wewe ni mgeni jukwaa hili.MATAAGA bhana... mkiambiwa nothing personal, taarifa kama hiyo US huwa wanatoa dhidi ya mataifa wanayoona kuna walakini wa kiusalama, huwa mnadai Mabeberu wanawaonea wivu!!!!
Taarifa sawa na hiyo imetolewa vile vile dhidi ya Tanzania; sasa kinachowafurahisha hapa sijui ni nini!!
You're very funny, eti ni mgeni wa jukwaa hili!wewe ni mgeni jukwaa hili.
tuache na wakenya wetu tunaelewana nao sana. ndio maana jibu lako halilingani na ya kwao.
hayo mambo ya MATAGA na BAVICHA hapa sio mahala pake.
ahaa kwahiyo tatizo lako ni hilo?You're very funny... eti ni mgeni wa jukwaa hili!
FYI, hao akina MK254 back in the days nishatowana nao sana nishai lakini siku hizi najizuia kupita huku kwa sababu MATAGA huwa mnaandika mambo ambayo sie wengine tunaoweka maslahi ya nchi mbele, yanatufanya tuwe kwenye wakati mgumu kwa sababu tukiwa-challenge itakuwa ni kama tunajiumbua wenyewe na tukiyaunga mkono itakuwa ni kama tunasimama pamoja na manyang'au; na kwahiyo tunaamua kukaa kimya!!!!
Kausha tupo gia namba Saba Sasa Aweke tano Ili iweje?Wakenya watavuna walichopanda, JPM piga gear Na 5 sasa
Nimesema mnakosea au nimesema ndo mjue kwamba don't take it personal US wanapotoa alerts kama hizo dhidi ya TZ kwa sababu mmezoea mkiona taarifa kama hizo dhidi ya Tanzania, watu huwa mnakuja juu na kudai kwamba "Mabeberu wanawaonea wivu"!!ahaa kwahiyo tatizo lako ni hilo???
embu utuambie katika hili tunakosea nini kuwacheka wakenya. sisi tukipigwa hiyo hazard ni kwa sababu hatuchukui hatua(kutangaza). wao wanwpigwa hazard kwa sababu ya nini???
nakukumbusha(MATAGA) ni zimwi lililoko kichwani kwako halipo kiuhalisia hapa.
tuigeukie US kama US sasa.Nimesema mnakosea au nimesema ndo mjue kwamba don't take it personal US wanapotoa alerts kama hizo dhidi ya TZ kwa sababu mmezoea mkiona taarifa kama hizo dhidi ya Tanzania, watu huwa mnakuja juu na kudai kwamba "Mabeberu wanawaonea wivu"!!
Ndo maana nimesema taarifa kama hiyo US huwa wanatoa dhidi ya mataifa mbalimbali ili kuwatahadhalisha wananchi wao! Hata ukiingia kwenye tovuti ya Department of States, kuna taarifa kama hiyo dhidi ya Tanzania!
So, issue sio kuchukua au kutochukua hatua bali wao huwa wanatoa alert mara kwa mara kwa dunia mzima. Hata ukiingia nadhani kwenye tovuti ya CDC au hiyo hiyo ya Department of States, utakuta wamegawa nchi kwenye makundi 3... both Tanzania and Kenya wameziweka kwenye Level 3 (more than 500 cases) ; yaani High Risk!!
Na hiyo hazard uliyoitaja, wao wanaangalia level of infection and the ability of health services kwa nchi husika kuweza kukabiliana na janga!
Ndo maana nimesema you're taking it too personal! Yaani kwavile kwao ndo kuna maambukizi na vifo vingi zaidi ndo ulitaka wasitoe tahadhali kwa wananchi wao wanaotaka kusafiri nje ya nchi?tuigeukie US kama US sasa.
inaongoza kwa vifo duniani mpaka sasa.inapata wapi ujasiri wa kushukia nchi kama tz kwa tahadhari ya covid 19???
maana hiyo ndio huwa hoja yetu siku zote kama huwa huioni.
Kwani US wanasemaje juu ya hali iliyopo tz sasa hivi?Ndo maana nimesema you're taking it too personal! Yaani kwavile kwao ndo kuna maambukizi na vifo vingi zaidi ndo ulitaka wasitoe tahadhali kwa wananchi wao wanaotaka kusafiri nje ya nchi?
All in all, US hawashutumu nchi yoyote kuwa na COVID-19 bali wanachofanya wao ni kutoa updates kwa wananchi wao wanaotarajia kusafiri nje ya US kwamba "nchi xyz, status ipio hivi, na nchi abcd, status ipo vile so, kama mnataka kusafiri, bear that in mind..."! Sasa tatizo lipo wapi hapo?!
Na wanachofanya US kimsingi ndicho kinatakiwa kufanywa na nchi yoyote inayojali wananchi wake, including TZ!
Usisahau, US hawaoni taabu kutuma Special Force kwenda kumuokoa Mmarekani mmoja tu anayeshikiliwa na watekaji nje ya US!!Sasa kwa taifa ambalo lipo tayari kutuma kikosi maalumu kumuokoa mwananchi wao, utashangaa wakitoa tahadhali kama hiyo?!
