zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Hapo Iran ye arushe tu hicho kibomu chake kisha asubiri kuokota maiti moja moja ya wakubwa wa NchiPutin mwenye mwiba unamsumbua yaani Mukraine eti leo aje amsaidie Muajemi? We huoni kwanini China na wale akina Kiduku wapo kimya? Huoni waarabu wengi wamenyamaza wote hadi Uturuki leo Mrusi amsaidie Muiran?
Kwa ajili ya nini hasa?
Sisi waja wa mnyazi mungu tunajitafutizia furaha sawa na mashabiki wa Simba msimu uliopita. Yaani tulikuwa tunafurahia ushindani wa Matampi dhidi ya Diara kwa kujisahau tu wenyewe.Yaan nimebaki kushangaa mimi bwana yule alisema ile OP ya siku kadhaa bwana sasa hivi ni zaidi ya miaka, mzee putin is overrated hio p ni herufi ndogo ina maana yake
Siku sio nyingi watamfekelea ayatollah kama walivyofanya kwa rais wa iran aliyefarikiIran hamna lolote.
Watarusha vikombora vyao kwenye mchanga halafu watadai wamejibu mapigo.
Ni lazima wafanye kitu, hata kama ni cha maigizo tu.
Israel imewadhalilisha sana. Kupita kiasi.
Iran asubiri kuona Nchi inageuka kua magofu alishaambiwa akibonyeza nyukilia kuelekea Israel na yeye anapokea mvua ya nyukliaSimu unayopiga kwa sasa haipatakani ndugu mteja fanya mipango uende hata kwa miguu kumtafuta mwamba!
Jamaa anatumia nguvu zote ili tu ajifariji na apate furahaUnaenda kuchukua Fake News X halafu unakuja kuzifungulia Uzi😁
Kwa hio washia mnajitafutiza furaha ya msimu?Sisi waja wa mnyazi mungu tunajitafutizia furaha sawa na mashabiki wa Simba msimu uliopita. Yaani tulikuwa tunafurahia ushindani wa Matampi dhidi ya Diara kwa kujisahau tu wenyewe.
Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Chanzo : Yediot News Tel Aviv
View attachment 3112344
Free kick au sio likiwekwa tuta usianze kulialia tu mara oh refa refa unapendelea refa umepewa bahasha ya khakiMarekani aache kulialia akakabe freekik iyoo, dawa ya kibuli jeuli amani ataki basi kaba freekik toto lako umeliacha polini wacha wauni wajalibie zana zao shabahaa.
Mtu akishiba magimbi au ugali wa udaga huna utakalo mwambia.Iran hamna lolote.
Watarusha vikombora vyao kwenye mchanga halafu watadai wamejibu mapigo.
Ni lazima wafanye kitu, hata kama ni cha maigizo tu.
Israel imewadhalilisha sana. Kupita kiasi.
During a short video message, Hagari said Israeli military planes are currently “scanning the sky” for any imminent threat from Iran.Marekani imetoa taarifa hivi punde kuwa Iran imepanga kushambulia Israel hii Leo masaa machache yajayo. Kupitia kwa intelligence mbalimbali maofisa wa marekani wanaeleza kuwa shambulio hilo litafanyika masaa 12 yajayo.
Israel imesema imeshajiandaa kwa shambulio hilo na Wananchi wametelekezwa kukaa karibu na mahandaki.
Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Chanzo : Yediot News Tel Aviv
View attachment 3112344
Hakuna Leo lazima mtu awashiwe moto. Halafu anamtafuta Putin wa Nini sahizi?During a short video message, Hagari said Israeli military planes are currently “scanning the sky” for any imminent threat from Iran.
“We are on peak alert both on the offensive and the defensive,” Hagari added, warning Iran that any attack on Israel would “have consequences.”
Mambo mengine yanaleta maswali yasiyojibika,mawasiliano ya Netanyahau na Putin yanatafutwa lakini watu wameshajua kuwa Netanyahu anatafuta msaada kwa Putin.Inaelezea kuwa waziri mkuu bwana Netanyahu anajaribu kutafuta mawasiliano ya Rais Putin wa Russia katika juhudi za kuisaidia kuzuia Iran asiishambulie Israel.
Putin hapokei simu ya Netanyahu sijajua kwanini.😂
Kabla huyo mbweha Iran hajarusha hata jiwe Israel ashajua kitambo kuwa kuna lishangazi linaitwa Iran litajaribu kutaka kupigwa kitu na for sure Israel atalishuglikia ipasavyo.
Anajua mwamba Putin katoa "go ahead" kwa Iran anajua kifuatacho ni moto usiopoa. Iran akishirikiana na Russia hapatakalika hapo Middle EastMambo mengine yanaleta maswali yasiyojibika,mawasiliano ya Netanyahau na Putin yanatafutwa lakini watu wameshajua kuwa Netanyahu anatafuta msaada kwa Putin.