Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Hakuna Leo lazima mtu awashiwe moto. Halafu anamtafuta Putin wa Nini sahizi?
Netanyau amtapufute pimbi takataka Putin ambaye anahenyeshwa na myahudi dogo Zele?
Hivyo vihabari vya kubumba huwa mnalishwa watu wa sampuli zako.
Iran shapakwa mafuta ajiandae
 
Iran asubiri kuona Nchi inageuka kua magofu alishaambiwa akibonyeza nyukilia kuelekea Israel na yeye anapokea mvua ya nyuklia
Nunua pop con ushuhudie ufundi na utaalumu wa vifaa tangu dunia hii ifanye mapinduzi ya silaa hujapata kuuona!
 
Netanyau amtapufute pimbi takataka Putin ambaye anahenyeshwa na myahudi dogo Zele?
Hivyo vihabari vya kubumba huwa mnalishwa watu wa sampuli zako.
Iran shapakwa mafuta ajiandae
Soma hapo juu source ni kutoka israel.kama umeanza kudharau Israeli na taasisi zake za habari tuambie mkuu😂😂
 
Apo mashariki y kat mwenye viuma vinawza vinavoweza kusafiri km 2000+ ni muhajemi tu akuna mwengine. wawe tayali kupokea mauwa ya Ross
 
Israel & US to launch preemptive attack……
Mwisho wa kunukuu
 
Netanyahu na Baiden ni marafiki
Netanyahu na Putin ni marafiki
Baiden na Putin hawaivi
Je Netanyahu na Putin wakikaa hawazungumzii US!?
Kamanda sio bure Kuna Vifaili vinatembezwa hapo.
 
Muisrael adi apeleke ndege za kujazia mafuta. Iran mwenzie ana aja ya ndege kwenda apo jilan kumtumia mauwa rafikiye kipenz anaviwashiya ukouko iran. Ngoja tuone huu moto tutajua mbivu na mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…