#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Nazijua vizuri tu.Ila ndio hivyo.Rafiki zangu ni wa huko na wameshachanjwa Pfizer.Hawanishauri kabisa hiyo Johnson&Johnson.Fanya uchunguzi utajua sababu.
Nasubiri Sputnik.Wewe nenda na familia yako mkachanjwe bwana,hamna shida kabisa.
Nimeshachanja ndugu yangu. Ni vizuri ufanye uchaguzi unaotaka lakini msipotoshe watu eti imepigwa marufuku. Tanzania kuna watu kama wazee, wenye kinga dhaifu kwa sababu ya eg UKIMWI, wengine wana visukari nk. Hawa wakipata korona uwezekano wa kupona na matibabu tulio nayo ni mdogo sana hivyo faida ni kuchanja ni kubwa kuliko hasara. Hawawezi kusubiri eti wanasubiri Pfizer wakati kwenye korona kila dakika ni muhimu. Na hao waliokushauri ni maoni yao tu lakini siyo uhalisia kwani huko huko USA kuna mamia wanazitumia.
 
Hizo data umeziona wewe au umeambiwa kupitia formal announcements kutoka kwa Anthony Fauci, yule bosi wa WHO na wanasayansi wenye hisa kwenye hii corona?
 
Msimamo wangu kuhusu suala zima la ugonjwa wa covid 19 na namna tunavyopaswa kudeal nao hapa nyumbani wanaonifahamu na kunisoma humu wanaujua tangu enzi ya Magufuli nishaandika sana.So hawanishangai.Labda wewe mgeni.

Nilipiga kelele sana serikali iweke strict measures mipakani pale mwanzoni na kuhakikisha tatizo haliwi kubwa ndani ya nchi ili tusilazimike kukimbilia chanjo hizi mapema namna hii.Tungesubiri walau 2 years tuone what's going on around the world lakini hilo lilihitaji umakini mkubwa kuilinda jamii isivamiwe na maambukizi makubwa kila wakati wa new waves.

Nilisema miji yenye watu wengi kama Dar,Mwanza,Arusha ilindwe sana na nilipinga sana zile show za akina Kigwangala na watalii wao na baadhi ya hatua za mwendazake kuwatoa hofu watu ilihali tulihitajika kuwa na tahadhari kubwa pale mwanzo.Timing ni kitu muhimu kwa maambukizi ya magonjwa katika scale kama hii (pandemic).

Sasa hali ishakuwa mbaya mnatulazimisha vitu ambavyo ni risk taking scientifically.

Si sisi wabongo tu,hata huko kwao watu wenye akili timamu hawakupenda presha ya ugonjwa kulazimisha uandaaji na usambazaji wa vaccine haraka hivi..tena vaccine inayotengenezwa kwa utaalamu mpya wa kisayansi unaohusu chembe muhimu za mwili.
 
Hizo data umeziona wewe au umeambiwa kupitia formal announcements kutoka kwa Anthony Fauci, yule bosi wa WHO na wanasayansi wenye hisa kwenye hii corona?
Not me, from the J&J vaccine founder
 
Hehe nilipata moderna niliumwa acha tu .Personal I don’t advice mtu kupata vaccine too much politics na once Chanzo zikikaa kibiashara .Huyo Dr Fauci disaster .your talking about government here .Halafu is not approved by FDA Unajua ni trial
Mrs. Rutherford uliumwa? Nami nilichanjwa Moderna.

Dozi ya kwanza bega liliuma kidogo tu.

Dozi ya pili bega liliuma kidogo halafu nikapata ka homa kwa siku moja tu.

That’s all.
 
kwani rais wa madagascar sio andy rajoelina siku hizi?!....au huyo aliekufa mwezi wa 3 ni rais yupi..
 
Brother hivi ni moja ya vitu vinavyofanya wengine tunawadharau...uwe unajitahidi kutafuta taarifa kutoka kwa vyanzo vya habari vinavyoeleweka na pia kuchimba habari kulingana na unyeti wake..

Mambo haya yanasababisha hata Lissu anaropokaga vitu asivyovijua au kuvifanyia uchunguzi tena akiwa kwenye mahojiano kwenye mashirika makubwa ya habari....
 
Tofauti yetu sisi tunaopinga uharaka wa vaccination na the rest like you guys ni kutazama mambo in 10,20,30 years time.

Ni jambo sahihi kusababisha madhara kwa bilions of people 10 years to come sababu tu mlikuwa desperate kuokoa watu laki mbili leo mkakosa umakini katika kudeal na tatizo initially?!

Hapa nyumbani ni kweli watu wanakufa sana na corona.Binafsi nishazika watatu in 2 weeks.So im also in the risk within my cycles.Lakini hii haihalalishi kuvunja taratibu muhimu katika kupata solution "beyond reasonable doubts".

Mbona hatuzungumzii chanjo za nyuma hii ndio tunaipigia sana kelele,umejiuliza?!

Vichwa vitulie tufanye mambo taratibu kadri nature inavyoruhusu,tusivunje laws of nature.

Nnachopinga ni uharaka tunaopelekeshwa na wengine kwa vitu tusivyovijua sawa sawa sababu tu tuna shida ya ugonjwa.Hili linanitatiza sana.

Kuna mambo kibao hatujui kuhusu sayansi ya mwili wa binadamu so unapotengeneza kitu kinachingizwa mwilini lazima ujiridhishe sana.Chanjo zinajaribiwa miaka na miaka mpaka kutumika.Kwanini tumewaza chanjo kama hatua ya kwanza kudeal na hii ishu,je,hakuna namna nyingine sahihi zaidi tungeweza fanya kabla ya chanjo?
 
Hehe nilipata moderna niliumwa acha tu .Personal I don’t advice mtu kupata vaccine too much politics na once Chanzo zikikaa kibiashara .Huyo Dr Fauci disaster .your talking about government here .Halafu is not approved by FDA Unajua ni trial
Interesting..! Mwanzo walipopata hiz vaccine wakataka kuja kujaribia Africa watakachokifanya kwa sasa ni kubadili nembo tuu then the trial gate chance this people are very arrogant
 
CCM ni ileile na matutusa wake ni walewale haijawahi kubadilika tangu mwanzo wa dahari. CCM ni kama vile wanamtumikia shetani. Tangu Magufuli alipobaka uchaguzi mkuu wa 2020 nchi hii imepata laana ya kudumu; inahitaji toba ili itakaswe.
 
Hahaahah huwezi kumdharau MTU kwa kupost mawazo yake, tena MTU ambaye hata humfahamu!! Mimi nimeweka facts haoo, so inabakia kwako kuchambua mchele na makapi. Kumddharau MTU hio ni hulka na haina connection na anachosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…