Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Unaelewa kuwa kitendo cha Tanzania kuchukua hela za WHO kiasi cha zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na COVID-19 ni moja ya shahidi kuwa Tanzania ina Corona?Huna ushahidi, serikali yako haijaweka wazi kuhusu vipimo, huna corona, humjui mwenye corona, hujikingi na corona.
"Hatuoni madhara" na wala hatujui hali ipoje kwa vile tu hatuoni wanaoathirika!Wakati ule wa mwanzoni bado tunapima na kutoa takwimu ilikuwa inaonekana hali ni mbaya na inazidi,ila tukaacha kupima na tokea hapo kadri siku zilivyozidi kwenda watu wakawa wanaacha kuzingatia taratibu za kujikinga na corona na tukarudi kuishi maisha yetu kabla ya corona hadi sasa watu wanaamini corona ilikwisha Tanzania.
Sasa nachouliza ile hali ya corona iliyokuwa ikizidi kuwa mbaya iliisha na ndio maana sasa watu hawaoni madhara ya corona au ile hali inaendelea hadi sasa ila hatuoni madhara?
Kwanini unaona afrika covid 19 imekuwa hafifu kuliko kwengine? Umetumia ni nini kujua hali ya covid19 huku afrika ni hafifu tofauti na huko kwengine?"Hatuoni madhara" na wala hatujui hali ipoje kwa vile tu hatuoni wanaoathirika!
Na kwa nini hatuwaoni, ni kwamba hawapo wanaoathirika?
Sema bahati yetu Afrika, COVID-19, kwa sababu zisizofahamika imekuwa hafifu zaidi kuliko huko kwingine.
Sisi hapa tunajisifu kana kwamba ni peke yetu ndio tuliosikilizwa na Mungu, na kumfanya kama mali yetu.
Hapo Kenya, ni wangapi wameambukizwa hadi sasa na wangapi wamepoteza maisha? Unaweza kusema idadi hiyo kwa muda huo inatikisa sana taifa? Unadhani sisi namba yetu ni tofauti sana na hiyo ya Kenya? Sisi hatujui, wao wanajua kwa vile wanafuatilia, sisi tulighairi.
Kwani ww hujamsikia raisi wako? Tulipambana na covid na tukaishinda. Au tafsiri yako ya Kupambana na covid ni nn?Unaelewa kuwa kitendo cha Tanzania kuchukua hela za WHO kiasi cha zaidi ya TZS billion 70 za kupambana na COVID-19 ni moja ya shahidi kuwa Tanzania ina Corona?
Alipokea hela baada ya kutoa kauli hii, ikithibitisha kuwa Corona bado ipoKwani ww hujamsikia raisi wako? Tulipambana na covid na tukaishinda. Au tafsiri yako ya Kupambana na covid ni nn?
Nani akithibitisha? Corona inaweza kurudi pia.Alipokea hela baada ya kutoa kauli hii, ikithibitisha kuwa Corona bado ipo
Kwa hiyo Tanzania ina Corona siyo?Nani akithibitisha? Corona inaweza kurudi pia.
Kuna mtu mkubwa sana ana mashavu mapana na kipara, kafa kwa korona, na yule mzee mwenye blich la kikongo mdogo wake kafa kwa korona na korona ipo vyombo vya usalama vinajuwa na records wanazo.Wewe mwenye akili kubwa,corona imeshapita na mtu wako yoyote wa karibu? Au unabweka tu hapa.
Kwakuwa umezoea kubokolewa basi ndio umekariri ni lazima kila mtu awe na bwana?Yule bwana wenu alikuja na barakoa kubwa Kama bakuli lakini amezunguka nchi bila hilo bakuli mdomoni mpaka siku ile anakimbia kwenda ilipo kaliweka tena.
Kama Maralia inauwa wengi kwa nini tusifanye maombi ya wiki tuimalize?Tupe idadi basi wewe unayejua waliokufa na corona mkuu. Sisi tunasema corona haipo ya kutisha wanaokufa na malaria ni wengi kuliko hao wa corona.
Tanzania ina wapuuzi kupita nchi yoyote ulimwenguni na hii ndo maana ya research ya unafiki kuwa wa juu, unaijua corona ama unaotaCorona ipo Tanzania watu wanakufa lakini kwa kuwa Serikali ilipiga marufuku kuongelea corona inabidi Hosptal waache kusema ukweli
Subiri ikithibitika imerudi utatangaziwa na utaambiwa uvae mask, nawa mikono na sabuni kila Mara, zingatia umbali na ikizidi sana utaambiwa usitoke ndani. Kwa sasa umeambiwa serikali imepambana na corona na imeshinda ndio maana na ww huna corona, huoni mwenye corona na hujikingi na corona.Kwa hiyo Tanzania ina Corona siyo?
Corona Tanzania ipo, tena kwa kiwango kikubwa tu, sema Jiwe hataki habari hizo kuwekwa waziThis all bullshit is the results of Monday phone calls between USA President elect and Kenyan President, halafu wabongo blindly tunaikandia nchi yetu kwa kufata mkumbo as if hao wanaotusemea tunaishia nao hapa nchini.
Serekali ilitangaza kuwa imeishinda Corona na miezi inayofuata ikachukua hela za kupambana na corona.Hii inathibitisha ya kwamba ni serekali isiyoaminika na inayodanganya watu wake juu ya mambo ya Corona.Ni serekali ya kihuni ambayo hata yenyewe haijiamini.Halafu nimekuambia ya kwamba mimi kutokuwa na Corona na kutokujikinga dhidi ya Corona haihalalishi wala haithibitishi kuwa Tanzania hakuna Corona.Ulielewa kuhusu hili?Subiri ikithibitika imerudi utatangaziwa na utaambiwa uvae mask, nawa mikono na sabuni kila Mara, zingatia umbali na ikizidi sana utaambiwa usitoke ndani. Kwa sasa umeambiwa serikali imepambana na corona na imeshinda ndio maana na ww huna corona, huoni mwenye corona na hujikingi na corona.
Wewe ni mpuuzi uanyefahamika hapa. Sina muda wa kupoteza na wewe. Hata kusoma na kuelewa huwezi.Tupe idadi basi wewe unayejua waliokufa na corona mkuu. Sisi tunasema corona haipo ya kutisha wanaokufa na malaria ni wengi kuliko hao wa corona.
Basi kama anataka 'miradi ya awamu ya tano' isikwame kwa kuipa kipaumbele korona.. angalau angesisitiza wananchi wake kuchukua tahadhali! Jamaa anatufanya wananchi wake kama mwalimu mkuu wa shule ya msingi anavyowaendesha wwtoto.. anatuendesha tu!Corona Tanzania ipo, tena kwa kiwango kikubwa tu, sema Jiwe hataki habari hizo kuwekwa wazi
Umeuliza swali nililokwishalijibu: "kwa nini afrika COVID-19 imekuwa hafifu..., soma tena niliyoandika hapo juu.Kwanini unaona afrika covid 19 imekuwa hafifu kuliko kwengine? Umetumia ni nini kujua hali ya covid19 huku afrika ni hafifu tofauti na huko kwengine?
Mkuu umekomalia hii issue balaa,hilo katazo si kwa Tanzania pekee 😀Unaelewa kuwa Tanzania ilisaini mikataba ya WHO na ni mwanachama wa WHO na WHO walitoa miongozo jinsi ya kupambana na Corona na miongoni mwa miongozo hiyo ni kufanya mass testing kisha kutangaza matokeo?Tanzania inafanya hivyo?