Wambieni Iran wajichanganye sasa“We also want to address the Iranian threat to launch a significant – they’re threatening to launch a significant attack in Israel,” Biden said. “As I told Prime Minister Netanyahu, our commitment to Israel’s security against these threats from Iran and its proxies is ironclad. Let me say it again, ironclad. We’re gonna do all we can to protect Israel’s security.”
“We also want to address the Iranian threat to launch a significant – they’re threatening to launch a significant attack in Israel,” Biden said. “As I told Prime Minister Netanyahu, our commitment to Israel’s security against these threats from Iran and its proxies is ironclad. Let me say it again, ironclad. We’re gonna do all we can to protect Israel’s security.”
Wambieni Iran wajichanganye sasa
Ningetamani sana Iran abakie mfano wa kama China, mchina mchokozee atakukoromea tu na kukuonyeshea videge na vijimabomu na mazoezi uchwaraa..! Kumbe mwenzako yuko mbaaali mno na ukweli huo huku akiendelea kujenga uchumi wake
Irani ni Taifa ambalo sio tu Israel imejitahidi kujenga uwezo wa kuitandika Iran, bali hata mataifa ya Magharibi yanamtamani sana huyo Iran, na ndiyo maana Israel, hapo Middle ni yeye tu mwenye Nuclear huku Iran akiwa kwenye vikwazo vingi kuhusiana na mradi wake wa Nuclear
Hata hivyo, Irani anachukiwa na mataifa mengi makubwa, akijichanfanya tu aipige Israel, atashindwa kujua ni nani hasa anayempiga, maana atachapwa kama mtoto mdogo na kuharibu mazima uchumi wake na kurudi uchumi wa kama Iraq, Yemeni, Syria n.k
Kwa ushauri wangu, asijaribu kufanya hivyo
Niwaombe na waislamu watukutu, waache kumvimbisha kichwa Iran, kwani wao watakuwa ni mashabiki watazamaji tu
Hivi ni lini hii Dunia itakuwa na amani ya kudumu???1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi:
View attachment 2960546
2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma:
View attachment 2960565
3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti?
View attachment 2960549
4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo, kazi ingalipo:
View attachment 2960557
5. Si kwa Natenyahu, bali kwa waliomo na wasio kuwamo.
Wao wanawavuta wairan waingie vitani ili wamalizane nae kwa kudumu kama Saddam Hussein, kwa sababu tayari ni tishio la kudumu kwa IsraelWambieni Iran wajichanganye sasa
Eeeh mtani.....huu uzi mwingine 🤣😂😂😂1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi:
View attachment 2960546
2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma:
View attachment 2960565
3. Kumbe kipi kilicho bora zaidi, binadamu apitishwapo kwenye lindi la mauti?
View attachment 2960549
4. Hadi pale Iran atakapothibisha vinginevyo, kazi ingalipo:
View attachment 2960557
5. Si kwa Natenyahu, bali kwa waliomo na wasio kuwamo.
umeongea ukweli kabisa na ndio ipo hivyo siku iran akijichanganya hakuna rangi ataacha kuona.Ningetamani sana Iran abakie mfano wa kama China, mchina mchokozee atakukoromea tu na kukuonyeshea videge na vijimabomu na mazoezi uchwaraa..! Kumbe mwenzako yuko mbaaali mno na ukweli huo huku akiendelea kujenga uchumi wake
Irani ni Taifa ambalo sio tu Israel imejitahidi kujenga uwezo wa kuitandika Iran, bali hata mataifa ya Magharibi yanamtamani sana huyo Iran, na ndiyo maana Israel, hapo Middle ni yeye tu mwenye Nuclear huku Iran akiwa kwenye vikwazo vingi kuhusiana na mradi wake wa Nuclear
Hata hivyo, Irani anachukiwa na mataifa mengi makubwa, akijichanfanya tu aipige Israel, atashindwa kujua ni nani hasa anayempiga, maana atachapwa kama mtoto mdogo na kuharibu mazima uchumi wake na kurudi uchumi wa kama Iraq, Yemeni, Syria n.k
Kwa ushauri wangu, asijaribu kufanya hivyo
Niwaombe na waislamu watukutu, waache kumvimbisha kichwa Iran, kwani wao watakuwa ni mashabiki watazamaji tu
Ww ndie huijui kama unaijua ungeona Biden ndie kasema commitment ya US kwa Israel ni Ironclad akarudia tena Ironclad amesisitiza akitoa message kwa Iran na wenzie sasa wajichanganye wataona mvua.. ww umeleta ujumbe wa Us kwa Israel kwamba Iran kulipiza kisasi ni muda wowote haikwepeki lakina hukuleta message yote ambavyo Biden amehitimisha jinsi Gani Us Inahusika na ulinzi kwa Israel
Eeeh mtani.....huu uzi mwingine 🤣😂😂😂
Hivi ni lini hii Dunia itakuwa na amani ya kudumu???
