#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Ingawa mimi si muumini wa chanjo yoyote, ila siku si nyingi mkuu wako alishauri eti chanjo iwe lazima na hata baadhi ya BAVICHA huwa wanadai chanjo ziletwe wao wakachanje maana wao sio Sukuma Gang. Chanjo zimeletwa mnaiponda tena CCM,nikuulize sasa mnataka chanjo au hamtaki? Na kama mnataka nendeni mkachanje maadam zimetoka kwa mabwana wenu mnaowaamini kwa kila kitu.

..lakini ccm na mataga si mlikuwa mnapinga chanjo?

..sasa kwanini mnapokea chanjo toka kwa mabeberu wanaozitolea mate rasilimali zetu?
 
Ilisimamishwa kutumika kwa muda baadaye ikaruhusiwa tena. Sasa hivi anayetaka kupiga hii J & J hupewa onyo kuhusu madhara yanayoweza kutokea ili kama akiathirika asije kugeuka ná kufungua law suit dhidi ya kampuni na sehemu aliyochomea. Wengi mwanzo waliipenda hii Kwa sababu ni chanjo moja si mbili kama nyingine lakini baada ya onyo wengi wanaikimbia.

Sijaona popote hapo kwenye hiyo link yako panaposema hiyo chanjo imepigwa marufuku Marekani!
 
Ilisimamishwa kutumika kwa muda baadaye ikaruhusiwa tena. Sasa hivi anayetaka kupiga hii J & J hupewa onyo kuhusu madhara yanayoweza kutokea ili kama akiathirika asije kugeuka ná kufungua law suit dhidi ya kampuni na sehemu aliyochomea. Wengi mwanzo I waliipenda hii Kwa sababu ni chanjo moja si mbili kama nyingine lakini baada ya onyo wengi wanaikimbia.
Ndiyo, lakini haijapigwa marufuku Marekani!
 
Nina rafiki zangu wamarekani wamekuja hapa two weeks ago kikazi.Wao walishachanjwa huko kwao.
Nimewaambia kuhusu hii chanjo ya Johnson wametahamaki vibaya na wameniambia nisithubutu kusogeza bega langu!Nisubiri chanjo nyingine.Mimi nimeamua kuwasikiliza.Sichwanjwi Johnson &Jonhson
Utakuwa unadanganya. USA zinatumika aina tatu Pfizer, Moderna na hii Johnson
 
Ilisimamishwa kutumika kwa muda baadaye ikaruhusiwa tena. Sasa hivi anayetaka kupiga hii J & J hupewa onyo kuhusu madhara yanayoweza kutokea ili kama akiathirika asije kugeuka ná kufungua law suit dhidi ya kampuni na sehemu aliyochomea. Wengi mwanzo waliipenda hii Kwa sababu ni chanjo moja si mbili kama nyingine lakini baada ya onyo wengi wanaikimbia.
Hii chanjo ingekuwa ina shida kubwa Marekani wasingeiruhusu kuendelea kutumika. Kitendo cha kuiruhusu maana yake madhara yake si makubwa kivile na watu wanaendelea kuichoma daily
 
Nina rafiki zangu wamarekani wamekuja hapa two weeks ago kikazi.Wao walishachanjwa huko kwao.
Nimewaambia kuhusu hii chanjo ya Johnson wametahamaki vibaya na wameniambia nisithubutu kusogeza bega langu!Nisubiri chanjo nyingine.Mimi nimeamua kuwasikiliza.Sichwanjwi Johnson &Jonhson
Kwahiyo leo chanjo za wazungu haziaminiki tena kama mlivyokuwa mnadai? Maana humu jukwaani kila aliekuwa anajaribu kuhoji usalama wa hizo chanjo alioneka kituko,wengine wakadai kwamba mzungu hawezi kutuletea kitu chenye madhara kwakua kama angetaka kutudhuru angefanya hivyo kupitia chanjo nyingine tunazipokea utotoni.

Vipi leo zimekuwa na kupitiswa mmeanza kuwa selective,au ndo kusema huwa mnatafuta mijadala ya kisiasa tu? Maana kitu kabla haiijafanywa na serikali huwa mnakishupalia kweli ila kikifanywa tu,kunageuka na kuwa kibaya ilimradi mpate cha kupinga tu, aiseeh 😂
 
Ooghh
 
Nasapoti chanjo.. ila binafsi sijioni nikichoma chanjo huu mwaka wala mwaka kesho..

Ngoja nisome upepo unavoenda
 
Bora kuchoma chanjo na kufa kwa covid kuliko kutochoma chanjo na kufa kwa covid
 
Safi sana rais Samia ingawa gaidi mbowe anafanya kila njia kukuchafua
Hizo chanjo wachanjwe chadema wote kwanza.

Ili Chadema wafe kwanza kabla ya CCM?!, Chadema ndio mbuzi wa kafara??
 
Ni kweli mkuu.Niko serious.Jamaa walistuka nilivyowaambia taifa lao limetuletea hiyo chanjo.Wanaishangaa serikali yao!Nimeona hii mada hapa basi majibu nishayapata yote.Sichanjwi aisee.Labda walete Sputnik.Nayo pia ntachanjwa siku nikitoka bongo.Kwa sasa sina safari yoyote zaidi ya kkoo,posta,Tandale,Mbagala!Barakoa nnazo sita!Acha nitulize wenge kwanza!Karibuni tule pweza wa mezani hapa!
 
Ilisimamishwa kutumika kwa muda baadaye ikaruhusiwa tena. Sasa hivi anayetaka kupiga hii J & J hupewa onyo kuhusu madhara yanayoweza kutokea ili kama akiathirika asije kugeuka ná kufungua law suit dhidi ya kampuni na sehemu aliyochomea. Wengi mwanzo waliipenda hii Kwa sababu ni chanjo moja si mbili kama nyingine lakini baada ya obnyo wengi wanaikimbia.
Kwa maelezo haya hata mm nitasubiri nyingine
 
Back
Top Bottom