Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

'US kaenda vitani kwa sababu ya uchumi' bado haiondoshi ukweli kuwa ndio nchi inayoongoza kuwauwa na kuwatesa Waislam, pia kuwachukia Waislam duniani, ndio nchi pekeake duniani ilioburn Waislam kuingia nchini mwao, under DT, na ndio nchi pekee inayozibomoa kwa mabomu nchi za Waislam
 
Nalo pia sio sawa hata kidogo na siungi mkona vitendo ambavyo muisrael anamfanyia mpalestina kwani ni apartheid kwa sapoti ya marekani. Pia sioni action ya pamoja ya nchi za kiislam hata kupaza sauti tu!!! Angalau Iran na Qatar wanasaidia kidogo.
Sio kwamba nasema unaunga MKONO hapana MKUU ila nlitaka tu unambie kuhusiana na suala lile je US walitoa rection gani tukiachana nahao wanafiq wakiarabu na kiislam uliowataja hapo US alisemaje kuhusu hilo ?!
 
Sasa Huawei na waislam wapi na wapi??.

Waziri Pompeo ndio kawaunganisha HUAWEI na Uislamu.

Kasema anawaunga mkono UK kuifukuza HUAWEI kwa sababu HUAWEI inatumiwa na the Chinese Communist Party state kuwafuatilia, kuwa spy, kuwadukua na kuwakandamiza Waislamu wa UWIGA jimboni Xinjiang.

CHINA yenyewe inasema inawadhibiti Waislam wa Uwiga wasilete Ugaidi China.
 
'US kaenda vitani kwa sababu ya uchumi' bado haiondoshi ukweli kuwa ndio nchi inayoongoza kuwauwa na kuwatesa Waislam, pia kuwachukia Waislam duniani, ndio nchi pekeake duniani ilioburn Waislam kuingia nchini mwao, under DT.
Ukweli mchungu kama huu hawatakaa waukubali ijapokua wanauelewa.
 
Mkuu chukua form ya kugombea uchaguzi mkuu, Naja kuilipia...
 
Funga bakuli lako, usiongee ugoro
 
Mbna kama hujaeleweka MKUU hem nyoosha maelezo kidogo.....
 
Siasa ndani ya vita ya kiuchumi baina ya nchi hizo 2, hata kama ni kweli but yeye kwa nn anawauwa haohao Waislam wasiokua na hatia kila siku kwa mabomu?? Kwa nini awatetee leo huku kesho yake anauwa families za hao anaowatetea??
 
Huyu jamaa angu namfahamu tunaendesha nae bodaboda, kapeleka abiria chapu haraka akirudi tu atajibu.
hahah sawa MKUU ila umakini unahitajika sana asee huko kibaruani maana changamoto nyingi sana kwajamaa zetu hawa.....

Hata kama pengine huendeshi kweli boda boda ila maneno yangu muhimu sana kwawatu hawa kama watayaona
 
Marekani wana ujuzi sana wa kucheza na akili za watu na zikachezeka na wachezewa akili wakachizika.
 
hahah sawa MKUU ila umakini unahitajika sana asee huko kibaruani maana changamoto nyingi sana kwajamaa zetu hawa.....

Hata kama pengine huendeshi kweli boda boda ila maneno yangu muhimu sana kwawatu hawa kama watayaona
Amini, ndio ajira yangu. Asharudi nipo nae hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…