Mkuu, ikiwa haya yametoka ndani ya kilindi cha Moyo wako kabisa, na kwa dhati ya moyo wako mkuu!1. Si rahisi kwa mindsets kama hizi za waisrael na aina ya kina FaizaFoxy au Malaria 2 na wenzao.
2. ZIngatia waisrael wanaamini wapalestina ni kama wanyama tu wasiostahili kuishi. Buza hapo MK254, Moisemusajiografii na wenzao wafia dini wa namna hIyo wanawakilisha. Wafia dini hawa wajulikani ni wa dini gani maana mwisrael Wala SI dini yao!
3. Hawa wengine nao wanaamini ni vita dhidi ya uislam japo wapalestina hawajasema hivyo. Hawa ni wafia uislam, piga ua hawa damu kutoka masikioni haibadilishi kitu!
4. Shughuli yake waiona hapo? Vita vya kidini si anashinda Mungu? Si balaa la kufaa mtu hilo? Hadi aje Mungu mwenyewe kuweka mambo yake sawa.
5. Suala la vita vya ardhi limevamiwa na la wenye agenda zao. Basi tena disco limevamiwa na wamorani. Kuna kupona mtu hapo?
Waiona shughuli ilivyo pevu ndugu?
a) Wafia Uislam: Hawa kwao dini ni uislam tu, tena ule wa kwao. Huwashangaa wengine wote na dini zao. Haiwaingii akilini iweje usiwe mwislam wa aina yao. Hawana uvumilivu na wengine. Mbingu na pepo wanayoijua ni ile yao tu, si ya wengine. Adui yao mkuu ni yeyote asiyekuwa mwislam na hasa mwisraeli.
b) Wafia Ukristo: Hawa wanaamini dini ni ukristo tu, tena ule wa kwao. Wanaamini Israeli ni taifa teule na kuwa tena si binadamu wa kawaida. Lolote afanyalo mwisraeli ni sawa tena dunia yote ilipaswa kuwasabiria. Hakuna ovu lolote dhidi ya Israel, na waarabu kwao, hawana haki yoyote.
Mkuu, ikiwa haya yametoka ndani ya kilindi cha Moyo wako kabisa, na kwa dhati ya moyo wako mkuu!
Heshima kwako brazaj, kuna wakati uwasilishaji wako kwa maono yangu nilikuwa naona na wewe ni wale wale wafia dini!
Naanza kukuunga mkono mkuu! Barikiwa sana
Huyo kobaz katafuta yanayompendeza Kisha hii paragraph akaiacha, Bure kabisa jamaa.“We also want to address the Iranian threat to launch a significant – they’re threatening to launch a significant attack in Israel,” Biden said. “As I told Prime Minister Netanyahu, our commitment to Israel’s security against these threats from Iran and its proxies is ironclad. Let me say it again, ironclad. We’re gonna do all we can to protect Israel’s security.”
Huyo kobaz katafuta yanayompendeza Kisha hii paragraph akaiacha, Bure kabisa jamaa.
Aaah kule wamenifukuza mtani 🤣🤣🤣Kwani kule kwenye jukwaa letu la nyumbani umeshatupia ngapi ndugu? 🤣🤣
Wewe si wapiga miguu yote?