Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi:

IMG_20240411_163100.jpg

2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma:

IMG_20240411_113957.jpg

3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti?

IMG_20240411_114111.jpg

4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo, kazi ingalipo:

IMG_20240411_113353.jpg

5. Si kwa Natenyahu, bali kwa waliomo na wasio kuwamo.
 
“We also want to address the Iranian threat to launch a significant – they’re threatening to launch a significant attack in Israel,” Biden said. “As I told Prime Minister Netanyahu, our commitment to Israel’s security against these threats from Iran and its proxies is ironclad. Let me say it again, ironclad. We’re gonna do all we can to protect Israel’s security.”
 
Wambieni Iran wajichanganye sasa
 
Lugha ya kidiplomasia kuwaambia Hadi Buza huko unaijua lakini ndugu?

IMG_20240411_114111.jpg
 
Ningetamani sana Iran abakie mfano wa kama China, mchina mchokozee atakukoromea tu na kukuonyeshea videge na vijimabomu na mazoezi uchwaraa..! Kumbe mwenzako yuko mbaaali mno na ukweli huo huku akiendelea kujenga uchumi wake

Irani ni Taifa ambalo sio tu Israel imejitahidi kujenga uwezo wa kuitandika Iran, bali hata mataifa ya Magharibi yanamtamani sana huyo Iran, na ndiyo maana Israel, hapo Middle ni yeye tu mwenye Nuclear huku Iran akiwa kwenye vikwazo vingi kuhusiana na mradi wake wa Nuclear

Hata hivyo, Irani anachukiwa na mataifa mengi makubwa, akijichanfanya tu aipige Israel, atashindwa kujua ni nani hasa anayempiga, maana atachapwa kama mtoto mdogo na kuharibu mazima uchumi wake na kurudi uchumi wa kama Iraq, Yemeni, Syria n.k

Kwa ushauri wangu, asijaribu kufanya hivyo

Niwaombe na waislamu watukutu, waache kumvimbisha kichwa Iran, kwani wao watakuwa ni mashabiki watazamaji tu
 
Hadi hapa tu Natenyahu na washirika wake kokote waliko, wanajisemea "hiiiiiiii ... iii!'
 
Ww ndie huijui kama unaijua ungeona Biden ndie kasema commitment ya US kwa Israel ni Ironclad akarudia tena Ironclad amesisitiza akitoa message kwa Iran na wenzie sasa wajichanganye wataona mvua.. ww umeleta ujumbe wa Us kwa Israel kwamba Iran kulipiza kisasi ni muda wowote haikwepeki lakina hukuleta message yote ambavyo Biden amehitimisha jinsi Gani Us Inahusika na ulinzi kwa Israel
Umeona anayeyaongea haya ni nani ndugu?

View attachment 2960607

Au ni mwendo wa kukuruka tu ndugu?

Lugha ya kidiplomasia kuwaambia Hadi Buza huko unaijua lakini ndugu?

View attachment 2960605
 
1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi:

View attachment 2960546

2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma:

View attachment 2960565

3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti?

View attachment 2960549

4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo, kazi ingalipo:

View attachment 2960557

5. Si kwa Natenyahu, bali kwa waliomo na wasio kuwamo.
Hivi ni lini hii Dunia itakuwa na amani ya kudumu???
 
Eeeh mtani.....huu uzi mwingine 🤣😂😂😂
 
Ningetamani sana Iran abakie mfano wa kama China, mchina mchokozee atakukoromea tu na kukuonyeshea videge na vijimabomu na mazoezi uchwaraa..! Kumbe mwenzako yuko mbaaali mno na ukweli huo huku akiendelea kujenga uchumi wake

Irani ni Taifa ambalo sio tu Israel imejitahidi kujenga uwezo wa kuitandika Iran, bali hata mataifa ya Magharibi yanamtamani sana huyo Iran, na ndiyo maana Israel, hapo Middle ni yeye tu mwenye Nuclear huku Iran akiwa kwenye vikwazo vingi kuhusiana na mradi wake wa Nuclear

Hata hivyo, Irani anachukiwa na mataifa mengi makubwa, akijichanfanya tu aipige Israel, atashindwa kujua ni nani hasa anayempiga, maana atachapwa kama mtoto mdogo na kuharibu mazima uchumi wake na kurudi uchumi wa kama Iraq, Yemeni, Syria n.k

Kwa ushauri wangu, asijaribu kufanya hivyo

Niwaombe na waislamu watukutu, waache kumvimbisha kichwa Iran, kwani wao watakuwa ni mashabiki watazamaji tu
umeongea ukweli kabisa na ndio ipo hivyo siku iran akijichanganya hakuna rangi ataacha kuona.

