Ingawa mimi si muumini wa chanjo yoyote, ila siku si nyingi mkuu wako alishauri eti chanjo iwe lazima na hata baadhi ya BAVICHA huwa wanadai chanjo ziletwe wao wakachanje maana wao sio Sukuma Gang. Chanjo zimeletwa mnaiponda tena CCM,nikuulize sasa mnataka chanjo au hamtaki? Na kama mnataka nendeni mkachanje maadam zimetoka kwa mabwana wenu mnaowaamini kwa kila kitu.
..lakini ccm na mataga si mlikuwa mnapinga chanjo?
..sasa kwanini mnapokea chanjo toka kwa mabeberu wanaozitolea mate rasilimali zetu?