Na US hawafanyi hivi kwenye issues za COVID-19 peke yake, kwa miaka kadhaa wamekuwa wakitoa similar alerts kwa nchi wanazoamini kuna vitisho mbalimbali kama vile vya kigaidi!! Tena kwa KE hizo alerts hivi sasa wameshazizoea kwa sababu US wamekuwa wakitoa alerts kama hizo dhidi ya KE for years now, and subject matter ikiwa vitisho vya ugaidi!!
Kama umenisoma vizuri mwanzoni nimesema US wamegawa nchi zote duniani from Level 1 (Low Risk) to Level 3 (High Risk).kwani US wanasemaje juu ya hali iliyopo tz sasa hivi??
maana povu letu sisi halikuwa kwa haki ya US thidi ya raia wake, bali ukweli wa data anazotoa.
Hiv alshabab wamepotelea wap, watutandikie hawa watu.Hatuiogopi ila tunachukua tahadhari, muhimu kwanza ni kupima na kujua hali kisha kuchukua hatua, wanaiogopa ni wale wanaficha na kuogopa hata kuitaja ilivyo ndani yao, hususan nyie watu.
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake kutotembelea Kenya Sababu ya ongezeko la wagonjwa wa Covd19 na hatari ya ugaidi kutokea.
Hii itakuwa pigo kubwa sana kwa sekta ya utalii ambapo Jana Waziri Balala na Rais Uhuru Kenyatta walizindua kampeni kababe ya kuvutia watalii kutembelea nchi hiyo.
Reconsider Travel to Kenya - US Embassy Advises
Sasa mbona hata wspinzani tz hawachukui tahadhari yoyote juu ya korona ? ,hii inamaanisha hata wao wamekubali kuwa korona kwa tz imetiiWagonjwa wanafichika tena virahisi sana, kwanza kwa taifa la kiujamaa kama lenu ni rahisi sana maana wenyewe ndani kwa ndani hakuna mwenye jeuri ya kuhoji, huwa mnaishi kiutumwa.
Hadi Leo mmesha kufa zaidi ya 1500 hizi ni habari za kweli kutoka ikulu ya Kenya sasa kama korona haiui sana jiachieni kama sisi kila kitu kirudi kama hakuna korona tuone kama amjafa 1000 kwa siku.Hatujui mnavyokufa maana mlishaficha hamtaki kusema, ila corona haiui wengi Afrika kama Ulaya, vifo vya huku vinafichika, haswa kwa waliojichokea kwenye umaskini kama nyie.
Hadi Leo mmesha kufa zaidi ya 1500 hizi ni habari za kweli kutoka ikulu ya Kenya sasa kama korona haiui sana jiachieni kama sisi kila kitu kirudi kama hakuna korona tuone kama amjafa 1000 kwa siku.Hatujui mnavyokufa maana mlishaficha hamtaki kusema, ila corona haiui wengi Afrika kama Ulaya, vifo vya huku vinafichika, haswa kwa waliojichokea kwenye umaskini kama nyie.
Wanakutumia Kama karai la kubebea zege! Wakimalizana mahitaji yao wanakubwaga🙆🙆!Duh,kweli mabeberu hawana urafiki...
Mtu mweus kwa mtu mweupe anaonwa takataka..hata ajue kizungu vip.sasa mikenya inahis wazungu watawapenda kwa kuongea kizungu..wakenya wanahitaj ukomboz wa fikra..for a slave to speak proudly masters language..ni disgraceWanakutumia Kama karai la kubebea zege! Wakimalizana mahitaji yao wanakubwaga[emoji134][emoji134]!
Mtu mweus kwa mtu mweupe anaonwa takataka..hata ajue kizungu vip.sasa mikenya inahis wazungu watawapenda kwa kuongea kizungu..wakenya wanahitaj ukomboz wa fikra..for a slave to speak proudly masters language..ni disgraceVifo vyetu hatutangazii Watanzania, tunavitangaza maana sisi sio mifugo kwamba watu waachwe wateseke ndani kwa ndani na kujifia, aisei ujamaa...
Mtu mweus kwa mtu mweupe anaonwa takataka..hata ajue kizungu vip.sasa mikenya inahis wazungu watawapenda kwa kuongea kizungu..wakenya wanahitaj ukomboz wa fikra..for a slave to speak proudly masters language..ni disgrace
Si kwel...nyie mnawapapatikia ngozi nyeupe sana..kama mmeweza kupapatikia lugha yake tu itakua hyo ngoz yake...wakenya mna matatizo kuhis nchi yenu ina hadh ya west, yaan mnajionaga wazungu wazungu.Dunia hii huwa tunaonana takataka kulingana na hadhi yako kiuchumi, ukiwa maskini unadharauliwa tu, uwe mzungu au mweusi, hata wazungu kunao huonwa wa hovyoo, na huku pia nchi yako ikiwa nyumi kiuchumi tunaidharau.....