Marekani yawaonya Raia kwenda Kenya sababu ya COVD19


Mchimba shimo huingia mwenyewe. Waliweka mikakati fitinishi wakituchagua kimataifa eti tusiende kwao tutawaambukiza coronoa huku wakijifanya kwamba wao kama si sisi hawana tatizo la COVID!.

Mficha maradhi, kilio huumbua.

Yako wapi sasa?
 

Hahahaha!! Uoga unauondoa vip wakati mnatisha watu kwa kuonda mvnt Na lockdown?
 
Nyie ma bwege kweli mtabaki hivyo hivyo hao wazungu wa KLM kama wasinge jiridhisha wasinge leta RAIA wao sehem ambayo ni hatarishi
 
Hahahahaha naona corona inawanyoosha pamoja na kutangaza kwenu wakati sisi tunapeta tu. Haya marafiki zetu USA wamewakataa hawataki kuja kwenu mna corona ila sisi tusiopima wameruhusiwa kuja!! Mmezidi kujipendekeza kwa mabeberu ona sasa yanawanyoosha!!
 
Hamna si unaona mwenyewe.
Watu 420 wamekufa kwa corona.

Ebu Anza kuhesabu kuanzia 1 mpaka 420.
Ni watu wengi sanaaa tenaa sanaa.sasa hao ni wale ambao serikali ya Kenya imerekodi visa vyao.acha wale wanaokufa majumbani na wale wa vijijini ambao hawawezi kufika hospitalini
Duh chief upo kenya au unawashakizia tu


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
wakenya wanapenda kusikia hivyo ili waongezewe mkopo na IMF toka ile usd 1 billion waliopewa.,..mbaya zaidi ela yote inaishia kwa kenyata na ukoo wake ...shame
Duh kama hali ipo ivyo kweli wanahitaji maombi ..nq pale Nairobi si pana ofisi ndogo ya WB ya kanda bila shaka
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US [emoji23][emoji23]
Danganyika ni kituko cha nchi.
Akili mbovu za kikenya mzungu akiingia kenya akai karantini ila mwafrika mnampeleka karantini,mmefunga shule na vyuo hadi mwakani lkn mkafungulia utalii sasa hiyo akili au matope!
 
Wakenya kuongea kizungu wanajionaga kama wao ni wazungu watu wa west..kumbe ni ka nchi kamoja maskin sana dunian..wakenya wanaringia kuongea kizungu.hahahahah...mkikaribia vifo 500 utupe mrejesho...mbona takwimu za ukimwi.malaria.kipindupindu kifua kikuu hamwek hadharan...pum.bafu kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…