Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Kamanda shana kafa kwa Corona, Madaktari wote wa Mbagala Rangi tatu wamekufa na Corona! Manesi ndo kabisaaaa!
Wewe ni muongo na hujui unachopigania na chaga saccos yenu. Ck ya kiama mna hukumu yenu kwa kufarakanisha watu na mataifa yao.Mmejawa na chuki dhidi ya mamlaka halali ya dunia. Ndo maana hata mkiita maandamano hakuna anaekuja watanzania wamewastukia mmelipwa ela ili mlete machafuko.VIVA MAGU OBRIGADO
 
Hayo unayoyaongea uliyafanyia utafiti kwenye maabara gani😂? Maana maelezo yako na ya wale walioitengeneza hayalingani kabisa.Kwamba vijana wao ni wababeji tu🤔? Huko ulaya mbona imeua vijana wengi tu.
 
Basi sio tu wametangaza bali wamezuia hata hizo athari za corona kuonekana kwenye jamii,maana maradhi huwa hayafichwi hivyo tungeona tu athari za corona.
Hii umeiweka vizuri sana, kiasi kwamba haipingiki.

Sasa nikuombe msaada kama unaweza: hebu eleza ni nini hasa kilichotokea hadi COVID-19 ikawa haionyeshi madhara, sio hapa kwetu tu, na hata nchi nyingine hapa Afrika.

Huu ndio mjadala unaotakiwa kujadiliwa.
Hili ndilo jambo muhimu zaidi wanasayansi wetu wangekuwa wanalitafutia majibu kwa nguvu zote.

Tzmbongo: usidhani sijui msimamo wako, kwani tumejibizana mara kadhaa hapa jamvini.
Kuzuia kupima na kutangaza waathirika ni sehemu ya kuizuia COVID-19 isienee?
 
Kama mnakijua kiama msingekuwa mnaua watu zanzibar kisa uchafuzi kama mngekuwa mnakijua kiama tuambieni
£27zimeenda wapi
 
Hayo unayoyaongea uliyafanyia utafiti kwenye maabara gani[emoji23]? Maana maelezo yako na ya wale walioitengeneza hayalingani kabisa.Kwamba vijana wao ni wababeji tu[emoji848]? Huko ulaya mbona imeua vijana wengi tu.
Unajua kusoma?Umesoma nilichoandika?Nimeandika kuwa Corona haisumbui sana vijana.Unaelewa tofauti kati ya "Corona haisumbui vijana"na "Corona haisumbui sana vijana" Hizi siyo sentensi mbili tofauti?
 
What a foolish reply.

Kwamba mtu akiwa hana basi huo ugonjwa haupo?

Kichwani una akili au mavi?
Nyie na hao wamarekani vichwa vyenu vina ugoro. Hao wamalekani wanazuia watu wao kuja huku wakati wao ndo wagonjwa, na wanakufa,
Ni sawa nyumbani kwako unaharisha Kisha unamtahadhalisha mwanao asiende kwa jirani ambae haharishi eti atapata mharo huko, wakati jirani ni mzima Wala Hanna habari na mharo wako.
Hao wamarekani wanaoishi humu mbona hawana huo ugonjwa?
 
Ukweli jamani unauma!! mie siyo muongo, mbona mnatumia nguvu kubwa kupinga? tunajua Pombe Magu alitamka kisiasa hkn COVID ili uchaguzi mkuu ufanyike sababu alijiandaa kufanya yake km ulivo shuhudia!

Shana Waryoba Mwikizu, mchapa kazi hodari, Msabato Mkongwe na Mwaminifu, amekufa, kwa uzembe wa Mamlaka Dhalili. Madaktari vichwa, waliokuwa wanagoma kwa haki! mliowaogopa mkawaondoa kwa visa vya kipuuzi,

Mmeacha Drs wajinga, wazembe wenye njaa hawawezi pinga, wanasifu tuu, hata kama wanakufa hawawezi kujitetea, Hawana vifaa wala chanjo, je afya za wagonjwa watazitetea vipi?

