#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Tengeneza za kwako , omba msaada za mabeberu wa kichina au Kanywe ile dawa anayogawa Rais mwenyewe Kabudi aliyoileta kutoka Madagascar.
chanjo ya J&J inatia wasiwasi kwa kweli. Hawa jamaa wana skendo kwenye powder zao za watoto. Ilikuwa ipatikane ya Moderna na pfizer
 
Kwa hili tutamkumbuka sana hayati Magufuli.
 
Mwanzo mlisema lisu mabwana zake mabeberu sasa nyie sasahivi naona mmempindua lisu mnapanga foleni tu
Wewe hutazami tv? Huoni mabeberu yanavopishana ikulu kujipendekeza? Mama hayatafuti..yanamtafuta menyewe...sasa mtaenda kudeka na kulialia kwa nani mtapokula kichapo cha mama?
 
Wewe hutazami tv? Huoni mabeberu yanavopishana ikulu kujipendekeza? Mama hayatafuti..yanamtafuta menyewe...sasa mtaenda kudeka na kulialia kwa nani mtapokula kichapo cha mama?
Kichapo kwa wote mkuu, huku sabaya huku mbowe, hapo sijazungumzia tozo za kisenge
 
Kichapo kwa wote mkuu, huku sabaya huku mbowe, hapo sijazungumzia tozo za kisenge
Ndo najiuliza mtabadiri mbinu? Maana Lisu na Lema wamesema wanashitaki misaada isije..hilo haliwezekani kamwe..kwa jpm halikufaulu..na hata kwa mama halitawezekana..mabeberu yanaipenda tz
 
Ndo najiuliza mtabadiri mbinu? Maana Lisu na Lema wamesema wanashitaki misaada isije..hilo haliwezekani kamwe..kwa jpm halikufaulu..na hata kwa mama halitawezekana..mabeberu yanaipenda tz
Unaumwa wewe halikufaulu vipi ikiwa mnabadili gia? Zito alifanikisha kuzuia msaada hadi matakwa yake mlipoyafata ndio mkapewa mkitoka hapo mnawaita mabeberu, na kweli kwenu ni mabeberu maana yanawapanda kwa njaa zenu, enzi za mwendazake si mlikataa chanjo mkaweka nyungu sasa kiko wapi ikiwa waziri mpiga nyungu leo anapokea chanjo, na utachanjwa tu
 
Kwa hili tutamkumbuka sana hayati Magufuli.
Hii nchi haiwez kuendelea ikiwa mawazo ya watanzania wengi ni ya aina yako,,..
What you dont know life will never be the same again,covid is here to stay mgeni wa milele huyu kashafika,..
Its either ukachanjwe sasaivi,,..
Au uje uitafute kwa tochi huko baadae..
Hii corona itatoka matoleo zaid ya series ya kulfi,.
Na hayo yajayo ndo yanafurahisha zaid..
Utachanjwa t msukuma,tena utaipangia foleni uku ukilia lia.
 
Eeh kumbe wazungu ni watu wema sio mabeberu
 
Ndo maana jpm hakuya bembeleza Mabeberu...ila sasa hivi yanajimwaga tu..shindaneni kujipendekeza ila yameshaamua kumsapoti mama
 
Na ubaya hakuna wanachokubali wanataka tuamini kila kitu kipo sawa tu.
 
Kwa kuwa CCM ndiyo chama tawala hapa nchini kinachounda serikali, ijapokuwa walifanya uharamia kwa msaada wa vyombo vya dola ili kupata ushindi ktk uchaguzi mkuu wa 2021. Kwa hiyo basi napendekeza mzigo huu uliowasili wa chanjo za UIVIKO 19 utumike kwa ajili yao pekee kutokana uzito na ugumu wa majukumu ya kuendesha shughuli za kiserikali na bunge.

Pendekezo hili linajikita ktk historia ya kikombe cha Babu na juisi ile waliojipendelea kutota Madagascar iliyokwenda kuchukuliwa na ndege ya rais.
 
Ndo maana jpm hakuya bembeleza Mabeberu...ila sasa hivi yanajimwaga tu..shindaneni kujipendekeza ila yameshaamua kumsapoti mama
Mlikuwa mnadanganjwa tu na JPM na kundi lake.Mbona hakukataa ARV za bure kwa watanzania 2m plus wanaopata hizo dawa bure for the past 6yrs.Dose mora ya mwezi ni kati ya Tzs 350,000 to 700,000 za watoto ni ghali zaidi.Acheni unafiki.Yaani jirani yako anakingi mpaka anazasa akikupa kukusaidia basi ni mbaya .Unless wewe ni shetani. Dini zote zinahubiri utoaji ,saidianeni,pendaneni nk.JPM na kundi lake wako.busy kuhakikisha watu wanateseka.Tilichanga fedha za maafa ,wakasema za miundombinu yaani aliwapandikiza roho ya kisadisti wafuasi wake ,ndio maana alikufa tu no way.Samia kasema chanjo ni hiari
 
New Jersey Marekani, watu 50 waliopata chanjo yote ya Covid 19 wafariki kwa Covid 19.
 
Asanteni sana wadau wetu wa maendeleo....muwe na moyo huo wa kuwasaidia wanyonge...

Nyie si mabeberu kama baadhi ya wapinga maendeleo wanavyowasema vibaya...

Tunawashukuru sana...
 
Blair analaaniwa na waarabu mpaka kesho ni mmoja wa waliofanikisha ile vita ya Bush junior baada ya tukio la kigaidi la september 11 2001.
 
Nenda kadungwe chanjo hakuna aliyekuzuia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…