#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus


..lakini ccm na mataga si mlikuwa mnapinga chanjo?

..sasa kwanini mnapokea chanjo toka kwa mabeberu wanaozitolea mate rasilimali zetu?
 
Ilisimamishwa kutumika kwa muda baadaye ikaruhusiwa tena. Sasa hivi anayetaka kupiga hii J & J hupewa onyo kuhusu madhara yanayoweza kutokea ili kama akiathirika asije kugeuka ná kufungua law suit dhidi ya kampuni na sehemu aliyochomea. Wengi mwanzo waliipenda hii Kwa sababu ni chanjo moja si mbili kama nyingine lakini baada ya onyo wengi wanaikimbia.


Sijaona popote hapo kwenye hiyo link yako panaposema hiyo chanjo imepigwa marufuku Marekani!
 
Ndiyo, lakini haijapigwa marufuku Marekani!
 
Utakuwa unadanganya. USA zinatumika aina tatu Pfizer, Moderna na hii Johnson
 
Hii chanjo ingekuwa ina shida kubwa Marekani wasingeiruhusu kuendelea kutumika. Kitendo cha kuiruhusu maana yake madhara yake si makubwa kivile na watu wanaendelea kuichoma daily
 
Kwahiyo leo chanjo za wazungu haziaminiki tena kama mlivyokuwa mnadai? Maana humu jukwaani kila aliekuwa anajaribu kuhoji usalama wa hizo chanjo alioneka kituko,wengine wakadai kwamba mzungu hawezi kutuletea kitu chenye madhara kwakua kama angetaka kutudhuru angefanya hivyo kupitia chanjo nyingine tunazipokea utotoni.

Vipi leo zimekuwa na kupitiswa mmeanza kuwa selective,au ndo kusema huwa mnatafuta mijadala ya kisiasa tu? Maana kitu kabla haiijafanywa na serikali huwa mnakishupalia kweli ila kikifanywa tu,kunageuka na kuwa kibaya ilimradi mpate cha kupinga tu, aiseeh 😂
 
Ooghh
 
Nasapoti chanjo.. ila binafsi sijioni nikichoma chanjo huu mwaka wala mwaka kesho..

Ngoja nisome upepo unavoenda
 
Bora kuchoma chanjo na kufa kwa covid kuliko kutochoma chanjo na kufa kwa covid
 
Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.


Ili Chadema wafe kwanza kabla ya CCM?!, Chadema ndio mbuzi wa kafara??
 
Ni kweli mkuu.Niko serious.Jamaa walistuka nilivyowaambia taifa lao limetuletea hiyo chanjo.Wanaishangaa serikali yao!Nimeona hii mada hapa basi majibu nishayapata yote.Sichanjwi aisee.Labda walete Sputnik.Nayo pia ntachanjwa siku nikitoka bongo.Kwa sasa sina safari yoyote zaidi ya kkoo,posta,Tandale,Mbagala!Barakoa nnazo sita!Acha nitulize wenge kwanza!Karibuni tule pweza wa mezani hapa!
 
Kwa maelezo haya hata mm nitasubiri nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…