Hapa wangegoma haraka sana kwa ujinga huu! walo toka familia bora wamekimbilia mbele! ukubwa wa tatizowanajua Madaktari subiri tu wataisha.

Angalia sana hii chapa yangu. huyo jamaa sijui Rais nitamuweka ndani maisha yake yote! walahi!! nitakiuka hiyo katiba yenu mbuzi km anavofanya. Lisu mnamuonea huo muziki hauwezi isipokuwa mimi naja.
 
Kwahiyo sie watanzania ndio tuna kinga imara sana kuliko majirani zetu au hao wazungu?
Sio kwamba sisi tunakinga imara kuzidi wenzetu....kuna watu wanahoji kama kuna korona Kuna ndugu zako wangapi wameishakufa...hoja yangu ni kwamba kuwa na korona sio lazima ufe...kuna watu Wana virusi vya korona na Wala hawahisi hata kuumwa hii ni kwa sababu ya Kinga zao imara.... lakini ukichukuwa kipimo ukawapima utawakuta na virusi....hata hao majirani zetu na wazungu ripoti zao nyingi za maambukizi zinatokana na kupima...hawasubiri mtu augue ndio wampime...lengo ukingundulika wakutenge usiendelee kusambaza kwa ambao hajaambukizwa.
 
Tanzania tulishasahau kuwa kulikuwa ma Corona hilo file lilishafungwa tunashangaa anayezungumzia Corona leo. Hapa MorenA Hotel Dodoma leo kuna wazungu kibao tunakunywa nao chai hata barakoa hawana na wamekuja jana toka ulaya.Marekani wamechanganyikiwa wanahitaji kuombewa.
Tuwaombe viongozi wa dini Tanzania 🇹🇿 waiweke Marekani katika maombi
 
Mtu anaweza akawa na ukimwi na akaishi miaka 20 bila kuwa na dalili.
Lakini si kwa corona.ukiambukizwa tu inakuchukua siku 2 mpaka 14 kuonekana kwa dalili.
Kwa hyo Corona HAIFICHIKI.
 
Mtu anaweza akawa na ukimwi na akaishi miaka 20 bila kuwa na dalili.
Lakini si kwa corona.ukiambukizwa tu inakuchukua siku 2 mpaka 14 kuonekana kwa dalili.
Kwa hyo Corona HAIFICHIKI.
Unaelewa kuwa dalili pamoja na vifo vya Corona vinatofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kutegemeana na umri wa mtu,magonjwa mengine aliyo nayo mtu,hali ya unene na wembamba wa mtu,kiwango cha kinga za watu,e.t.c?Unaelewa kuwa kuna watu wengi sana wanapata Corona lakini hawaonyeshi dalili zozote zile hadi wanapona wenyewe bila ya kutumia dawa yoyote ile?
 
Tanzania hakuna Corona, wapambane na hali yao na wakome kutupakazia, wapambane na Corona yao wenyewe
 
Tumempoteza ndugu yetu juzi pale Aga Khan, vipimo kutoka maabara kuu vinaonesha ni hiyo kitu. ameacha mtoto wa 7 mon
It is a disease like others. Hata kama asingekufa kwa korona anagekufa na ugonjwa mwingine kama siku yake imefika.acheni ujinga
 
Unajua kusoma?Umesoma nilichoandika?Nimeandika kuwa Corona haisumbui sana vijana.Unaelewa tofauti kati ya "Corona haisumbui vijana"na "Corona haisumbui sana vijana" Hizi siyo sentensi mbili tofauti?
👉Wataalamu wanasemaje kuhusu swala la dalili kuanza kujionyesha kwa mtu alieapata maambukizi? Utuelezee kidogo, labda vijana wao hukaa zaidi ya miezi 6 bila kuonyesha dalili kama jinsi ambavyo hawa wa kitanzania wamekaa bila kuonyesha dalili za wazi za covid-19, tangu wapuuze maagizo ya hao mabwana zako.

👉Huko kwenu wazee wamekufa Sana kama mizoga? Maana hata wao hawafuati yale masharti na miezi 6 si haba, kwa maelezo yako nilitegemea wazee wetu wote wawe wamekufa kwa covid-19.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…