Marekani yasema Iran itashambulia Israel masaa machache yajayo. Netanyahu anajaribu kumpigia Putin

Pigaa mahoga haoooo na ysukuu tunahakikisha wanato nyaaa
 
Bora umesema modetor wabaguzi sana wanadhani watageka wayaudi kwa kuzifubaza nyuzi za kishujaaa😆😆😆.
 
Moderator wa jf mjifunze kuliacha jukwaa hili kuwa huru. Kama mtu unamahaba sana na Wayahudi au Waajemi anzisha nyuzi zako sio kuanza kubebanisha nyuzi zetu wakereketwa 🤗
 
Inakuaje Marekani ajue mapema? Au Huwa wanapeana taarifa Ili wajiandae na kuwazubaisha Wananchi Kisiasa?

Upuuzi mtupu
 
Israeli ikichangiwa na Magaidi lazima isaidiwe.
Israel ni kiburi.amewaua viongozi wa Iran, Hamas na Hezbollah. Haipaswi kuonewa huruma anatakiwa kutandikwa mpaka ashike adabu. Kwanza naona Iran amekua mpole sana achilia mbali Mauaji ya raia palestina na Lebanon zaidi ya elfu 20 watoto na wanawake.
 
Mataifa makubwa yanaheshimiana kabla ya kuanza kuipiga Israel Iran alimpa taarifa wa kwanza Urusi na wapili marekani.ni kawaida
Sasa hapo wanacheza mchezo wa Kisiasa kuwapooza Wananchi wao wapuuzi ikiwa ni njia ya kupunguza shinikizo Kwa Wanasiasa.

Ndio maana sijawahi ona madhara kwenye mashambulizi ya maigizo kama haya.

Israel yenyewe inafanya ambush za Nguvu ndio maana wanaua maelfu ya watu na Viongozi wa Hamas na Iran nk maana hawawapi mda wa kujiandaa.

Huu upumbavu anaifanya Iran hauna maana yeyote stupid zao.
 
Inatakiwa uwe muelewa kuifahamu Iran. Iran inaongozwa na Imani ( dini) kuuwa raia watoto na wanawake siyo kipaumbele kwa sababu ni innocent. Kwasababu hayo mabomu yote unayoyaona wangeweza kuyaelekeza kwa raia badala ya Kambi za kijeshi na sehemu muhimu . Israel anaua watoto wanawake na raia. Hii ndio tofauti kubwa kati ya Israel na Iran. Imeripoti channel 13 Hebraw News
 
Inaonekana marekani huwa anataarifa zote muhimu kwani alishatoa angalizo mapema na kweli Iran imesharusha Missile zaidi ya 200 ndani ya Israel na kuleta madhara makubwa.
Yetu macho ngoja tusubiri mapigo ya Israel kwani wamechafukwa.
 
leo Mrusi amsaidie Muiran?

Kwa ajili ya nini hasa?
Unajua maana ya geopolitics? Iran ikiangushwa na Israel itahatarisha maslahi ya Urusi mashariki ya kati. Ndio maana Syria ni magofu ila Putin hajaiachia mpaka leo.

Hujiulizi kwanini Djibouti au Somalia zinagombewa ilihali hazina lolote la maana?
 
Inakuaje Marekani ajue mapema? Au Huwa wanapeana taarifa Ili wajiandae na kuwazubaisha Wananchi Kisiasa?

Upuuzi mtupu
Iran kabla ya Kupiga amemtaarifu Usa na Urusi, Juzi Waziri husika wa Urusi alikua Iran wamepanga mipango yao wametoa na Taarifa wanapiga.

So taarifa walikuwa nazo na wameshindwa kuzuia kitu, huu ni ushindi mkubwa kuliko wangepiga kwa kushtukiza.
 
Iran hamna lolote.

Watarusha vikombora vyao kwenye mchanga halafu watadai wamejibu mapigo.

Ni lazima wafanye kitu, hata kama ni cha maigizo tu.

Israel imewadhalilisha sana. Kupita kiasi.
My Lord, I wonder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…