#COVID19 Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

Wewe hutazami tv? Huoni mabeberu yanavopishana ikulu kujipendekeza? Mama hayatafuti..yanamtafuta menyewe...sasa mtaenda kudeka na kulialia kwa nani mtapokula kichapo cha mama?
Yah mama na JK wapo karibu, na mkwere na wazungu (mabeberu) ni kama shuka na mmasai.
 
Hakika kwa sasa wizara ya Mambo ya Nje inafanya kazi zake kwa ubora unao takiwa, Hongera sana Mama Amb.Mulamula.
 
Max @Mods wajibikeni kuzuia disinformation hatari kama hizi kwenye platform yenu.
Mpuuzi kabisa,wewe ndiye unaye misinform Watanzania halafu unageuza kibao unasema mimi ndiye na-misinform!Hamna aibu kabisa,mnatusaliti Watanzania wenzenu kwa ujira wa Shetani!Shame on you.Lakini a day of reckoning for you is very close,Mungu hata waacha salama.

Hivi CIA wanawalipa nini mpaka mnakubali kushiriki kwenye this ongoing genocide kuwahi kushuhudiwa kwenye historia ya Binadamu?Msishani hatujui mpo,tunajua.Watch this👇.


 
Pamoja na yote hayo bado haijazaidia kuzuia tozo ya miamala
 
Kwani JPM alisema watu wasivae barakoa au alitoa angalizo aina za barakoa ambazo watu wake waepukane nazo?
 
Wakati huo huo wanapigia chapuo delta wave/effection. Mtamkoma shetani na vizabizabina wake wakiwa na mibarakoa, msipojiongeza Watanzania wenzangu. 'Ama nasema uongo jamani?'
 
Achaneni na mizaha
 
Tumekwisha.
 
100
Unajielewa mkuu..Yaani mi nashangaa kila mtu anasingizia eti anasikia watu wanakufa..wanaokufa ni kina nani? Mtaani kwako majirani hawajafa, wafanyakazi wenzio hawajafa, ndugu 'ako hawajafa na kama hao kuna mtu kafa sio kwa corona. So who is dying???. Na watu wamefika kipinsi wanajidai kama vile vifo havikuwahi kuwepo kabla ya corona. Watu walikuwa wanakufa na wataendelea kufa kwa magonjwa tofauti tofauti pamoja na ajali. Hii corona kweli inaua lakini si kwa kiwango na speed ambayo wauza chanjo na madalali wao wanataka tuamini. Corona is survival of the fittest..ikikuta afya ilikuwa mgogoro itakubeba tu..So watu walokufa kqa corona walikufa kwa sababu tayari walikuwa na magonjwa mengine ambayo tanawafanya wasiweze kupambana na corona. Na ndio maana wengi sana wamekufa ulaya kwa sababu ya high life expectancy ambayo inafanya wazee wawepo wengi sana. Huku sie tunajifiaga mapema tu mjini wazee wachache sana..na walip vijijini kinga zao ziko vizuri mno
 

Chaliiiii siku hizi wanamuita MWENDAZAKE.


 
Mizaha gani?
Muwe mnajiongeza basi kwenda kwenye mahospitali makubwa mkaone watu wanavyo pumua kwa shida na kwa msaada wa mitungi ya oxygen ili muone changamoto halisi za huo ugonjwa.
 
Reactions: BAK
Badala ya kumwacha JPM apumzike kwa amani wewe unaokuja hapa na post zako za kijinga.

Watu wanapukutuka kwa korona kila mahali Tanzania na Duniani kwa ujumla wewe unakuja hapa na mizaha yako.

Kwa viwango vyovyote wewe ni mtu mjinga tu. Kama unamilki familia,hiyo familia ina hasara kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…