalestina.Hilo taifa litaundwa na nani na wapi kama wapalestina watahamishwa kutoka ardhi zao.
Arab states say Palestinians must stay on their land as war escalates
Hayo yakitokea wapalestina waliowahi kutiii agizo la kuhama maeneo ya kaskazini ya Gaza ili kwenda kusini wameamua kurudi walikotoka wakitoa matamko kuwa ni bora kufa kuliko dhiki wanazozipata huko walikokwenda.Mashambulizi yamewafuata huko huko na wamejikuta wameishiwa na mahitaji yote.Kwa hali hiyo wameona warudi walikotoka ili kufukua visima vya maji japo yenye chumvi wanavyovikumbuka .
Upande wa jeshi la Israel kumeonekana kuwepo kwa msuguano mkubwa baina ya waziri mkuu,Benjamin Netanyahu na waziri wa ulinzi uliopelekea hapo jana kujitokeza kwa pamoja kukanusha habari hizo.Waziri wa ulinzi,Gallant amehimiza jeshi liingie Gaza kwa haraka kwani vijana wameanza kuchoka kusubiri na hamasa zao zimeanza kupomoroka.Waziri mkuu kwa mbinu zake za kivita anasema kuingia Gaza kutafungua lango jengine la mapigano upande wa kaskazini kutoka kwa Hizbulah.
Israel’s military push for Gaza invasion in apparent rift with Netanyahu
Misri na Jordan hawapo tayari kwa mzigo mpya wa wakimbizi, isitoshe wapo Wapalestina wengi tu huko kwenye hizo nchi.Mtu Muhimu sana ni King wa Jordan kakataa Palestina wasiondoke pamoja na Misri, Saudia haya mataifa Marekani na Israel wanayaogopa sana.
HaahahaaUsifanye tuseme tuonekane tunakashifu jeshi.
Naona umekurupuka kujibu ufahamu hoja ni nini, mkutqno wa Arabic juzi fuatlia walichosema Rais wa Misri, Jordan, Saudiq Arabia, Qatar.Misri na Jordan hawapo tayari kwa mzigo mpya wa wakimbizi, isitoshe wapo Wapalestina wengi tu huko kwenye hizo nchi.
waje ila hatutak kelele baadae [emoji16]Hezbollah wapo tayari kuingia mzigoni.
kwan huwa inajulikana mapema , subir mwishon mtatunga story zoteSaizi lazima wapate suluhisho la kudumu, ila sahizi nimependa umoja wa waarabu, wamegoma kutumika kipuuzi, na hio ndio imefanya mambo yawe magumu kwa USA na Israel
mlivyo wajinga baada ya muda mfupi mnaanza sema ni vita dhid ya uslam wkt mnaanzaAkiziba uku anaachia huku Israel aaenda kuumbuka akiingia gaza zinarudi parcel zenye miili
mnasahau mapema [emoji23][emoji23][emoji23]Si kila siku kuna watu wanasema ni nchi ya watu wenye akili sana.Wanasahau Allah ndiye mwisho wa akili zote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usifanye tuseme tuonekane tunakashifu jeshi.
Unashobo nenda basi kajiunge uwasaidie kuwaangamiza Hamas maana mwezi sasa kikundi kidogo tu kimewasumbua viizrael vina mbwembwe nyingi kama choko alie ona mboo ad leo wameshindwa nini kuitoa Hamas hapo Gaza kmmk.mlivyo wajinga baada ya muda mfupi mnaanza sema ni vita dhid ya uslam wkt mnaanza
Allah hajawa na msaada wowote kwa wa palestina huko gaza mpaka sasa hiviSi kila siku kuna watu wanasema ni nchi ya watu wenye akili sana.Wanasahau Allah ndiye mwisho wa akili zote.
Kila kitu na wakati wake kijana hata hao waisrael wako waliteswa sana na hitler na farao hadi mungu alipowaokoa, yeye ndio anajua kitu gani atafanya wakati gani na hana mshirikaAllah hajawa na msaada wowote kwa wa palestina huko gaza mpaka sasa hivi
Pole sanaGod Bless l[emoji1134]🇮
Pole sanaAllah hajawa na msaada wowote kwa wa palestina huko gaza mpaka sasa hivi
JWTZ ni moja ya kukosi kigumu cha ardhini yaani ni balaaa hao Hamas siku 2 hawapoUsifanye tuseme tuonekane tunakashifu jeshi.
Namba 6 kwa ubora duniani au siyo?JWTZ ni moja ya kukosi kigumu cha ardhini yaani ni balaaa hao Hamas siku 2 hawapo
JWTZ imewahi kuzuia mapinduzi komoro na shelisheli ndani ya masaa 8 utatuambua nn
Mnajifarji baadaye muaze kulalamika Israel anaua raia siyo. Maana mlijifaliji kwa hamas kurusha maroketi Leo mnaliaHuo ndio wasiwasi uliompata Netanyahu.amebanwa kweli kweli.Huku anataka na huku anatakiwa.