NB: Kwa heshima na nia njema, naomba upitie wasifu wangu na unisaidia ktk hitaji langu la ajira.
Mimi ni kijana mchapakazi na mwaminifu, miaka 32, makazi yangu Dar es Salaam. Nina shahada ya utawala, na uzoefu wa miaka 8 katika usimamizi wa miradi, utafiti, data entry, na usimamizi wa mitandao ya kijamii, pia nina ujuzi na uzoefu kwenye customer care, masoko, na mauzo. Naweza kusaidia katika kuandika maandiko mbalimbali ya kiofisi, miradi, tafsiri, na kubuni nakutengeneza tovuti kwa ubora.
Ninaomba fursa ya ajira na nipo tayari kufanya kazi mara moja mahali popote nchini.
Nipigie/text kwa 0769 055050. Asante!
 
Ww ndie huijui kama unaijua ungeona Biden ndie kasema commitment ya US kwa Israel ni Ironclad akarudia tena Ironclad amesisitiza akitoa message kwa Iran na wenzie sasa wajichanganye wataona mvua.. ww umeleta ujumbe wa Us kwa Israel kwamba Iran kulipiza kisasi ni muda wowote haikwepeki lakina hukuleta message yote ambavyo Biden amehitimisha jinsi Gani Us Inahusika na ulinzi kwa Israel

1. Marekani hiyo hIyo ndivyo iliyoyasema haya niliyoweka hapa, na inafanya jitihada zote wasipigane watu hapo:

IMG_20231219_124846.jpg

2. Kwanini kuwa wadhani wajua upande mmoja wa shilingi kujiaminisha kuwa ni wewe tu ujuaye?

3. Huo si ndiyo ule unaoitwa ujuaji?

"Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao."
 
Hivi ni lini hii Dunia itakuwa na amani ya kudumu???

1. Si rahisi kwa mindsets kama hizi za waisrael na aina ya kina FaizaFoxy au Malaria 2 na wenzao.

2. ZIngatia waisrael wanaamini wapalestina ni kama wanyama tu wasiostahili kuishi. Buza hapo MK254, Moisemusajiografii na wenzao wafia dini wa namna hIyo wanawakilisha. Wafia dini hawa wajulikani ni wa dini gani maana mwisrael Wala SI dini yao!

3. Hawa wengine nao wanaamini ni vita dhidi ya uislam japo wapalestina hawajasema hivyo. Hawa ni wafia uislam, piga ua hawa damu kutoka masikioni haibadilishi kitu!

4. Shughuli yake waiona hapo? Vita vya kidini si anashinda Mungu? Si balaa la kufaa mtu hilo? Hadi aje Mungu mwenyewe kuweka mambo yake sawa.

5. Suala la vita vya ardhi limevamiwa na la wenye agenda zao. Basi tena disco limevamiwa na wamorani. Kuna kupona mtu hapo?

Waiona shughuli ilivyo pevu ndugu?

a) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.

b) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.
 
Mkuu, ikiwa haya yametoka ndani ya kilindi cha Moyo wako kabisa, na kwa dhati ya moyo wako mkuu!

Heshima kwako brazaj, kuna wakati uwasilishaji wako kwa maono yangu nilikuwa naona na wewe ni wale wale wafia dini!

Naanza kukuunga mkono mkuu! Barikiwa sana
 
1. Yatoke wapi mkuu kama si moyoni? Wala si wa leo!

2. Angalia hapa kujiridhisha ikikupendeza:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

3. Sisi kama binadamu iweje kushikiwa akili kama mifugo?
 
“We also want to address the Iranian threat to launch a significant – they’re threatening to launch a significant attack in Israel,” Biden said. “As I told Prime Minister Netanyahu, our commitment to Israel’s security against these threats from Iran and its proxies is ironclad. Let me say it again, ironclad. We’re gonna do all we can to protect Israel’s security.”
Huyo kobaz katafuta yanayompendeza Kisha hii paragraph akaiacha, Bure kabisa jamaa.
 
Back
Top Bottom