Marekani yasema kipigo kutokea Iran ni suala la muda tu

Asante ndugu......wafia dini wa pande zote sijui Mungu wao ni yupi ambae amebariki mauaji na dhulma.
Mungu atuongoze sana!!!
 
Israel yupo imara anawatamani sana hao magaidi wa Iran ambao wamejiapiza kuifuta Israel katika uso wa dunia.
 
Israel yupo imara anawatamani sana hao magaidi wa Iran ambao wamejiapiza kuifuta Israel katika uso wa dunia.

1. Hayupo mwenye akili zake anaweza kuwa popote akitaka vita ati kwa kuwa ni imara kama si uwenda kuzimu.

2. Kwani walikuwapo kuliko kina Samson au Goliath?

3. Hapo #2, mweke Roman empire kwenye fridge kwanza, utamrejea baadaye.
 
Aaah kule wamenifukuza mtani 🤣🤣🤣
Kama ndivyo, watakuwa hawapendi wajuaji!

Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.
 
Tangu shule ya msingi hadi secondary kidato cha nne nimesoma na wakristo na wasabato.
Tulikuwa tunaishi vizuri na kuheshimiana imani zetu.
Mtaani kwetu manzese tumeishi vizuri sana na hao ndugu zetu.
Nakumbuka wazazi wangu walikuwa wananikumbusha kuwa binadamu ni wote sawa.
Nisimbague mtu kutokana na dini,kabila au changamoto yoyote aliyonayo.
Rafiki yangu Gaston George ambae ni padri kwasasa tuliishi nae vizuri mtaani kwetu.
Fredy John,Elia mwaisumo,David Bambo na wengne wengi walkuwa mfano wa kuigwa mtaani.
Jambo lolote la kijamii tulikuwa tunashiriki pamoja.
Kwenye familia yetu mama angu mkubwa ni mkristo alibadili dini.
watoto wake ni Emmanuel, Fred, Michael,Sekela na Sophy.
.Tunaishi kwa kuheshimiana sana,huwa nashiriki kwenye kipaimara,ukumunio,pasaka, Christmas e.t.c
Nao pia huwa wanashiriki kwenye shughuli/sherehe zetu za kiislamu.
Tupo na furaha na amani tele.
Njoo kwa waislamu na wakristo wa jamii forum ni balaa!!!
 
1. Hata mtaani ni hivyo. Hawa kina MK254 na wenye kuita wengine kobaz ni wapuuzi wa humu JF tu.

2. Hao ni wa kondolea uvivu, na kuwavaa head on bila kujali ni wafia uislam au wafia ukristo.

3. Zingatia wakristo na waislam wanaojitambua, wote wana matatizo na wafia dini hao.
 
1. Hayupo mwenye akili zake anaweza kuwa popote akitaka vita ati kwa kuwa ni imara kama si uwenda kuzimu.

2. Kwani walikuwapo kuliko kina Samson au Goliath?

3. Hapo #2, mweke Roman empire kwenye fridge kwanza, utamrejea baadaye.
Kwa taarifa tu roman empire ndiyo EU kwa sasa na kwa fact tu ndo most poweful last empire inayoenda itingisha dunia
 
Kwa taarifa tu roman empire ndiyo EU kwa sasa na kwa fact tu ndo most poweful last empire inayoenda itingisha dunia

1. Haya tena wale ndugu zetu kazini:

Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao.

2. Kuna siku tutaelimika kweli?

3. Ngoja tuendelee kusubiria labda nyama ziko chini.
 
Ni mwendo wa kuruka nao tuu!!!
 
Ni mwendo wa kuruka nao tuu!!!

1. Tambua kuna nyuzi hata waitwe kwa mdundo wa ngoma. Ni mwendo wa kujipitia juu kwa juu .. "hiiiiiiii ...iii!"

2. Amini nakwambia hatokei MK254 hata kwa kukokotwa na tinga tinga!
 
Kwa taarifa tu roman empire ndiyo EU kwa sasa na kwa fact tu ndo most poweful last empire inayoenda itingish

1. Tambua kuna nyuzi hata waitwe kwa mdundo wa ngoma. Ni mwendo wa kujipitia juu kwa juu .. "hiiiiiiii ...iii!"

2. Amini nakwambia hatokei MK254 hata kwa kukokotwa na tinga tinga!
Na wenzake sijui faiz...ritz
 
Ayatollah mbona haeleweki, anaenda mbele mara anarudi nyuma

Al-Arabia:

Iran's mission to the United Nations:

“Response [to Israel] can be avoided if the United Nations condemns the attack on our consulate in Damascus”
 
Nyuma ya pazia Marekani nchi za kiarabu na Iran waongea kuhusu hilo shambulizi linoandaliwa na Iran lakini Iran lazima watafanya shambulizi.

Iran ana options nyingi tu na si lazima iwe ni makombora.

Iran yaweza kufanya mashambulizi ya "cyber attacks" ili kuua uwezo wa Israeli kwenye mitandao ya internet na mashambulizi mengine ya kimkakati.

"Miscalculations" yoyote italeta athari kubwa ndo maana bado Iran wametumia muda kupata shambulizi murua.

Lengo la Israeli na Marekani ni kutaka Iran akosee kufanya mashambulizi ili wapate sababu ya kushambulia vinu vya nyuklia jambo ambalo litaleta athari Iran zaidi kuliko Israeli na Marekani.

Ila Israeli atafaidika kwa kuwa na uhakika ametibua vinu vya nyuklia vya Iran visiwe na nguvu.
 
Sasa wanapigwa na psychological warfare na ktk hili wairan ni wataalamu mno muisrael ataachwa achwa kwanza ajisahau halafu atalipiziwa ila tu hii psych ops inwafrustrate israell na majamaa zake wote.
 
U.S. Republican Senator, Marco Rubio who is a Member of the Gang of Eight and the Senate Intelligence Committee has made a Post stating that Iran wants to launch a Large-Scale Attack from its own Territory against Israel and that Israel is preparing to “Respond Instantly” with an even more Severe Attack inside of Iran; with him further stating, “What happens next is the most dangerous Middle East moment since 1973.”
 
Sasa wanapigwa na psychological warfare na ktk hili wairan ni wataalamu mno muisrael ataachwa achwa kwanza ajisahau halafu atalipiziwa ila tu hii psych ops inwafrustrate israell na majamaa zake wote.
REPORT:

YNET: Iran backed away from launching a last-minute attack against Israel.

Recent indicators suggest that Iran had been preparing in recent days to retaliate against Israel following the assassination of senior Quds Force commander Hasan Mahdi al-Dhawai in Damascus.

However, at the final moment, Iran either postponed the operation or opted to alter its course, likely due to explicit warnings conveyed by senior officials in the Biden administration yesterday.
 
BREAKING: Israel's defense minister says a 'direct Iranian attack on Israeli territory will compel Israel to respond in an appropriate way against Iran'
 
BREAKING: Israel's defense minister says a 'direct Iranian attack on Israeli territory will compel Israel to respond in an appropriate way against Iran'

1. Kwa hiyo hiyo ndiyo kinga ya kumthibitishia mmarekani amwachie yuko vizuri?

2. Hizi si ndiyo zile "nishikeni jamani, nitaua;" huku mchuzi unatoka puani?

3. Lini tutaamka kujua uchokozo ni upumbavu?
 
Haina shaka kwamba wanaonukuliwa ni CIA:

"It is not a matter of if, but when."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…